Katika kile kinachoonekana kama kumbe kesi za Uhujumu Uchumi zilizofungliwa kwa wingi Awamu ya Tano, ule ulikuwa mradi wa kuwachuna wafanya biasharra na wahasimu wa Awamu hiyo.
Watuhumiwa wengi walilazimishwa kuingia kitu inaitwa plea bargainning kitu ambacho sasa ikawa kama hivi:
Kesi ya...
Kuna Kampuni inadai wao wanajishughulisha na biashara mbalimbali, ikiwemo kuuza na kununua Mafuta oil diesel duniani, kuuza bizaa mbalimbali, kununua Madini, usafirishaji wa meli.
Wao wanadai wanesajiliwa TRA, Brella, staili yao ni Moja tu, ukiwekeza kuanzia laki moja Hadi milioni 50 ndani ya...
Rwanda imeingia mkataba wa poundi takribani milioni 150 ili ipokee wakimbizi haramu watakaodakwa nchini UK.
Mpango aina hii muasisi ni Macron wa France. Yéyé aliingia mkataba na Libya. Pamoja na kuhamishiwa wakimbizi haramu Toka France Kwenda Libya mkataba wao pia unaitaka mamlaka ya Libya...
Habari wakuu!
Leo nimekaa nikakumbuka matukio kipindi nipo o level,jinsi nilivyoharibikiwa kwa kujiingiza kwenye makundi ya wahuni shulen na nilivyoweza kuCHANGE fasta nakufanya vizuri kwenye matokeo yangu ya 4m 4 necta
Kwanza ilianza nikiwa form 2 nikiwa shule ambayo ipo njee kidogo ya...
Mama Mpendwa Shalom
Mwenendo uliopo mpaka sasa, japo tunakupongeza kila kona kwamba unaupiga mwingi mambo ni magumu.
Hawa walioko vijijini ambao ndo hasa wapiga kura wako hawajui habari ya Ukraine na Putin wao, wanachokihitaji wapate maisha ahueni, wakati nchi nyingi zilizoathirika kama sisi...
Huu utapeli hakufanyika kwa Tamaa kama ilivyozoeleka na ndipo napopata mashaka.
Ni ndugu yangu wa karibu naemwamini sana, nilimtumia pesa laki 6 anunue laptop kwajili ya chuoni. sasa nikawa nafatilia hio laptop naona ananipiga sana chenga, nikafikisha hii kero kwa mama yake ambae ni mamdogo...
Hivi Mwigulu anajua asasi za Kiraia zimeajiri watu wangapi?
Vijana wanateseka hawana ajira lakini hata wale walioajiriwa na asasi za kiraia Mwigulu anataka kuwanyang'anya hela ili hao vijana wakose ajira ilihali serikali nayo haina ajira. Mwigulu hapa umepotoka na naona ni kati ya watu ambao...
Hivi ndivyo, matapeli wanavyotumia jina la Ikulu pamoja na Rais Samia Suluhu kufanya utapeli wa kupiga hela kwa watu mbalimbali. Watangazaji wa East Africa Radio wamesimulia moja ya tukio lililotokea.
Source: East Africa Radio
Habari za jioni wadau!
Tukiwa watoto tulikuwa tunawaza kazi nzuri ni udakatari na sheria ila kwa kadri umri unavyosonga unagundua hata huko ni umasikini tu sana sana uibe dawa ila kutoboa sio rahisi.
Baada ya kutafakari muda mrefu nimeamua kubadilisha fani kabisa na hizo fani tajwa hapo juu...
Kwema wakuu
Sijui ni kwangu tuu au ni kwa wanaume wote yaani mimi mwanamke akiniomba hela namchukia hapo hapo nakasirika haswa sasa kuna mmoja alinijulia akaniambia sitokaa nikuombe tena hela cal nimechoka na visa vyako.
Kweli tokea siku ile hajawahi niomba hela mpaka mm nimpe mwenyewe na...
Na deal na nguo za watoto mitumba za aina mbali mbali, maranyingi root yangu ni morogoro kikundi na sabasaba, kibaigwa na gairo, bagamoyo, kiwangwa au tabata baracuda....
Kama mnavyojua minadani inategena na misimu haswa vijijini kuna kipindi cha mavuno mfano singida haswa manyoni pesa...
UDSM, 2010 saa moja na nusu usiku nipo dirishani hall 6 nachungulia dirishani. Ghafla anashuka Dada mmoja kutoka juu ghorofa ya kwanza anakutana na kijana mmoja aliyeonekana amebeba mfuko wanakumbatiana na kwenda kukaa kwenye nyasi.
Kijana anafungua mfuko na wote wanaanza kula nadhani ni...
Kwa ufupi marafiki wa namna hii wanaweza kukusaliti muda wowote kwa maslahi yao binafsi, narudia tena epuka kuwa na marafiki wa namna hii ambao wakiona hela akili zao hubadilika na kuwa kama wehu utanishukuru siku moja.
Na marafiki wa namna hii wengi wao wakishika fungu basi pombe na wanawake...
Ndugu zangu kuna biashara nataka kujaribu kufanya ya kutoa bidhaa Kariakoo kupeleka Burundi ila katika pitapita, nimegundua changamoto zifuatazo.
1. Mabadiko ya thamani ya pesa ya Burundi
2. Ugumu wa kubadilisha fedha. Yaani ukiwa na faranga ni ngumu sana kuirudisha kuwa Shilingi.
3. Suala la...
Mwijaku kaulizwa kuhusu H Baba kujitoa Konde Ganga na kuonyesha kuelekeza nguvu upande wa pili wa kuwa ‘chawa’ wa Wasafi chini ya Diamond Platinumz, ameyasema haya katika sehemu ya mazungumzo yake:
“Mimi siwezi kukaa naomba hela, mke wangu atanionaje, mwanaume unakaa unaomba hela, nina afya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.