McLaren
JF-Expert Member
- Feb 19, 2025
- 1,080
- 3,409
Wakuu habarini
Hivi hela ya mchezo namaanisha ile ya vikoba au sijui saccos, kwa kiingereza inaitwaje?
Soma Pia: Hili suala la wanawake kusaka hela ya mchezo ya kuchangishana ni Tatizo sana
Nimeona niulize maana sijawahi kusikia hili neno kwa kiingereza
Wataalamu na wajuzi wa lugha jukwaani humu tuelezane