King Kuok "Mimi" Hii (born 23 December 1969) is a chemist whose fields of research include application of catalysis to organic synthesis. She is the Director of Imperial College London's Centre for Rapid Online Analysis of Reactions (ROAR).
Video inaonesha Zuchu akirushiwa chupa na wakurungwa. Hawataki aendelee naye aamua kuzila kurusha mic na kuondoka.
Wanaonekana wamechafukwa sana. Mbaya zaidi kuna mwimbaji ambaye alikuja lalamika kuwa jamaa wa huko ni wajeuri hawataki kuimbishwa. Wanasikika wakisema wanamtaka mke wa P.Diddy...
Nimekutana na picha hii mtandaoni ikimuonesha naibu wa Rais nchini Kenya Gachagua akiwa anawatazama kupitia dirisha Rais wa nchi hito William Ruto akiwa na King Charles III alipotembelea nchi hiyo, nikapata mashaka juu ya uhalisia wa picha hiyo naomba msaada wa kuihakiki.
Hakuna kitu kinaumiza kama kuona mabinti wa Arusha na Moshi wakiwa wamekimbilia mikoa mingine kufanya kazi bar nk.. Wakati maeneo watokayo ndiko kulikogunduliwa madini ghali zaidi duniani na yakipatikana Tanganyika tuu.!
Madini ya Tanzanite na madini mengine Tanganyika hayakugunduliwa na...
Habari ya muda huu,
Mimi ni recent graduate wa Bachelor degree, nilituma CV ya kuomba position ya Junior Safety Officer....na hatimaye leo jioni nimepigiwa simu kuwa kesho nifike kwa ajili ya interview.
Naomba muongozo na vitu vya kuzingatia maana ndio interview yangu ya kwanza.
Natanguliza...
Nakumbuka miaka ya nyuma niliwahi kuwa na mpenzi ambae nilimpenda sana na nadhani alijua kwamba nampenda hivyo akawa anautumia upendo wangu kwake kama udhaifu na fimbo ya kunichapia.
Nilijitahidi kadri ya uwezo wangu kumvumilia mana hata ningesema nimuache haraka haraka nitaacha wangapi, siku...
Location ilipo fremu ambayo nimepewa niifanyie kazi na mzee wangu bure bila kuilipia imezungukwa sio mbali sana na taasisi zifuatazo stand, shule, college, dispensary,ofisi za maji na iko barabara kuu.
1.HARDWARE (Vifaa vidogo vidogo vya umeme na maji)
Advantage:
-Connection ya mafundi na mimi...
Hii ndio Tanzania, amani iwe nanyi !
Napendekeza tuwe na kitu kinachoitwa "LOCAL TRANSPORT CARD". Hii iwe kadi maalumu itakayo jazwa pesa kupitia mifumo ya kifedha ya hapa hapa nchini (Local Banks, Mpesa, Tigo Pesa, Z-pesa, Airtel Money Halopesa nk) na kutumika kwake iwe kwa scan pekee katika...
Watu 120 zaidi wamemtuhumu mwanamuziki wa rap Sean ‘Diddy’ Combs kwa unyanyasaji wa kingono, ubakaji na kutumiwa vibaya kingono.
-
Wakili wa Texas Tony Buzbee amesema kuwa 25 miongoni mwa wateja wake walidhulumiwa wakiwa wangali watoto wenye umri wa miaka 9 -15.
-
Nusu ya idadi hiyo ni wanaume...
Hili suala la p Diddy na kesi zake binafsi nimekataa kulichukulia kama wengi wanavyofikili
Ukiangalia Taifa kama USA ( MAREKANI) Nchi ambayo inaruhusu ndoa ya jinsia Moja kivipi Leo iwe kosa Kwa DIDY kuwatembelea kinyume na maumbile wanaume wenzie Yani Leo Diddy amegeuzwa kama Njia ya...
Kama kuna Mtaalam wa Afya anisaidie hivi kwamfano mtu akipima na akakuta anamimba halafu baada ya siku ya hedhi akatokwa na damu kwa siku moja tu kisha akaenda hospital kuangalia.
Akaambiwa ujauzito umetoka japo akipima kipimo cha mkojo kinaonyesha ana mimba ila ultrasound inasema mimba...
ISraeli amakuwa akipagana vita toka enzi na enzi na mara nyingi ameenda utumwani. Hii yote imekuwa ni kiimani sana kwamba. Israel ni Taifa Teule Mungu amelichagua hili kutoa elimu kwa watu wake.
Sasa hichi kinachoendelea Kati ya Israel na Iran muda huu, kiliandikwa kitatokea? Au ni ujumbe gani...
Watu wengi wanalaumu matajiri kutofundisha vizazi vyao namna ya kuendeleza utajiri wao hata pale wanavyoaga dunia bila kujiuliza sababu zinazosababisha hivyo.
Baada ya kutafakari nimeona UKOSEFU WA UADILIFU kwa mzazi na watoto wake inachangia pakubwa sana kwenye hilo. Matajiri wengi nchini...
Maneno anayoyatoa na vitendo ni tofauti kabisa. Anaonekana kabisa akiwa ana khofu kubwa sana. Inasemekana hapo akiwa amejificha mbali sana. Hakuna AC na hakuna Ventillation. Anaishi kwa wasiwasi na mateso makubwa.
Ukimtizama anaonekana kujawa woga,khofu na wasiwasi. Nadhani Dunia ikemee Israel...
Marjayoun- Lebanon.
Kifaru cha jeshi la Israeli kilifanya doria kwenye mpaka wa Israeli na Lebanon mapema leo asubuhi. Picha na Aya Margolin wa Flash90
Israeli imetangaza kuingiza majeshi yake upande wa kusini mwa Lebanon na kuliweka eneo hilo chini ya jeshi la IDF yaani "military Zone". Hatua...
Nadhani wote mmesikia kilichomtokea Zuchu huko Mbeya, Sio kosa lake, Hakujua kwamba yupo eneo tofauti kabisa, Alikuwa akipigia sana debe viongozi bila kujua kufanya hivyo ni kuamsha hisia kali wasizozipenda wanambeya wasiopenda mambo ya kutukuza sana viongozi (Uchawa)
Na kama unaingiza mambo ya...
Kuna kampeni ya Leo imezinduliwa mkoani Tanga na Naibu Waziri Mkuu Mh Dotto Biteko inayoitwa Mtoto wa Leo ni Samiah wa Kesho. Hii Kampeni nimeshindwa kuuelewa kusudi lake. Je ni kweli kwamba kila mtoto wa Leo atakuwa Samiah wa Kesho?.
Je, ni kweli kila mtoto anataka kuwa Kama Samiah? Je wawe...
Tangu January 2011 mpaka june 2024 nimetembea na wanawake 574 toka ndani na nje ya nchi yetu. Nimetumia zaidi ya milioni 28.3 kutekeleza uovu huu kwa kuhonga na kulipia gharama mbalimbali ili kujionea raha ya ngono.
Nilichobaini ni kuwa tofauti ya wanawake ni ma housing na miguno tu.
Ushauri...
Habari ndugu zangu Wana jamiiforums Leo katika pita pita zangu nimekutana na hili tukio Wilayani Rungwe mkoa wa Mbeya katika Kata ya Kyimo. Tunaiomba serikali kuliona hili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.