Achana na propaganda haya ndio makombe ya simba/yanga

mugah di matheo

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
6,276
12,335
Yanga
Ligi kuu --28
Muungano--6
Kagame(cecafa)-5
Fa--6
Nyerere cup--3
Mapinduzi--2
Mtaani jembe--0
Tusker---2
Hadex--1
Cafcc---0
Cafcl--0
Ngao ya jamii--7
Banc ABE super8-0

Jumla--61

Simba
Ligi kuu--22
Kagame--6
Nyerere cup--3
Mapinduzi--4
Muungano--5
Tusker---4
Hadex--1
Mtaani jembe--3
Ngao ya jamii--9
Bank ABE super 8---1
Fa----5

Jumla-- 64

Wanaofuatia kwa mbaali
Azam
Ligi kuu --1
Fa--1
Mapinduzi 4
Ngao ya jamii 1

Jumla--7

Mtibwa
Ligikuu --2
Fa--2
Ngao ya jamii-1
Mapinduzi --2
Tusker--1
Jumla--8......

Huu ndio ukweli achana na matapeli
 
Yanga
Ligi kuu --28
Muungano--6
Kagame(cecafa)-5
Fa--6
Nyerere cup--3
Mapinduzi--2
Mtaani jembe--0
Tusker---2
Hadex--1
Cafcc---0
Cafcl--0
Ngao ya jamii--7
Banc ABE super8-0

Jumla--61

Simba
Ligi kuu--22
Kagame--6
Nyerere cup--3
Mapinduzi--4
Muungano--5
Tusker---4
Hadex--1
Mtaani jembe--3
Ngao ya jamii--9
Bank ABE super 8---1
Fa----5

Jumla-- 64

Wanaofuatia kwa mbaali
Azam
Ligi kuu --1
Fa--1
Mapinduzi 4
Ngao ya jamii 1

Jumla--7

Mtibwa
Ligikuu --2
Fa--2
Ngao ya jamii-1
Mapinduzi --2
Tusker--1
Jumla--8......

Huu ndio ukweli achana na matapeli
Kupitia takwimu yako nimejifunza kitu kwamba Yanga wapo serious kwenye michuano ya maana pekee ila Simba wapo serious hadi kwenye michuano ya bonanza.
Michuano ya maana kwa kipindi hicho ilikuwa minne
1) ligi kuu bara
2) muungano
3) Kagame cup
4) Nyerere cup ( kwasasa ni sawasawa na Azam Federation cup)
 
Lazima mtafute chocho la kutokea.....
 
Kupitia takwimu yako nimejifunza kitu kwamba Yanga wapo serious kwenye michuano ya maana pekee ila Simba wapo serious hadi kwenye michuano ya bonanza.
Michuano ya maana kwa kipindi hicho ilikuwa minne
1) ligi kuu bara
2) muungano
3) Kagame cup
4) Nyerere cup ( kwasasa ni sawasawa na Azam Federation cup)
Hongera kwa ugunduzi
 
Kuna yule mzanzibari wa Simba, alikuwa anaifunga Yanga kwenye mechi za mtani jembe tu. Nakumbuka kuna mechi Yanga alifungwa 3-1 na Simba, kwenye lango la Yanga alisimama Juma Kaseja, ilimletea shida na usimba wake
 
Makolo bana, mmeweka hadi kombe linaitwa "hedex"?

Na hilo Bank ABE ndio lipi tena? Au ndio kama yale ya kili marathon? Mara eti kombe la mtani jembe, makolo mtaacha lini ujinga?

Hebu kuweni serious bana. Tuhesabu makombe yanayotambulika na TFF, CAF na FIFA. Yani uende kujichezea na akina Malimao FC huko, alafu uje kutuhesabia eti ni kombe umeshinda na unaliweka kwenye official records?

Aliewaita mbumbumbu apewe PhD!
 
Wapenda historia mnapoikataa history.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom