Ukweli ni kwamba Japan na Ujerumani zinakaliwa na Marekani kimabavu na hazina jinsi ila kujifanya ni makubaliano

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
13,663
18,037
Japan ilikuwa ni mshirika mkubwa wa Hitler kwenye vita kuu ya pili!! Japan walikuwa ni wababe wa vita na wakatili sana!! Waliwatesa sana wachina na korea ya kusini enzi hizo. Hadi leo Wachina na wakorea ya kusini hawaivi kabisa na wajapan. Baada ya vita kuu ya pili Hitler na Japan waliposhindwa vita, ilibidi wasalimu amri na kuingia mapatano na Marekani!! Kumbuka kuwa Marekani iliishambulia kwa nyuklia Japan!! Moja ya makubaliano ya kulazimishwa kwa upande wa Japani ni:

1. Japan kutokuwa na Jeshi la kupigana vita nje ya nchi yake. Inaruhusiwa tu kuwa na jeshi "dogo" la kulinda usalama wa mipaka ya nchi yake!!

2. Marekani kujitoa kuilinda Japan endapo itashambuliwa na nchi nyingine!! Kwa msingi huo LAZIMA marekani kuwa na kambi zake za kijeshi nchini Japan na askari wa marekani wa kutosha KWA GHARAMA YA JAPAN.

3. Japan haruhusiwi kuwa na silaha za nyuklia, bali silaha za nyuklia nchini Japan zitakuwa za marekani kwa ulinzi wa Japan.

Makubaliano kama hayo pia yapo kwa upande wa Ujerumani ( japo si kwa kiasi kikubwa kama ilivyo kwa Jaspan).

Marekani inazikalia nchi hizo (hasa Japan) ili kuhakikisha kwamba hazijaribu kulipiza kisasi kwa kipigo cha vita kuu ya pili. Marekani ilikuwa na wasiwasi sana kuwa Japan itajaribiwa siku moja kulipiza kisasi kwa Marekani kutokana na ilivyopigwa kwa bomu la nyuklia!! Ndiyo maana Marekani haiwezi kuondoka Japan hata iweje!

Mara kwa mara wananchi wa Japan huwa wanaandamana kupinga ziara za viongozi wa marekani nchini mwao. Hata kipindi hiki mamia ya raia wa Japan wameandamana kupinga ziara ya rais wa Marekani nchini Japan!! Wananchi wanajua Marekani inaikalia Jsapan kimabavu, na viongozi wanajua hivyo lakini hawana jinsi!

Biden starts Japan tour as protesters take to streets​


Placard.jpeg

A protester holds a placard denouncing the talks between the US President Joe Biden and his counterpart Japan's Prime Minister Fumio Kishida, the Quadrilateral Security Dialogue (Quad) summit among the US, Japan, Australia and India leaders, and the Indo-Pacific Economic Framework (IPEF), ahead of Biden's arrival in Tokyo, Japan May 22, 2022. [Photo/Agencies]

TOKYO - US President Joe Biden arrived in Japan on Sunday, as about 750 protesters took to the streets here against the planned US-Japan summit and the summit of the Quadrilateral Security Dialogue (the Quad).
 
hivi ilikuaje vijitu vifupi na vyenye sura mbaya kama vijapan kuwa na akili nyingi mpaka za kupambana na mbabe wa Dunia mpaka kumkera kiasi cha kuamua kuwatwanga manuklia
 
Back
Top Bottom