hazina

Hazina is an administrative ward in the Dodoma Urban district of the Dodoma Region of Tanzania. According to the 2002 and 2012 census., the ward has a total population of 7,25.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba Japan na Ujerumani zinakaliwa na Marekani kimabavu na hazina jinsi ila kujifanya ni makubaliano

    Japan ilikuwa ni mshirika mkubwa wa Hitler kwenye vita kuu ya pili!! Japan walikuwa ni wababe wa vita na wakatili sana!! Waliwatesa sana wachina na korea ya kusini enzi hizo. Hadi leo Wachina na wakorea ya kusini hawaivi kabisa na wajapan. Baada ya vita kuu ya pili Hitler na Japan waliposhindwa...
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania ORLANDO PYRATES: Walivyochezewa nusu uwanja hata nyumbani kwao Afrika ya kusini waliona. Porojo za hujuma hazina nafasi.

    Katika ulimwengu wa soka wa Leo Kila mmoja anajionea mwenyewe mambo yalivyokuwa uwanjani. Nafasi ya kudanganya watu kujitafutia huruma haipo. Kusema kweli Orlando washukuru Sana kuishia kufungwa goli moja tu kwa jinsi walivyokuwa wamezidiwa! Hiyo penati ilikuwa ya wazi Sana, BM alipigwa ngwala...
  3. tutafikatu

    JamiiForums Tanzania Je, Taasisi za Serikali hazina watumishi wenye Sifa hadi Wakurugenzi Wakuu Wateuliwe toka Nje ya Mfumo?

    Thread hii, inatokana na baadhi ya teuzi za wakurugenzi wa TANESCO na MSD kutoka nje ya mfumo. Nina declare interest kwamba sina shida na teuzi ya MSD. Ni mmoja wa colleagues tuliyekuwa tukifanya naye kazi nje ya mfumo. Ninaamini anastahili, na ataweza. Tatizo linatokea hapa. 1. Hivi inakuwaje...
  4. luangalila

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Low beam hazina nguvu

    Wadau kwema Mkoko wangu aina ya Raum new model izi za 2007 una shida iyo taja, mwenye kujua shida hii nii solve vipi ..maana ata nikibadilisha bulb bado low beam hazimuliki chini vizuri kwa ule mwanga unaotakiwa Kitu ambacho kimenifanya nitumie high beam ata nikiwa town route za usiku , hii...
  5. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Supu na michemsho kwenye mabaa ya Dar es salaam hazina kiwango ukilinganisha na tunazokula mikoani.

    Huwa nashangaa sana nikiwa kwenye ziara zangu huko jijini Dar es salaam. Utakuta supu ya ng'ombe au kuku inauzwa buku nne mpaka sika. Tena kwenye baa za kiwango kikubwa lakini ukionja unakuta hazina kiwango kabisa. Husikii harufu ya ya supu ya kuku au ng'ombe. Supu yenyewe majimaji tu yaani...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Ripoti za Tume za Maprofesa wetu hazina tija

    Amesikika Profesa Manyele na ripoti ya vinyesi vya ng'ombe. Kama vile haitoshi inasemekana Profesa Mukandara naye yuko njiani kudai katiba mpya isubiri tu hadi baada ya 2025. Hawa si wa mwanzo. Wapo waliojinasibu kuokotwa walikotoka. Wapo waliotuaminisha kusubiria Noah zetu tokea kwenye...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Wafuasi wa Magufuli muelewe, siasa zenu hazina nafasi tena nchi hii, ila wapinzani nao wana wajibu

    Pamoja na matatizo mengi Tanzania ilyokuwa nayo kabla ya mwaka 2016 lakini ilikuwa katika njia nzuri na ilikuwa inapiga hatua, Then akaingia Magufuli ambaye wengi, ikiwemo mimi nilidhani atatatua matatizo mengi ya nchi yetu kwa kipindi kile Lakini Magufuli alikuja na siasa mpya ambazo...
  8. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Vita ya Tatu ya Dunia ikinukia:- Zijue nchi 31 ambazo hazina jeshi

    1. Andorra Andorra moja ya nchi ndogo sana barani Ulaya iliyopo kati ya Spain na Ufarasa na ina watu 85,000 . Nchi hii ina polisi wake weyewe ambao wanaitwa Cos de Policia d'Andorra, lakini haina jeshi. Ulinzi wa mipaka ya nchi hii uko mikooni mwa Hispania na Ufaransa kwasababu wao ndio...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Japhet Hasunga: Deni la kodi ya Ths trilioni 300 za makinikia ni aibu kwa nchi, hazina uhalisia

    Japhet Hasunga ambaye alikuwa waziri katika Serikali ya Magufuli, amesema trilioni 300 ambazo zipo katika bodi ya rufaa za kodi za TRA ambazo zinatokana na ripoti ya Profesa Osoro na Mruma zilizoonesha kuwa makampuni ya madini yalikuwa yakitorosha makinikia yenye thamani kubwa na kuikosesha...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Iundwe Wizara ya Uchumi, Viwanda na Biashara. TRA irudishwe Hazina kama Idara ndipo tutatoboa

    Ni ushauri kwa bunge, wabunge na Spika mpya Dr Tulia Ackson. Jaribuni kuishauri serikali ili mipango ya kiuchumi ihamishiwe wizara ya Viwanda na Biashara kisha ateuliwe mbunge nguli wa Uchumi, Biashara na Masoko kuendesha wizara. TRA irudishwe Hazina kwani lengo la Sanare na Kezilahabi wakati...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Hazina mnatuchanganya sasa

