haya

Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.

View More On Wikipedia.org
  1. Dr am 4 real PhD

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu hawawapi watoto wao majina haya?

    Herode Farao Pilato Nebucadreza Etc... Ongezea na wewe majina ambayo watu hawapendi kuwaita watoto wao........ Wasalaam 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
  2. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Haya ndio madhara ya kuajiri watoto kwenye taaluma

    Unajiuliza hawa ni wawakilishi wa timu kwenye umma au ni vibonzo?! Hapa wanahojiwa na mwana habari, lakini wanajibu upuuzi
  3. Gemini Are Forever

    JamiiForums Tanzania Napata maneno haya mara kwa mara ninapoperuzi Facebook. Tatizo Nini?

    Salaam wanajukwaa. Kama kichwa Cha habari kinavyosomeka hapo juu. Nimekuwa naletewa ukurasa huu ufuatao Kila ninapoperuzi Facebook. Tatizo nini?
  4. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Haya mabadiliko ninayaona peke yangu ama nanyi wengine mnayaona?

    Kila ninapo pita sehem kubwa ya vijana suruali haziwatoshi/zinaanguka. Na vijana wengi wana vyuoni suruali haziwatoshi/zimekua fupi miguuni hata kama ametoka kwa fundi kuishona jana. Kuna siku niliiona pale Pestana Dodoma majamaa wameshiba na miili imejengeka vyema, wamevaa vipens vifupi hadi...
  5. Equation x

    JamiiForums Tanzania Maisha haya bila kuwa na mahusiano, utaona dunia ni chungu

    Kila utakayekutana naye, utakuwa unamkasirikia; atakaye kusemesha neno dogo tu, unamjibu kwa ukali; ukiona uzi wa masham sham unakasirika: hii ni ishara ya kukosa mahusiano sahihi. Ndio, ni kweli hapa duniani kuna changamoto nyingi, hasa za kiutafutaji ili kuweza kupata mkate wa kila siku; zipo...
  6. mshamba_hachekwi

    JamiiForums Tanzania Haya makanisa ya 'manabii', 'mitume' yalianza lini hapa Tanzania?

    Hii post haina lengo la kumdhihaki mkristo yeyote atakaeisoma, wala kujaribu kulinganisha imani zozote. Ningependa kujua kutoka kwa yeyote anayefahamu mwanzo wa haya makanisa maarufu ya mitume au manabii watenda miujiza. Labda unajua, ama ulikuwepo kipindi hicho.
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume akamatwa akishiriki mashindano ya CHESS kama mwanamke

    Hii imetokea nchini Kenya. Dume limejifunika vazi la dini fulani ambalo kwa kawaida huvaliwa na wanawake, na likashiriki mashindano ya Chess kwa wanawake!! Kwa bahati mbaya kwake wakalishtukia!! Male chess player caught competing as woman The Kenyan man wore a hijab and signed up for the female...
  8. 6 Pack

    JamiiForums Tanzania Haya ndio mambo ambayo Marekani na Tanzania zinafanana kwa sasa. Soma uyajue

    Wakuu vipi, kwema. Nimefuatilia kwa makini mambo yanayoendelea duniani, nikagundua kwamba Marekani na Tanzania yetu kuna baadhi ya mambo huwa tunafanana haswa kwa upande wa mambo ya kufukia mashimo. 1) Nikianza na Taifa kubwa Marekani: Hawa jamaa baada ya kusikia kuwa kuna mzozo mkubwa umezuka...
  9. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Achana na propaganda haya ndio makombe ya simba/yanga

    Yanga Ligi kuu --28 Muungano--6 Kagame(cecafa)-5 Fa--6 Nyerere cup--3 Mapinduzi--2 Mtaani jembe--0 Tusker---2 Hadex--1 Cafcc---0 Cafcl--0 Ngao ya jamii--7 Banc ABE super8-0 Jumla--61 Simba Ligi kuu--22 Kagame--6 Nyerere cup--3 Mapinduzi--4 Muungano--5 Tusker---4 Hadex--1 Mtaani jembe--3...
  10. NetMaster

    JamiiForums Tanzania "Mungu anaangalia roho haangalii mavazi" ni kauli inayohamasisha mmomonyoko wa maadili. Wakristo tuwe na msimamo juu ya mavazi kanisani

    NB: mods nawaomben msihamishe huu uzi jukwaa,kuuedit,au kutoa kipande chochote kile, kwa niloandika, Kuna funzo kubwa sana hapa kuzuia kasi ya mmomoo wa maadili (Moral Decay) ambao unazidi kumea. Ni jukumu letu kama wakristo kujaribu kukumbusha waumini juu ya wajibu wao kuvaa mavazi...
  11. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Nilienda kanisa fulani leo kumsindikiza rafiki, mavazi ya mabinti kadhaa yamenishangaza. Kwao wanajidanganya Mungu anaangalia roho si mavazi

    Leo siku ya pasaka nilimuahidi rafiki kwamba nitampa kampani kwenda kanisani kwao (ni kanisa mojawapo marufu duniani) lakini pia nami niweze kujionea shghuli zinazofanyika katika siku hii pamoja na kusikiliza maneno takatifu. misa ikiwa inaendelea ndani binti aliingia kwenda kukaa siti ya...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nikiambiwa nichague Mataifa Matatu tu ya Wananchi wanaojielewa, werevu wapenda Haki, Maendeleo na siyo Waoga nitachagua haya...

