hela

  1. JamiiForums Tanzania Hela ya 'Mchezo' kwa kiingereza inaitwaje?

    Wakuu habarini Hivi hela ya mchezo namaanisha ile ya vikoba au sijui saccos, kwa kiingereza inaitwaje? Soma Pia: Hili suala la wanawake kusaka hela ya mchezo ya kuchangishana ni Tatizo sana Nimeona niulize maana sijawahi kusikia hili neno kwa kiingereza Wataalamu na wajuzi wa lugha jukwaani...
  2. O

    JamiiForums Tanzania Hela ya Tanzania haina thamani tena, naanza kuiona Zimbabwe Bongo

    Hizi ni ishara tosha kwamba hela ya Tanzania imepoteza thamani yake rasmi.Bwana siku hizi, mtaani na kwenye mitandao ya kijamii kumezuka tabia ya Watanzania kutrendisha mambo yasiyo na manufaa yoyote kama kawaida ya wabongo. Watu wanachezea minoti ya shilingi kumi kumi kama wamevurugwa hivi...
  3. JamiiForums Tanzania Ogopa mke anaekupenda ukiwa na hela tu huyo chuma ulete

    Shalom Natoka kusikiliza kesi moja ya wapendwa wanandoa aisee kuna jamaa alishika hela akafanya yake Sasa mke akalianzisha kuachana mwanaume akamwambia 👍 Yaliyotaka kumkuta akatonywa na jamaa yaan rafiki yake huyo mumeo nduguye hakim Wa Morocco utalia Akaenda kuomba mahakaman anampenda...
  4. JamiiForums Tanzania Trauma ya Mtoto: Karatasi Iliyofinyangwa

    Huyu jamaa alikuwa mnyama kabisa. What he did was destroy a soul of a 15 yrs old young boy. Imagine unampa mtoto mdogo Lamborghini na bado hapo hapo unakeshesha kwenye party za kishenzi aone upuuzi watu wanaofanyiwa, Hakika kuna watu humu duniani wana laana zisizo koma. Huyu jamaa alizidi...
  5. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu ajira mpya 2026 Babati tunachelewa kwa fedha za kujikimu

    Tunaomba msaada wa kutupazia sauti sisi watumishi wa ajira mpya wa mwaka 2026 katika Idara ya Elimu, Halmashauri ya Babati. Hadi leo imepita takribani miezi saba tangu kuajiriwa kwetu, lakini bado hatujapokea fedha za kujikimu ambazo ni stahiki yetu kwa mujibu wa taratibu za utumishi...
  6. JamiiForums Tanzania Mchepuko hautaki tuwekeze unachojua wenyewe ni kutumiwa hela na kula tu

    Ni manzi yangu ya kitambo ila ndio hivyo tena hana malengo yoyote yeye anajua kutumiwa na kula tu. Nilimwambia awe na biashara nimuwezeshe afanye biashara ajipatie hela ndogo ndogo za kutumia cha ajabu anasema sio kazi yake kutafuta pesa. Nia yangu ilikuwa nimuwezeshe awe na biashara ya...
  7. JamiiForums Tanzania Heche anapeleka wapi hela anazotafuna? Nyumba anayojenga haiendani na hela zinazotajwa kutafunwa

    Hii nyumba inatajwa ni ya kisasa ila kwangu mimi ni nyumba ya kawaida sana inayopaswa kujengwa na kijana aliyeanza ajira. Hii nyumba imenikumbusha last born wetu alijenga yake inayofanania. Pia kama hii nyumba ingekuwa inajengwa kwenye prime areas za nchi hii ingeongeza uzito kwenye hoja. Hii...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Wito kwa watanzania: Tumchangie hela Heche kama malipo ya kutunyooshea mafisadi na majambazi yaliyoua watanganyika wenzetu

    Ndugu watanzania, husikeni na kichwa cha habari. Kazi iliyotukuka ya makamu mwenyekiti wa chama pendwa CHADEMA, inahitaji kuungwa mkono na kila mzalendo yoyote popote alipo. Ni wakati sasa kuwaonyesha hawa watesi, wauwaji, wafiraji, watekaji na waporaji wa mali za watanganyika kuwa tunaitambua...
  9. JamiiForums Tanzania Huu picha ina maana kubwa sana kiroho, ama kweli hela ngumu

