hela

  1. K

    JamiiForums Tanzania Sitasahau siku nilipootea begi la hela Bank na kushindwa kuzitumia

    W w w
  2. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kwanini IMF itupe sisi hela ya mkopo Sasa?

    Wazungu mitaala Yao yote Inafundisha elimu kuhusu critical thinking, problem solving na assertiveness. Elimu hii inawapatia wazungu wote uwezo wa kujihoji na kujiuliza wenyewe maswali kama why me (kwanini Mimi, kwanini sisi na kwanini wao?), Elimu hii inawawezesha pia kumwambia mtu NO au YES...
  3. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Kwa Tanzania mil 700 ni hela ndogo sana

    Yaaani dalali anaweza kuongeza au kupunguza milioni 700 Kama sio kitu, yaani utafikiri kaongeza jero kumbe ni milioni 700 kabisa.
  4. F

    JamiiForums Tanzania NSSF fao la kujitoa hawalipi wanachama. Ila wanatumia Hela za wanachama wao kwenye harusi ya Nandy na Billnass

    Kweli dunia haipo fair Watu hawana ajira wakienda kudai mafao yao wananyimwa hela hakuna Ila harusi za wasanii zinamwagiwa mahela kibao na NSSF
  5. F

    JamiiForums Tanzania Siku wazazi wakitumia mbinu za mzazi huyu familia zitaendelea. Hela anazo nyingii ila ada analipa ndogo na mtoto anapata A zote O level na A level

    Mzazi wa huyu dogo ndie mzazi mjanja kuliko wote. Hela anazoo za kutosha tu.. jumba zuri la ghorofa na magari kibao. Ila Watoto wake wanasoma kayumba kuanzia msingi mpaka A level. Na bado watoto wake wanapata A zotee hakuna kufeli. Yaani ada sisimizi ila matokeo temboo Mtoto ukimsimamia...
  6. Shark

    JamiiForums Tanzania Au Mo amegoma kutoa hela za Usajili?

    Kwema? Nashindwa kuelewa huu Usajili wa timu yangu ya Simba Kwa Sasa. Performance ya timu kwa msimu ulioisha haikua nzuri, na ni ishara kua kulikua na mapengo kadhaa. Na kawaida mapengo ya timu yoyote huzibwa wakati wa Usajili. Sasa Kwa Usajili huu wa Simba sidhani kama kweli hesabu zao...
  7. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Mwanaume kuitegemea hela ya mwanamke ni ukahaba mamboleo

    Salam ya kazi gani tuna mambo serious ya kujadili, twende streight kwa mada husika. Duniani kuna mambo mengi ya kushangaza ila pia kuna watu wa kushangaza. Kuna mambo ya kusikitika kwayo na kuna watu wa kuwasikitikia. Kuna wanaume wanaishi maisha ya huzuni na sonona kuu ila wasijue huzuni yao...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Polisi wadaiwa kukataa kufanya uchunguzi wa aliyepotea katika mazingira tata hadi wapewe hela na ndugu

    Askari wa Kituo cha Polisi Misigiri katika Wilaya ya Iramba Mkoani Singida wanadaiwa kukataa kufanya uchunguzi wa tukio la Stella Jingu (38) aliyepotea katika mazingira ya kutatanisha miaka miwili iliyopita wakitaka kwanza wapewe fedha na ndugu wa mwanamke huyo. Inadaiwa askari hao (majina...
  9. La Quica

    JamiiForums Tanzania Uzi wa Kutafuta Hela

    Kumekuwa na utani mwingi juu ya walio na hela na wasiokuwa nazo. Sasa hapa huu uzi utakuwa maalumu kwa wenye hela kuwa motivate wasiokuwa nazo wazitafute kupitia quotes (nadhani ni misemo kwa kiswahili). Mfano. 1. Tafuta hela gas inaivisha maharage 2. Tafuta hela pisi kali zinalika na kila...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Vile tunanuniwa tukikosa hela ya 'Diapers'

  11. Conwel Ngani

    JamiiForums Tanzania Airtel na Voda wanarushiana mpira hawataki kurudisha hela yangu. Je, ni watanzania wangapi wanaibiwa kwa kukata tamaa kufatilia?

    Siku ya alhamisi nilinunua salio la Tsh. 3,000 kutoka airtel money kwenda Voda. Airtel walirudisha msg kuwa muamala umefanyika na salio wakakata. Vodacom hakukuwa na taarifa yoyote kama muamala umepokelewa. Napowapigia airtel wanasema kwao muamala ulifanyika niwaulize voda. Voda wanasema...
  12. Tatamobitch

    JamiiForums Tanzania Usitumie hela nyingi kwenye mwonekano wa duka badala ya bidhaa.. weka stock ya kutosha.