    Leo tarehe 15/2/2022 mmetoa tena salary slip nyingine za January. Deni la bodi ya mkopo limerudi kama zamani wengine limeongezeka. Deni LA benki limerudi tena vile vile inamaana watumishi hawajalipiwa mikopo na serikali? "Tunahitaji katiba mpya itakayokidhi mahitaji ya sasa"
  12. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Barabara/Highways nyingi hazina vivuko vya miguu stahili

    Kwa barabara zetu kuu ( Highways) hivi hakuna kigezo kwa wakandarasi wa barabara kuweka vivuko vya watembea kwa miguu stahili zaidi ya kuchora mistari ya pundamilia? Nimeandika hivi kwa sababu barabara zetu kuu karibia zote zimejaa matuta na Zebra kitu ambacho nahisi kinaweza kuwa hata nje ya...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Umma waombwa na Hazina kuorodhesha Dini na Kabila zao. Rais Samia na Wasaidizi wako, haya yanafanyika kwa lengo gani?

    Habari wana JF .. Mimi niliahidi sitamkosoa Rais Samia, kwa sababu nilishawakosoa sana ma Rais wa nchi hii hadi nachoka; lakini Kuna mambo ni mazito huwezi hata kufikiri yanaweza kufanyika kwa karne hii. Mimi niwaombe Serikali, niwaombe CCM, niwaombe washauri wa Rais, kama mmechoka, mtuachie...
  14. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Neema kwa wafanyakazi, CRDB imeshusha riba hadi 13% kwa wafanyakazi na 9% kwa wakulima

    Hivi karibuni Bw. Nsekela wa CRDB alisema mabenki yatashusha riba na kweli ameishi kwenye maneno yake. Leo CRDB wametangaza kushusha riba kutoka 20% hadi 9% kwa wakulima na kutoka 16% hadi 13% kwa wafanyakazi. Ingawa riba bado ni kubwa sana ila kiukweli hii ni neema kwa wafanyakazi...
  15. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Takwimu za Uchumi wa Mikoa hazina maana kama Mikoa haijitegemei

    Sielewi hizi takwimu ya kipato cha Mikoa kinachotolewa zina lengo gani haswa, je ni kuonyesha Mkoa upi ni masikini zaidi ya mwingine au ni nini? Na kama ndiyo je, tukishajua Mkoa fulani ni masikini then what ? Nini kinafwatia? Tunafanya nini sasa na hizo namba? Kwangu mimi ingeleta maana kama...
  16. CCM Music

    JamiiForums Tanzania Serikali ifute Div 4 na 0. Hazina tija yoyote kwenye ulimwengu wa leo! Halafu ipunguze Div 1 kuna pointi nyingi sana Div 1.

    Zibaki Div 1, 2 na 3. Just imagined matokeo ya mitihani ina range from point 7 hadi 35 Kwa O level. Uwingi wote wa nini? A level point 3 hadi 20s huko. What the meaning of all these many numbers? Div 1 inaanza 7, 8, 9, 10, 11, unaendelea kuchanja mbuga hadi 17 dah a very long safari. Div...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wale 'Waswahili' ambao 'mlinidhihaki' pale niliposema kuwa Mchezaji Pape Ousmane Sakho ni Hazina na kamwe asiachwe Simba SC mpo wapi leo?

    Yaani kabisa GENTAMYCINE ANTIBIOUTIQUE niseme Jambo au Kitu fulani halafu nikosee au nisiwe na uhakika nalo? au nimpende Mchezaji fulani kama nimpendavyo Khalid Aucho, Yanick Bangala, Jonas Mkude na Pape Ousmane Sakho halafu nikosee au wasiwe Wazuri kama nilivyowaona na Kuwasoma Kiuwezo? Asante...
  18. The Sunk Cost Fallacy

    JamiiForums Tanzania Mnaotafuta Kazi,Canada kuna Kazi bwerere hazina watu.

    Happy new year. Wale mnaotafuta Kazi ,nendeni haraka Canada,mnaweza wasiloana na Balozi wetu kule awafanyie connection. Sio mumelundikana Bongo na kulia Lia tuu hamtaki kujiongeza. Kazi hizi hapa zinawatafuta nyie👇
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wale Wanasimba SC na wana Yanga SC mliokuwa 'mkinishambulia' JF nilipokuwa 'nikimsifia' Kibu Denis kuwa ni Hazina Kubwa mpo wapi leo?

    Kudadadeki GENTAMYCINE sijawahi Kumpenda na Kumsifia Mchezaji Mbovu au Mchezaji ambaye hafanyi kile nilichomsifu nacho. Nikisema au Nikichambua huwa nakuwa nina uhakika kwani hata huo Mpira wenyewe naujua na isitoshe nimeucheza vile vile tena katika Ngazi zote Muhimu za awali Mashuleni, Mtaani...
  20. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Tozo za visima hazina uhalisia - mtazamo wangu

    Nilikuwa nasoma jarida moja nikaona kuwa mtu akichimba kisima kwa ajili ya matumizi yake ya nyumbani anatakiwa kulipia kodi ya shs 8,300 kwa mwezi. Wakati huo huo matumizi ya kawaida ya nyumbani kwa maji ya Dawasco hulipia kati ya 4000 na 10,000 hivi. kwa namna nyingine ni kama vile watu...
Back
Top Bottom