hazina

Hazina is an administrative ward in the Dodoma Urban district of the Dodoma Region of Tanzania. According to the 2002 and 2012 census., the ward has a total population of 7,25.

View More On Wikipedia.org
  1. Pascal Ndege

    JamiiForums Tanzania Tanzania unaweza kusema uongo hadharani na usiwajibike popote. Sheria ya kulinda maadili itungwe

    Toka sakata la Bandari lianze nimepitia na kusoma sheria nyingi sana. Nikasoma na sheria mbalimbli za nchi nyingine. Nikagundua nchi haina sheria ya Uongo na upotoshaji wa umma. Kwa nchi ya Tanzania unaweza kwenye vyombo vya habari ukasema uongo tu ambao si wa kichochezi na usiwajibike popote...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Nyimbo za Burna Boy hazina Mvuto lakini eti ndio anafunika Afrika nzima

    Najiulizi huyu mwamba ana trend Africa nzima na nje ya Africa anapagawisha sana watu, mimi nimejaribu kusikiliza nyimbo zake naona hata hazina mvuto kabisa lakini amepanda kuwa ndiye Giant kuliko wote. Nikiangalia nyimbo za Bugati - let me see ololo , who is ur guy na ile ya I wanna see with...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Shutuma za nchi za Magharibi kuwa China inaharibu mnyororo wa ugavi duniani hazina msingi

    Wizara ya Biashara na Mamlaka ya Forodha nchini China hivi majuzi zilitangaza kudhibiti mauzo ya nje ya bidhaa za Gallium na Germanium kuanzia tarehe mosi Agosti. Baada ya kusikia habari hii, Wizara ya Biashara ya Marekani ilitoa malalamiko mara moja, huku baadhi ya vyombo vya habari vya nchi za...
  4. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Mtakaochangia mchango wa kufungua kesi hela zenu hazina kazi na kichwani kidogo kuna shida

    Hivi hao mawakili wameshindwa kweli kujichanga ndio wafungue kesi? Walifungua kesi wakitegemea pesa za watz? Na serikali mliwapaje kibari cha kutuchangisha uhuu ninupumbavu wafutiwe kibari cha kuchangisha Watz siku zote wanawaza kuwapiga watu uhuu ninupumbavu uhu upepo utaenda na pesa za watu...
  5. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Ufyatu 100%: Sababu zinazotolewa hazina mantiki au mantiki hazina sababu?

    Na. M. M. Mwanakijiji Sababu zinazotolewa za mkataba wa bandari: 1. Imekuwa ikiendeswa bila ufanisi (na bado tukawa tunawalipa mishahara) 2. Tunapoteza sana hela (miaka yote hili linajulikana) 3. Hatuna vifaa vya kisasa (kwani vifaa vinashushwa toka mbinguni?) 4. Hatuna watendaji wenye...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa nakukubali kama nawe unavyonikubali hapa JF, ila Hoja zako za leo hazina Ushawishi wa Kuaminika

    Nakuomba tu Mzee wangu achana na hao Wanaokudanganya na Kukutumia ili Kumtikisa Rais Samia na Serikali yake kwani ukishayafanikisha Malengo yao Watakutupa hovyo kama zitupwavyo Condoms zilizokwisha tumika. 75% ya Hoja zako ulizozitoa Leo zinajichanganya mno Kimafikirio kiasi kwamba Mimi mwenye...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Bagamoyo: 52% ya bidhaa zinazokaribia kupigwa mnada na TRA, hazina mwenyewe

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetangaza kupiga mnada bidhaa mbalimbali ambazo zitaendelea kukaa katika vituo vya forodha kwa siku 30 baada ya tangazo lao. Kwenye tangazo hilo wameambatanisha excel sheet yenye orodha ya bidhaa, wamiliki na mahali zilipo. Bidhaa hizo ni za sehemu mbalimbali...
  8. chiembe

    JamiiForums Tanzania Sio T.R.A tu, mamlaka za kodi dunia nzima zinaogopeka na hazina "urafiki" na walipa Kodi, moja kati ya hizo ni "TRA" ya Marekani, inaogopwa mno!

    Mamlaka za kodi ni "polisi wa mapato" inachukua halali ya serikali, na kawaida, ni jbo gumu kwenda kuchukua kwa mtu fedha yake, lazima alalamike. Watanzania hatujiulizi kwa nini makusanyo Sasa ni trilioni mbili? Wakati mwanzo ilikuwa trilioni moja na bilioni 200? Nani hawa walikuwa wanakwepa...
  9. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Taulo langu la dukani linaacha pamba kwenye nywele nikijifuta, ni taulo zipi nzuri za dukani hazina hali hii

    Yani nikitoka kuoga nikijifuta kichwani nywele zinabaki na vipamba vyeupe na ni vigumu sana kutoka. Kwa mataulo ya mtumba mimi niliyashindwa, yani nikifikiria tu kwamba mtu kalitumia kujifutia kwenye mfereji wa mabonde kwa muda mrefu napata kinyaa. Ni mataulo yapi ya dukani specific ni mazuri >
  10. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raila Odinga: Tutaandamana leo hadi Ikulu, Tume ya Uchaguzi na Ofisi ya Hazina

    Kiongozi huyo wa Upinzani unaoongozwa na Muungano wa Azimio la Umoja One, amesema maandamano ya kupinga Utawala wa Rais Ruto na Serikali yake yatafanyika leo Mei 2, 2023 licha ya Polisi kukataa kuwapa kibali. Odinga amesema watawasilisha Pingamizi kuhusu Uchaguzi Mkuu wa Agosti 2022, Malalamiko...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kibaka huyu ni kutoka mamlaka gani?

    Huyu hafuzu kuwa mfanyakazi wa umma. Ana nini huyu kumtofautisha na mhuni mvuta bangi wa mtaani?
  12. L

    JamiiForums Tanzania Tuzo za Muziki "Tanzania music Award" hazina mvuto kabisa,Diamond Ana haki kuzikataa

    Wakuu, Nafatilia tuzo za Muziki Tz ,aisee kinachoendelea hazina Radha kabisa. Zinarushwa kupitia king'amuzi Cha Azam, sinema zetuaaa #nashauri,warejee nyuma zilivyokuwa.
  13. mwarabu feki

    JamiiForums Tanzania FT: Wydad Casablanca 1-0 (Penati 4-3) Simba S.C | CAF Champions League | Simba yaondolewa kwa mikwaju ya penati

    Wanathiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiimbaaaaaaa[emoji350][emoji350] Hayawi hayawi Sasa yamekuwa, Ile siku iliyosubiliwa Kwa hamu na waarabu wote hatimaye imefika.. Ni siku ya hukumu kwa mnyama Simba Ni siku ambayo taifa la Tanzania linaenda kupata aibu kwa kipigo kizito watakachoenda kushushiwa Simba na...
  14. Babyloni

    JamiiForums Tanzania Prof Kabudi ni hazina kwa taifa letu akiweka siasa za uchawa pembeni

    Taifa letu limejaliwa kuwa na wabobezi wengi katika nyanja mbali mbali kama siasa, uchumi n.k. Nikiri kuwa siasa za nchi hii zinawaharibu wataalamu wetu wengi kwa ambao tumebahatika kumfahamu prof Kabudi kabla ya kuingia katika siasa za CCM watakubaliana na mimi kuwa huyu prof ni smart sana na...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Hazina iko mikono Salama

    Amesikika waziri Mwigulu kuwa hazina yetu iko salama na zaidi sana Iko mikono salama: Kwa mwendo huu waziri Mwigulu analenga kusema nini hasa? Na kadhalika na kadhalika hadi chefu.
  16. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Kwanini nyumba Tanzania zinauzwa bei sana na hazina uzuri wala ubora?

    Kwanini nchi nyingine bei ya nyumba iko chini sana na nyumba zao ni nzuri sana kuliko Tanzania? Je, kupanga bei ya kuuza nyumba kupitia madalali wasio na ujuzi wala elimu yoyote ya ardhi na thamani yake, kunaathiri kiasi gani sector ya Real Estate nchini?
  17. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini nchi za Afrika hazina hamu tena na "Demokrasia ya Kimarekani"

    Mkutano wa pili unaojiita kama "Wa kilele wa demokrasia duniani" ulioandaliwa na serikali ya Marekani utafanyika hivi karibuni, na moja ya kumbi ndogo itakuwa barani Afrika lakini hadi sasa, ni nchi 16 tu kati ya 54 za Afrika ambazo zimethibitisha kuhudhuria. Hii imeonyesha kwa mara nyingine...
  18. HaMachiach

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuhusu Mgombea wa nafasi ya Uweka Hazina Taifa Chama cha Walimu Tanzania Protas Magesa

    Ndugu walimu na wanajamii kwa ujumla wa Taifa hili Tukufu, nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Naomba nianze kuweka bayana taarifa ambazo huenda hamzifahamu kuhusu Mgombea wa nafasi tajwa hapo juu Mwalimu Protas Magesa. Huyu ni mwalimu mwakilishi kwenye Kamati ya Utendaji...
  19. benzemah

    JamiiForums Tanzania Uteuzi: Rais Samia amteua Nehemia Mchechu kuwa Msajili Hazina

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:- 1. Amemteua Bw. Nehemia Kyando Mchechu, kuwa Msajili wa Hazina. Kabla ya uteuzi huo Bw. Mchechu alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC). Bw. Mchechu anachukua nafasi ya Bw...
  20. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Yafichuka mazito: Diamond Platnumz na Majizo bifu zao hazina mashiko

    Moja kati ya maboss wa Media, huwezi kosa taja jina la Majizo. Huyu ni Mkurugenzi na Mtendaji toka Radio E na TV E, ambaye kwasasa ni mume halali wa Elizabeth Michael (Lulu), japo alikuwa akitoka na Hamisa Mobetto before na kupata nae mtoto mmoja. Hamisa Mobetto ambaye ni mjasiriamali na msanii...
Back
Top Bottom