hela

  1. U

    JamiiForums Tanzania Jay Melody ni kwamba hana hela ya video? Wimbo ndiyo unaishia hivyo

    Huyu bwana mdogo anafeli sana, ametoa hit lakini hataki kutoa video. Sasa wimbo wake kidogo kidogo unapotea masikioni japo ni mkali sana. Nashindwa kuelewa ni umasikini, kama ni hivo watu wenye fedha zetu hatuwezi kushindwa kumpa milioni 30 atoe video. Sasa wimbo mkali anachelewa kutoa video...
  2. Planet Data bundles

    JamiiForums Tanzania Je kumiliki blog nyingi zenye mambo tofauti huingiza pesa nyingi?

    Kuna mdau nilikua naongea nae anasema anablog tano hadi nimeshtuka! Anasema kwa mwezi angalau kuliko alivo kua na blog moja, wadau wazoefu hili likoje?
  3. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kumpa hela Mama mkwe ambaye bado hujamuoa mtoto wake?

    Naomba nijibiwe kwa hekima kidogo. Ni binti naweza sema ni mchumba wangu japo kwetu hajulikani, yeye anakaa na mama yake ni mtumishi. Tunafahamiana na mama yake tu hatujawahi kuonana japo jambo lililofanya nijuane na mama yake kwa kipindi hicho ni kibaya sana na hatua aliyochukua ni mbaya...
  4. B

    JamiiForums Tanzania PAMOJA NA GSM kumwaga hela YANGA wanachukua tena Ubingwa

    Pamoja na GSM kumwaga hela kwa timu SImba inacheza nazo kama tulivyoona kwa Prison Kuaahidiwa hela nyingi wakiifunga SIMBA bado simba msimu huu tunawakati Mgumu sana. Kwa Yanga hii me nadeclare Mapema KABISA YANGA HATUWAWEZI MSIMU HUU TENA. Pia mechi za YANGA vs SIMBA na SIMBA vs YANGA hapa...
  5. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Usitoe tena hela kwa mkeo kwa ajili ya salon

    Mwanamke wa kiafrika anayenyoa nywele au kutokusuka huwa analeta baraka ndani ya nyumba. Nywele fupi za mwanamke huwa zina baraka kubwa Sana kwake na mumewe.
  6. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kati ya Nguvu za kiume, Six Packs, Hela, Elimu, kazi au Mali, unachagua kipi?

    Hili swali ni kwa ajili ya vijana waliomo Humu JF. Kati ya kuwa na Nguvu za Kiume, kuwa na mwili uliojengeka misuli (Six Packs), Kuwa na Hela, kuwa na Elimu, Kufanya kazi, au kumiliki mali, kipi unaona ni muhimu kwako? Kama ukiambiwa uvipange kwa kufuata mtiririko kipi kingekuwa Namba...
  7. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Uzuri na hela

    Wasalaam wana JF Nilikua na intoxicate myself nahisi kama kuna uhusiano kati ya uzuri na hela. Niko sehemu very poshy iko na watoto wazuri sana nadhani ata mbinguni hakutakua na watu wabaya. Kwani waislam wanasemaje mabikira 7 si ni pisi kali?
  8. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Hii kauli ya "acheni kulalamika tafuteni hela" ni mbinu ya kuzuia watu kusema ukweli au kudai haki zao?

    Kwa sasa kumekuwa na watu wengi sana wakitumia hiyo kauli. Je, inawezekana ni mojawapo ya mbinu ya kuwafanya wananchi waache kusema yanayowasibu kuhusiana na haki au stahiki zao?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Makarani wa Sensa si mmepewa hela ya kula? Kwanini mida ya saa 7 hadi Saa 9 mnapenda kung'ang'ania katika nyumba moja tu?

    Na gia yenu Kubwa hiyo Mida huwa mnajifanya Vishkwambi vyenu vimeisha Chaji hivyo mnaomba mvichaji kumbe Timing yenu Kuu huwa ni Kuwepo katika Ratiba zetu za Kula mkijua kuwa Watanzania ni Wakarimu hivyo mtakaribishwa na mtakula tu. Kuna Mwenzenu leo kajua kwanini Nyoka hana Ugoko au kwanini...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nimeamini Tanzania yangu kuna watu wana hela

    Naam habarini wakulungwa mabaharia. Nihivi nilikuwa nasimuliwa kunawatu nchi hii wanaishi kuliko mfalme ..ntataja niliowaona 1: Kuna kipindi nilivyo kuwa chuga nilifanikiwa kwenda kufanya kazi kwa mchaga flani pande za njiro. Meneja wa precision Air tawi la Tz, asee hiyo nyumba ulinzi uliopo...
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Ikiwa mtu hayuko pensionable, haya mashirika ya hifadhi ya jamii yanakuwa na uhalali gani wa kushikiria hela za mwanachama?

    Tuliambiwa kuwa mashirika ya hifadhi ya jamii yataunganishwa lakini mpaka sasa Jambo Hilo halijafanyika.kila shirika linajiendesha kivyake. Jambo hili mimi naona limeleta usumbufu mkubwa. Ili mtu aweze kupata mafao ya kustaff anatakiwa awe amechangia miaka 15 . Tangia 2019 tuliambiwa kuwa...
  12. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Walienda Egypt kupoteza hela na muda

    Bila shaka msimu huu anachukua utopolo tena, Mpira ni science sio sifa sifa na kuleta makocha wabovu. Yanga wako compact sana na wameongeza watu wachache, hivi game Kama hii unamuanzisha Mwenda ambae amekosea na kuzingua tokea kipindi cha kwanza, unamuanzisha Kyombo, kweli jamani unamuacha...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mo Dewji sasa kama una Hela si umalizane tu na Ceaser Lobi Manzoki ili wana Simba SC tupumzike kwa Presha?

    Mo Dewji sasa kama una Hela si umalizane tu na Ceaser Lobi Manzoki ili wana Simba SC tupumzike kwa Presha? Akitua tu Simba SC Uto mtakoma!
  14. Shark

    JamiiForums Tanzania NBS acheni dhuluma, walipeni Makarani hela zao

    Kwema Wakuu, Semina Kwa Makarani wa Sensa imeanza Jana. Makarani wameshaanza mafunzo, na mdogo wangu ni mmoja wao akiwa anafanyia Mafunzo yake chuo cha Ustawi wa Jamii. Sasa toka jana wanapigwa kalenda juu ya fedha zao za Mafunzo, Chakula na za Kujikimu. Hawajalipwa za Jana na za Leo pia...
  15. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania APHFTA lipeni watu hela zao.

    Association of Private Health Facilities in Tanzania (APHFTA) lipeni watu waliokuwa wanahudumu kwenye Mradi wenu wa "Tohara salama". Kama hamna hela za kuwalipa waambieni.
  16. S

    JamiiForums Tanzania Polisi chunguzeni vizuri hivi vifo vya wanaume kwenye magesti. Mbona wanawake hawafi?

    Visa vya wanaume kufia guest wakiwa na "*viruka njia" wao vimekuwa vingi sana siku hizi. Wengi wanahusisha vifo hivi na kuzidiwa kwa mwanaume na dozi bab kubwa ya 6 kwa 6 anayopewa na mdada. Inaweza kuwa kweli lkn siyo mara zote. Nimewahi kupewa stori kuwa kuna mbinu inafanywa na wadada wahuni...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kila nikilala nae tu, kesho yake napigiwa simu ya dili la hela

    Huyu dada sijamwambia hii kitu ili asije akadhani nimemgeuza msukule. Kila tukinyanduana tu kesho yake ujue mdeni wangu atanipigia simu nikachukue hela, au nitapigiwa simu ya dili au kibaruani nitapata safari ya hela mikoani. Kuna mademu wana kisimati sana usione tumewang'ang'ania wakati...
  18. kmbwembwe

    JamiiForums Tanzania Wanapiga tena hela ya umma eti kutafuta vazi la Taifa

    Hivi jamani vazi la taifa hua linatafutwa au linakuepo tu? Mimi naamini watanzania kama taifa hatuna vazi ila tuna mavazi ya jadi kwa makabila mbalimbali ya nchi yetu. Mavazi ambayo wala hatuyavai tena isipokua kwa makabila machache kama wamasai. Wao hadi leo wameweza kudumisha uvaaji wa vazi...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kuna mahusiano gani kunyimwa unyumba kama hujatoa hela ya huduma kwa mwanamke?

    Hapa nazungumzia wapenzi ambao wapo kwenye mahusiano ya ndoa au uchumba. Hii mada haiwahusu wanawake wanaojiuza. Unakuta mwanamke unamuhudumia vizuri na Hela unampa kukidhi mahitaji yake ya kila siku. Ila kama mjuavyo siku hazifanani, ikitokea anahitaji lake la Hela na ukute muda huo huna...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Sasa ni rasmi Mzigo Umekata, Aziza Kazimaliza zote Boss hakutoa Hela, ila Wabunge ndiyo walichangishana Kuokoa Jahazi

    Na Wabunge waliojichangisha wamesema wanataka 'Siku ya Wananchi Wapuuzi' tarehe 6 August 2022 warejeshewe Pesa zao vinginevyo watalikamata Basi au watagawana Makombe yote yakakae Kwanza Makwao hadi walipwe Chao.
Back
Top Bottom