Hii picha inanifrahisha sana kumbe Marekani kuna kipindi alikuwa analisha Urusi na hamsemi

dogman360

Member
Oct 15, 2018
95
156
20241126_152247.png
 
USAID, World Bank na IMF wamewahi kuwapa misaada na mikopo mingi tu Urusi mpaka mwaka 2014.
World bank na IMF ni mashirika ya kimataifa na kila mwana chama ana haki ya kukopa sema yamepoteza maana baada ya nchi za Magharibi kuyageuza kuwa chombo cha kufanya mashinikizo dhidi ya nchi nyingine.
Hivyo hakuna cha ajabu kwa Urusi kukopa kwenye hayo mashirika kwa sababu ni mwanachama na amekuwa akilipa ada ya kuwa mwanachama.
Kuhusu hiyo picha ni kitu gani hapo kinacho kuamisha kuwa hao ni raia wa Urusi?
Urusi ni mojawapo ya wazalishaji wakubwa wa chakula duniani na kati ya wanunuzi wa chakula chake ni Marekani sasa litakuwa jambo la kushangaza mtu anaye uziwa chakula leo hii ampe anaye muuzia chakula msaada wa chakula.
 
World bank na IMF ni mashirika ya kimataifa na kila mwana chama ana haki ya kukopa sema yamepoteza maana baada ya nchi za Magharibi kuyageuza kuwa chombo cha kufanya mashinikizo dhidi ya nchi nyingine.
Hivyo hakuna cha ajabu kwa Urusi kukopa kwenye hayo mashirika kwa sababu ni mwanachama na amekuwa akilipa ada ya kuwa mwanachama.
Umewahi kujua kwa nini Rais wa Marekani ndiye huwa anachagua rais wa World Bank mara zote na mara zote Rais wa World Bank amekuwa Mmarekani??
 
Back
Top Bottom