    Kwa Tanzania hasa kwenye miji mikubwa hili limekuwa tatizo kubwa. Wafanyabiashara wadogo tena wanaoanza biashara utakuta wanatumia hela nyingi za mtaji kuwekeza kwenye mwonekano wa duka badala ya bidhaa anazouza. Vijana wengi hasa kwenye biashara ya nguo wamejikuta wanafunga biashara zao chini...
  13. Mcqueenen

    JamiiForums Tanzania Swali fikirishi: Utafanya nini ukiokota hii hela?

    Wewe apo! Yes wewe apo sio mwingine... nina swali moja naomba nikuulize, ambalo ukijibu baadae nitakuambia maana ya hili swali langu. Kwamfano unatembea mtaani halafu njiani kwa bahati nzuri ukaokota shilingi laki moja (100,000/=) Sasa ukawa una furaha sana unatembea huku unapanga utaitumiaje...
  14. MK254

    JamiiForums Tanzania Benki kubwa ya Urusi yasitisha miamala ya hela ya China - hali mbaya

    China ndio taifa linalofaidi pakubwa kwa Urusi kwa hili anguko la Urusi, ila pia nao wameanza kuathirika, benki kubwa ya Urusi imesitisha haitofanya miamala inayohusu hela ya Uchina.... Na pia inapata tabu kutumia hela ya India ================== June 8 (Reuters) - Russian lender Sberbank...
  15. B

    JamiiForums Tanzania BOT - Ruksa sasa Watanzania kununua hati fungani ktk nchi za SADC / kufungua akaunti kwa hela ya kigeni

    BOT - RUKSA SASA WAKAAZI/ WATANZANIA KUNUNUA HATI FUNGANI KTK NCHI ZA SADC / KUFUNGUA AKAUNTI KWA HELA YA KIGENI / KUNUNUA FEDHA ZA KIGENI US$ 10,000 WANAPOSAFIRI New Foreign Exchange Regulations Issued Set foreign exchange limits for travelers Restrictions for residents to maintain bank...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Nimepiga hela ndefu Betpawa nipeni wazo la biashara

    Habarini wapendwa, Namshukuru Mungu kwenye hii shughuli yetu ya kubeti nimebahatika kula million 5 naomba mnisaidie kunipa mawazo ya biashara niifanyie biashara gani ya kunipa faida chapchap mimi nipo Chato, Geita
  17. L

    JamiiForums Tanzania Video:Mapenzi ya hela

    Usithubutu kumpenda mtu kwa sababu ya hela zake...utakufa
  18. mgt software

    JamiiForums Tanzania RAIS Samia tunusuru Wanakagera tupewe hela za tetemeko zilizochukuliwa na serikali ikijidai inarekebisha miundo mbinu

    Wana JF Katika kitu kigumu ni kuamini kama serikali kupitia kiongozi wake anaweza kudhurumu pesa isiyo yake kutoka kwa wale walioingiwa na huruma wakachangia watu wajistri na pesa inayobaki waunganishe na yabdharura ya maafa kujenga miundo mbinu. Bado tuna kumbu kumbi waliochangia maafa ya...
  19. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Unaweza kutumia kiasi gani cha hela kumnunulia zawadi EX wako? Brad Pitt ametumia £60m

    Pamoja na zawadi ya £60m Brad pia ameinunua nyumba waliyoishi na Jeniffer wakiwa wanandoa na kumpa Jennifer kama zawadi. Nyumba hii iliuzwa kama sehemu ya makubaliano ya talaka. Brad aliongea na Jennifer baada ya ndoa yake na Angelina Jolie kuanza kusua sua na Jennifer alimueleza mapenzi yake...
  20. G-Funk

    JamiiForums Tanzania Vodacom wameanza wizi wa hela za M-PESA

    Juzi asubuhi nilikwenda kwa wakala kutoa pesa kabla ya kuanza mihangaiko ya siku nikawa nimebakiza salio katika simu takribani Tshs.15,000+,,,, Cha ajabu jioni wakati natoka mishe mishe nikawa nataka nijiunge kifurushi cha kuongea na simu nikafanikiwa kujiunga kilikuwa cha Tsh.500. Ujumbe...
Back
Top Bottom