hela

  1. JamiiForums Tanzania Usitumie hela nyingi kwenye mwonekano wa duka badala ya bidhaa.. weka stock ya kutosha.

    Kwa Tanzania hasa kwenye miji mikubwa hili limekuwa tatizo kubwa. Wafanyabiashara wadogo tena wanaoanza biashara utakuta wanatumia hela nyingi za mtaji kuwekeza kwenye mwonekano wa duka badala ya bidhaa anazouza. Vijana wengi hasa kwenye biashara ya nguo wamejikuta wanafunga biashara zao chini...
  2. JamiiForums Tanzania Swali fikirishi: Utafanya nini ukiokota hii hela?

    Wewe apo! Yes wewe apo sio mwingine... nina swali moja naomba nikuulize, ambalo ukijibu baadae nitakuambia maana ya hili swali langu. Kwamfano unatembea mtaani halafu njiani kwa bahati nzuri ukaokota shilingi laki moja (100,000/=) Sasa ukawa una furaha sana unatembea huku unapanga utaitumiaje...
  3. JamiiForums Tanzania Benki kubwa ya Urusi yasitisha miamala ya hela ya China - hali mbaya

    China ndio taifa linalofaidi pakubwa kwa Urusi kwa hili anguko la Urusi, ila pia nao wameanza kuathirika, benki kubwa ya Urusi imesitisha haitofanya miamala inayohusu hela ya Uchina.... Na pia inapata tabu kutumia hela ya India ================== June 8 (Reuters) - Russian lender Sberbank...
  4. B

    JamiiForums Tanzania BOT - Ruksa sasa Watanzania kununua hati fungani ktk nchi za SADC / kufungua akaunti kwa hela ya kigeni

    BOT - RUKSA SASA WAKAAZI/ WATANZANIA KUNUNUA HATI FUNGANI KTK NCHI ZA SADC / KUFUNGUA AKAUNTI KWA HELA YA KIGENI / KUNUNUA FEDHA ZA KIGENI US$ 10,000 WANAPOSAFIRI New Foreign Exchange Regulations Issued Set foreign exchange limits for travelers Restrictions for residents to maintain bank...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Nimepiga hela ndefu Betpawa nipeni wazo la biashara

    Habarini wapendwa, Namshukuru Mungu kwenye hii shughuli yetu ya kubeti nimebahatika kula million 5 naomba mnisaidie kunipa mawazo ya biashara niifanyie biashara gani ya kunipa faida chapchap mimi nipo Chato, Geita
  6. L

    JamiiForums Tanzania Video:Mapenzi ya hela

    Usithubutu kumpenda mtu kwa sababu ya hela zake...utakufa
  7. JamiiForums Tanzania RAIS Samia tunusuru Wanakagera tupewe hela za tetemeko zilizochukuliwa na serikali ikijidai inarekebisha miundo mbinu

    Wana JF Katika kitu kigumu ni kuamini kama serikali kupitia kiongozi wake anaweza kudhurumu pesa isiyo yake kutoka kwa wale walioingiwa na huruma wakachangia watu wajistri na pesa inayobaki waunganishe na yabdharura ya maafa kujenga miundo mbinu. Bado tuna kumbu kumbi waliochangia maafa ya...
  8. JamiiForums Tanzania Unaweza kutumia kiasi gani cha hela kumnunulia zawadi EX wako? Brad Pitt ametumia £60m

    Pamoja na zawadi ya £60m Brad pia ameinunua nyumba waliyoishi na Jeniffer wakiwa wanandoa na kumpa Jennifer kama zawadi. Nyumba hii iliuzwa kama sehemu ya makubaliano ya talaka. Brad aliongea na Jennifer baada ya ndoa yake na Angelina Jolie kuanza kusua sua na Jennifer alimueleza mapenzi yake...
  9. JamiiForums Tanzania Vodacom wameanza wizi wa hela za M-PESA

    Juzi asubuhi nilikwenda kwa wakala kutoa pesa kabla ya kuanza mihangaiko ya siku nikawa nimebakiza salio katika simu takribani Tshs.15,000+,,,, Cha ajabu jioni wakati natoka mishe mishe nikawa nataka nijiunge kifurushi cha kuongea na simu nikafanikiwa kujiunga kilikuwa cha Tsh.500. Ujumbe...
  10. JamiiForums Tanzania Afande Veronica yupo barabarani kukusanya hela au kufilisi Raia?

