Hela ya mwanamke huliwa na nani?

Southern Giant

JF-Expert Member
Sep 1, 2018
321
550
Wakuu poleni na majukumu ya siku nzima,

Asilimia kubwa ya wanawake hawalipi Kodi, hawalipi ada za watoto wala bili ya aina yeyote ile japo kazi wanafanya.

Mbali na mahitaji muhimu ya nyumbani kuhudumiwa kwa pesa ya mwanaume, pia pesa ya saluni ya mwanamke inatoka mfukoni kwetu sisi wanaume.

Je pesa zao huwa wanapeleka wapi..?
 
Wakuu poleni na majukumu ya siku nzima,

Asilimia kubwa ya wanawake hawalipi Kodi hawalipi ada za watoto wala bili ya aina yeyote ile japo kazi wanafanya.

Mbali na mahitaji muhimu ya nyumbani kuhudumiwa kwa pesa ya mwanaume, pia pesa ya saluni ya mwanamke inatoka mfukoni kwetu sisi wanaume.

Je pesa zao huwa wanapeleka wapi..?
Jaribu kuwa mganga wa kienyeji utakula pesa zao kwelikweli.
 
Wakuu poleni na majukumu ya siku nzima,

Asilimia kubwa ya wanawake hawalipi Kodi hawalipi ada za watoto wala bili ya aina yeyote ile japo kazi wanafanya.

Mbali na mahitaji muhimu ya nyumbani kuhudumiwa kwa pesa ya mwanaume, pia pesa ya saluni ya mwanamke inatoka mfukoni kwetu sisi wanaume.

Je pesa zao huwa wanapeleka wapi..?
Wauza fashion, mafundi nguo, masonara, wauza mikoba, wasusi, wauza mikufu na wauza vipodozi, ndio walaji wakubwa wa hela ya mwanamke.
 
Back
Top Bottom