Amekula sana hela zangu

viking

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
2,143
1,291
Mwenzenu kuna mdada nilimpenda, siwezi kusema na yeye alinipenda. Nimekula uroda mara moja tu lakini amekula sana hela zangu. Najua ana watoto 2 wa baba tofauti, nimeamua kuwa mbali kabisa, sijutii pesa, najutia muda niliopoteza kuchati nae.
UPDATE
Jamani yule mdada jambazi amefulia sana,hata hela ya vocha hana na madeni mpaka shingoni.. Hivi karibuni birthday yake imepita kama upepo wa kimbunga ilikuwa kila birthday picha kibao kwenye facebook
 
Mwenzenu kuna mdada nilimpenda, siwezi kusema na yeye alinipenda. Nimekula uroda mara moja tu lakini amekula sana hela zangu. Najua ana watoto 2 wa baba tofauti, nimeamua kuwa mbali kabisa, sijutii pesa, najutia muda niliopoteza kuchati nae.
Ndo maisha mzee
 
Pole mwaya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom