Serikali ianzie pale TFF ilipoishia: Viwanja vinajaa hela haionekani,na takwimu wanaoingia uwanjani wachache,kuna mtandao wa tiketi feki pale TFF?

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
12,002
20,661
Yanga na simba wanajaza mashabiki sana, pamoja na timu nyingine,lakini takwimu zinaonyesha wanaolipia tiketi hawalingani idadi na wanaoingia uwanjani, viwanja vinajaa sana, takwimu zinaonyesha watu wachache ndio wanalipia tiketi.

serikali iingie chimbo, haiwezekani viwanja vijae halafu ionekane waliokata tiketi ni wachache
 
Back
Top Bottom