    1. Kenya 2. Rwanda 3. Uganda Ukiona nchi yako unayoipenda haiko jua huenda huko kukawa kumejaa Wapuuzi na Mazuzu wengi kuliko hata Wao wanavyojijua.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Hivi kocha Nabi kaenda leo: Haya siyo matokeo ya wananchi

    Hivi kweli Yanga ndiyo timu ya kupata kagoli 1 tena baada ya wapinzani kupungua. Wakati hadi confederation CAF wanaijua. Alafu kocha Nabi hatumuoni kaenda wapi na kuiacha timu ikiwa taabani hivi. Kwa mwendo huu, yajayo ya Rivers United yatafurahisha
  14. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Tanzania Jikumbushe Haya 9 Wakati Unaishi Na Mwanamke, Ili Uishi Kwa Amani.

    Kuishi na mwanamke inapaswa iwe raha. Ukiona huna raha kuishi naye, tambua kuna sehemu umeyumba. Kosa kubwa wengi hufanya ni kuishi na mwanamke anayemtesa sababu anaogopa kumuacha. Anaogopa kuanza upya kutafuta mwanamke mwingine. Anaona aishi na huyo hivyo hivyo tu, maisha yasonge. Lakini tambua...
  15. Yofav

    JamiiForums Tanzania Ikiwa haya yatafanyika, basi ndoa zitadumu

    Hey there, Inakuwaje wadau wa humu ndani... Hope mpo poa na kama kuna tatizo lolote yeyote alienalo basi maombi yangu kwake ni Mungu amfanyie wepesi. Twende kwenye mada. Marriage/Ndoa imekuwa ni big issue hasa humu kwenye platform ya JF, Huku kukiwa na makundi mawili (wanaounga mkono ndoa na...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Baada ya Yanga SC kimya kimya Kumuomba Waziri Mwana FA akawaombee CAF nao Washiriki CAF Super Cup haya ndiyo majibu waliyopewa

    "Yaani Watu wenyewe ndiyo Kwanza bado tu wanademadema huko CAFCC na kuwa washamba kufurahishwa kumaliza kundi halafu wanataka mwaka huu huu nao wawemo katika CAF Super Cup ya Mwezi November 2023? Kawaambie kwa mwaka huu tumeiweka Simba SC baada ya mafanikio yake ya mfululizo na pia ndiyo timu...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Hivi haya makato wanayo fanya NMB ni sawa kweli.? Nimetuma picha

    NMB wanafanya makato ya ajabu sana tena wanafanya mara mbili mbili. Kwa transaction moja. Nilienda kurepoti tatizo hili wakaniambia niandike barua watarudisha lakin hawakurudisha na ndio kwanza naona wanaendelea kufanya makato transaction moja mara tatu. Na sasaivi nimeona wameongeza kitu...
  18. Clever505

    JamiiForums Tanzania Kwa wenye utaalamu na soccer naomba kufahamu haya

    Mimi sio mpenzi sana wa kufatilia mpira, huwa nacheki games muhimu tu ambazo zinazungumzwa sana mitandaoni. Sasa kuna baadhi ya vitu natamani kuvijua. Kwa sababu humu kuwa wakongwe wa haya mambo naamini nitapata kuelewa. Huwa najiuliza maswali haya, _ hivi wale linesman huwa hawaruhusiwi...
  19. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Waumini wa kikristo mnafuata muongozo gani? Nijibu maswali haya

    Wakristo mliosoma biblia kama mwongozo wenu, naomba mnijibu maswali yangu haya yafuatayo ... 1. Aliyeandika biblia ni nani? na kwa lugha ya kiswahili? 2. Biblia ni nini? 3. Nabii gani aliyepokea hiyo biblia au kuletewa hiyo biblia. 4. Injili ni kitabu cha wakina nani? Na yesu alitumwa kwa...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zamani wa Marekani, Donald Trump awekwa kizuizini

    Donald Trump has been placed under arrest at a courthouse in Lower Manhattan. The former US president is not wearing handcuffs but will have his fingerprints taken. After processing, Trump will attend an arraignment hearing where criminal charges will be read out We still don’t know the exact...
Back
Top Bottom