    Upindeeeee
  10. JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Ubungo wachangishwa hela ya ulizi wa maandamano 7 7

  11. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanaume wanaogopa kuwapa wanawake hela? Wapeni hela nao wawape

    Zama za kusubirishana Gizani kusubiri reply zimepitwa na wakati! Sasa we Endelea kutongoza unadhani utafanikiwa bila Pesa ! Kwa sasa kupata mwanamke 1. Kuwa na Pesa 2. Cheo 3. Kipaji 4. Muongo muongo kwa ahadi Hivi hivi hupati kitu! Nyakati hizo zimepitwa Sasa ni nipe nikupe Nimegundua...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wilaya ya Momba Mkoa Songwe, ajira mpya hatujalipwa hela ya kujikimu

    Watumishi wa ajira mpya katika Wilaya ya Momba, Mkoa wa Songwe, tunaomba msaada kuhusu malipo ya fedha za kujikimu ambazo hadi sasa hatujapokea. Tulielezwa kuwa fedha hizo tayari zilikuwa zimewasili, lakini hadi sasa mwezi unaelekea kuisha bila kupokea malipo wala kupewa taarifa yoyote rasmi...
  13. JamiiForums Tanzania Kama kupata hela ni rahisi kiasi hicho, watu wote wangekuwa mabilionea, Shtuka!

    Mtu anae bet always anakuwa na pressure na msongo wa mawazo Bora hizo buku buku uzichange upate mtaji..ufungue ata genge la kuuza nyanya.
  14. P

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ni hisia na si kuhudumia kwa kutoa hela

    Hisia zitakuua bila kutoa sasampa kwa hawa watoto wa alfu mbili
  15. JamiiForums Tanzania Natamani kuoa, lakini hela sina

    Uwezo wa kumlisha ugali masaa 24 upo Na kumvesha nguo za bukubuku upo Nitampata wapi wakuridhia hali yangu ya umaskini
  16. JamiiForums Tanzania Chalamila: Kama huna hela usije Masaki

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, amewavunja watu mbavu wakati akielezea kuhusu umuhimu wa mipango miji katika mkutano wake na watendaji wa mitaa, kata na wenyeviti wa serikali za mitaa uliofanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC), Posta jijini Dar es...
  17. JamiiForums Tanzania Salio lako ndio huamua kama Serikali ni nzuri au mbaya

    Ukiwa na hela, ukiona watu wamejazana kwenye mahoteli wanakula bata unasema Uchumi unapiga hatua, watu wana pesa. Ukiwa huna hela unasema Hawa raia wanatoa wapi hela wakati hali ni mbaya hivi? Ukiwa na hela, mafuta yakipanda bei unasema Hii ni hali ya soko la dunia Ukiwa huna hela unakuwa na...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mawakala wengi wa huduma za fedha za simu wanafikiria kuacha kazi hiyo kutokana na changamoto nyingi ikiwemo kipato kidogo kutoka Kampuni za simu

    Kuna malalamiko makubwa kutoka kwetu sisi mawakala wa huduma za miamala ya fedha. Kampuni za mitandao ya simu zimekuwa zikifanya maamuzi yanayotugusa bila kutoa maelezo ya kutosha wala kuwashirikisha mawakala. Kwa muda sasa tumekuwa tukikatwa sehemu ya fedha zetu wakati wa malipo ya kamisheni...
  19. JamiiForums Tanzania Hela ngumu kupatikana bwana..hahah! Njoo ujipongeze

    Pongezi kwa kila mwenye kupata riziki halali. Ukiweza kutega mifereji ya kupata shilingi kadhaa, kwa jasho lako (au hata kwa kusaidiwa)...wewe sio MTU wa mchezo mchezo..heeeko👍🏾!
  20. A

    JamiiForums Tanzania KERO Walimu wa Shule za Msingi Gmhasa Tumaini iliyopo Ilala wanalazimisha Watoto waende wikiendi wakiwa na hela za mitihani

    Wazazi na wanafunzi tunalalamikia tabia ya baadhi ya walimu wa Shule za Msingi Gmhasa iliyopo Ilala, Dar es Salaam kuwashinikiza watoto kuhudhuria shule siku za mwisho wa wiki (Jumamosi), pamoja na kuchangishwa fedha za mitihani. Inadaiwa kuwa baadhi ya mitihani hulipiwa, jambo ambalo linaibua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…