Nimempa hela jana tu, niko mbali umeme umeisha nimemwambia aweke anadai nitamlipa hela yake

Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
10,087
15,961
Dah! Wakuu, mitihani ni mingi jamani hawa wanawake zetu hawa. Niko mbali na home umeme umeisha, bint/slay queen anatuma msg LUKU imeisha.

Yeye kashinda home toka asubuhi yaani anashindwa nunua umeme kweli hadi apige simu. Hivi wadada mbona mko hivi? Ujue mnajidhalilisha? Aisee!

Haya nimenunua umeme sasa kaa uangalie TV hapo sebuleni. Hapa jana tu kaniomba 50k na ana kazi eti utanilipa hela yangu wakati hiyo hela nimempa mimi jana.

Kiukweli nimemwambia sawa nitakupa hela yako, sasa sijui kanunua umeme wa Tsh. ngapi, ngoja nirudi home nione. Aisee! Slay queens mna kazi

Ila wakuu kuishi na mtu ni kibarua kigumu sana, inataka moyo sana. Sina gubu kama baadhi yenu mnavyosemaga nataka kuonyesha tu jinsi gani hawa wenzetu itakua ngumu kufikia maazimio ya Beijing
 
Ndio mkome kutafuta maslay queen.

Eti mnataka mkipita mtaani muangaliweee
Nyokoo

Mtavuna mlichopandaaa
Hawana ishu hao siku ukipoteza kazii huyo anasepa wala harudi tena huko kwako

Fekelea mbalii

Mimi kama Mwanaume wa Mkoani

Ntamuambia rudi kwako maana nimepata dharura sitorudi leo wala kesho

Nikirudi tuu nahama pale namblock kila mahalii
Short text

Mimi nawewe hapana

Japo wewe huwezi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom