Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,779
- 18,745
Japhet Hasunga ambaye alikuwa waziri katika Serikali ya Magufuli, amesema trilioni 300 ambazo zipo katika bodi ya rufaa za kodi za TRA ambazo zinatokana na ripoti ya Profesa Osoro na Mruma zilizoonesha kuwa makampuni ya madini yalikuwa yakitorosha makinikia yenye thamani kubwa na kuikosesha nchi mapato
Hasunga amesema hela hiyo ni sawa na bajeti ya Serikali kwa miaka 10 na tunapaswa kujiuliza deni hili lina uhalisia maana linaichafua nchi nyetu
Ripoti ya Osoro na Mruma ilizua mjadala mkubwa ambapo aliyekuwa mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu alikuwa mkosoaji mkubwa wa ripoti hiyo na kuiita professional rubbish ambapo alipigwa risasi s siku chache baadae