    Salaam Wakuu, Polisi wana mbinu nyingi za kutengeneza mazingira ya Rushwa na kukupiga faini. Huwezi pona kwenye 18 zao, watatafuta kosa hadi walipate. Sitaki kusema Chuo cha Polisi Moshi (CCP) hawafundishi ila nadhani wanatakiwa kubadili Mitaala yao. Kuna vitu wanavifanya Polisi wetu hadi...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Leo weekend halafu sina hela nimechanganyikiwa

    Leo weekend halafu mfuko umechacha mpaka nimepata hasira
  12. JamiiForums Tanzania Huu hapa mchongo wa kufanya kwa kijana apate hela ya kula

    Huu mchongo ni kwayule kijana ambaye amepinda na maisha ya mtaani. Kuna michongo mingi ya kufanya ili "kusogeza siku" huku ukisubiri inshu ya maana. Huu ni mmoja wapo. KUGONGA KOKOTO. KUGONGA KOKOTO ndoo moja ni 200, kwahiyo ukikomaa kwa siku wastani unaweza kugonga ndoo 30. 200 ×...
  13. JamiiForums Tanzania Orodha ya wachezaji wanaolipwa hela nyingi duniani kwa mwaka 2022

    Lionel Messi anaongoza kundi la watu ambalo kwa pamoja wamekuwa wakijipatia zaidi ya $990m katika miezi 12 , huku kiwango cha kuwania nafasi hiyo kikipanda zaidi ya ilivyokuwa awali. Lionel Messi alikuwa na umri wa miaka 17 alipoanza kushiriki katika kikosi cha kwanza cha timu ya Barcelona ...
  14. JamiiForums Tanzania Kwa mwenye private car anaetoka arusha kwenda dsm nichangie hela ya mafuta

    Habari wakuu naomba msaada kwa mwenye private car anaesafiri kesho kutoka Arusha kwenda dar es salaam 22/5/2022 nitachangia hela ya mafuta
  15. JamiiForums Tanzania TTCL hii chance mkiizembea hamtoboi tena, fanyeni hivi mpige hela mpaka vichwa viwaume

    Wasalaam Ni mimi C.T.U nimekuja tena kwa mara ya pili leo nimeota ndoto ambayo nafikiri ni ndoto fulani ambayo nimeamua nije kuzungumza na nyinyi ndugu zangu TTCL Ndoto yenyewe ni kuwa TTCL inatakiwa kutengeneza mabilioni ya fedha kutoka kwa watanzania na nafikiri ndio dhima kubwa ya Rais ...
  16. JamiiForums Tanzania Waziri Bashe tulipeni hela zetu wakulima tuliouza mbegu ASA, tunaumia

    Mimi ni mmojawapo wa wakulima tulioingia mkataba na wizara ya Kilimo kuzalisha mbegu bora za kilimo kupitia wakala wa uzalishaji wa mbegu bora za Kilimo; ASA. Ni takribani miezi 9 sasa tangu Agosti na September mwaka 2021tulizalisha na kuuza mbegu kwa mujibu wa mkataba wa uzalishaji hadi sasa...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia afanya Ufunguzi wa Barabara ya Nyahua – Chanya Mkoani Tabora

    Rais Samia Suluhu Hassan yupo Mkoani Tabora kwa ajili ya kushiriki Ufunguzi wa Barabara ya Nyahua – Chany, leo Mei 17, 2022. Rais Samia ameanza kuongea ===== RAIS SAMIA SULUHU HASSAN Lengo la Serikali ninayoiendesha inalenga kujenga miundombinu ya barabara na madaraja ili kuiunganisha...
  18. JamiiForums Tanzania Muogope sana mwanamke anayekwambia anakupenda hata kama hauna hela

    Yaani mwanamke anayekwambia anakupenda hata kama hauna hela, huyo muogope sana. Kwa kawaida kama kwako kunaungua, basi kwa mwenzio kunateketea. Kwenye maisha tunahitaji pesa kusavaivu, kama mwanamke wako anakwambia anakupenda hata kama hauna hela, huyo muogope kama ukome. Wewe hauna hela...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi kipindi Kama hiki Ngoswe halikuwa ameshapeleka Maombi ya sensa ?

    Wakuu eti kipindi Kama hiki Ngoswe alikuwa Ameshapeleka Maombi ya Sensa?
  20. JamiiForums Tanzania Hivi ile hela mwanaume anayompaga mwanamke baada ya tendo inaitwaje?

    Habari za leo wadau ebu kwa wataalam na wahenga naomba ebu tujuzane kuhusu ili jambo maana kila mtu na ujuzi wake na je unaweza kutoa kwa mkeo ndani na kwanini mke apewi hii hela baada ya tendo
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…