haya

Hidaj (Persian: هيدج; also Haiyeh (Persian: هَيا), also Romanized as Hayā and Khiya) is a city in the Central District of Abhar County, Zanjan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 11,798, in 3,011 families.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Ufisadi uliotamalaki tangia aingie madarakani

    ~ Tozo kandamizi. ~ Ufisadi uliotamalaki tangia aingie madarakani. ~ Maisha kupanda bei, leo hii kula mlo mara mbili ni anasa. Maana maharage tu ni Tsh. 3,000. ~ Kufutia mafisadi makosa huku wasio na urafiki nae wakisota gerezani ~ Ndege za waarabu kushusha makontena hifadhi za taifa.
  2. J

    Haya ndio mataifa yanayoongoza kuuza Silaha Afrika, ndio wanaochochea migogoro?

    Watu wengi wamekuwa wakisema nchi za Afrika zina migogoro na vikundi vingi vya waasi sababu ya biashara ya silaha ya mataifa ya nje ambayo yamekuwa yakiuza silaha kwa vikundi vya waasi Haya ndio mataifa yanayoongoza kwa kuuza silaha za mauaji Afrika
  3. GENTAMYCINE

    Kwangu Mimi haya ndiyo Mafanikio Kuntu ya Rais Samia kwa hii miaka yake Miwili Madarakani

    1. Kiwango cha Ujinga ( Ungumbaru ) kwa Wananchi wa Taifa lake Kuongezeka. 2. Utamaduni wa Visasi na Chuki kwa Waliokuchukia na Usiowapenfa Kuongezeka. 3. Kiwango cha Elimu Kushuka na kuwa ICU huku Ufaulu wa Kisiasa kwa Wanafunzi Kuongezeka. 4. Kiwango cha Wanaume wengi kupenda kuwa kama Dada...
  4. BIG STONE AND CONER STONE

    Jamani Mapenzi haya dah, acha tu

    Katika pita pita zangu mitaa ya Kariakoo ' Nikakuta Jengo kubwa Kama Ghorofa Nane linabomolewa...Nikauliza why nikaambiwa Mangi mmoja Kanunua Anabomoa Ajenge upya lingine maana site Hakuna. Bei Tsh.1.2b hiyo manunuzi tu. Bado Gharama ya kubomoa na kujenga Mjengo wa ghorofa 10, mpya wenye Maduka...
  5. S

    Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    Unatoka nyumbani kwako unaenda dukani kwa Mangi unaachagua soda iliyofunguliwa na kunywewa kisha ikasazwa? Hivi huoni kinyaa? Soda zilizo na vizibo mbona zimejaa dukani kwa Mangi? Una tatizo gani hadi unaamua kula makombo? Single mama hana moyo wa kupenda tena. Hapo amekufanya wewe mwanaume...
  6. Infinite_Kiumeni

    Zingatia Haya Ili Kuipita Changamoto/ Shida Unayopitia.

    Kwanza ujipe muda ili kuitatua changamoto yako. Changamoto na shida zinaweza kutokana na; Makosa yako mwenyewe kwa kurudia kosa, Makosa ya wengine mpaka yamekuathiri, Makosa katika kufanya kitu kipya, Kukosa rasilimali za kutimiza malengo yako, au Kuwa katika sehemu mbaya, isiyokufaa...
  7. Mtu Asiyejulikana

    Wanasiasa mpo wapi? Watu wanauawa sana. Mmenyamaza kabisa hamyasikii na kuyaona haya?

    Week hii aliuawa dada mmoja huko Kibaha, Week hii hii tena kuna dada kauawa huko Musoma. Ukirudi nyuma weeks mbili ago kuna mtu aliuawa na mwingine alipatikana baada ya kupotea kwa muda fulani. Kuna watu kadhaa wamepotea na kuuawa lakini sisikii Waziri, Naibu , Wabunge wala wapinzani wakikemea...
  8. kimsboy

    Leo ni miaka 2 tokea kifo cha Hayati Magufuli

    Miaka 6 ya utawala wa Mwendazake ilikua ya Machozi, Jasho na Damu kwa Watanzania. Haya ni baadhi ya matukio niliyoyakumbuka kwa haraka, baadhi yalitokea nikiwa huko nyumbani na mengine yametokea nikiwa nimeshaondoka. 1. Alizika uhuru wa vyombo vya habari na kutia saini sheria kandamizi kwa...
  9. Infinite_Kiumeni

    Kama una mtoto/ndugu wa kiume mfundishe haya

    Mwanaume anasemwa kutokana na mafanikio yake. Sio lazima kuwa Bakhresa. Ila ni ile thamani anayoongeza kwenye jamii inayomzunguka. Mtu anayechota maji mtaani anathaminiwa kuliko mtu anayekesha kwenye vibanda vya kucheza gemu. Hivyo ajitahidi aweze kipengele fulani cha maisha na akitumie...
  10. Bushmamy

    Haya ndio mazingira ya soko kuu la Samaki Hai

    Hili ndilo soko kuu la samaki kwa sasa lililopo eneo la Maili Sita katika Wilaya ya Hai Wafanyabiashara wakubwa na wadogo wa samaki waliohamishiwa eneo hilo walikabidhiwa eneo hilo lisilokuwa na miundombinu yoyote inayoendana na aina hiyo ya biashara. Hakuna miundombinu ya vyoo maalumu kwa...
  11. Hemedy Jr Junior

    Endelea kupenda hela kuliko utu ipo siku utakumbuka maneno haya

    Asalaam alhkumu. This is the world we are passing through. Fanya yote tambua iko siku utalala kwenye tumbo la ardhi. Jifanye mbabe, nguli gaidi n.k kaburi inakusubiri, hela ni mfumo na hela ndo kitu ambacho kinabadilisha watu mwisho kujipa ukuu kwasababu anachambambi chambi. Endelea na...
  12. Ex Spy

    Makamu wa Rais Marekani, Kamala Harris kuitembelea Tanzania

    United States Vice President Kamala Harris will be the 18th and most senior American official to visit Africa this year in late March. The tour to Ghana, Tanzania, and Zambia was scheduled for 25 March to 3 April. This visit will be the most high-profile as the US and Russia go pound-for-pound...
  13. Somaiyo

    Maelekezo haya kwa Walimu wa Manispaa ya Ilemela yapo nchi nzima?

    Niende kwenye hoja! Yamekuja maelekezo ya kusainisha waalimu mkataba ambao unamtaka kila mwalimu kufaulisha somo lake kwa asilimia 100. Hakuna mwanafunzi kufeli mtihani wa somo lake! Na kufeli kwao inaanzia B na sio F kama baraza la mitihani linavyo elekeza! Je, Sikuhiz mwalimu ana sign...
  14. D

    Je, maswali haya yana majibu?

    Habarini ndugu wananchi wa jamii forum Mwenye maswali ya haya majibu km anaweza tusaidia Nimekuwa nikijiuliza sana ●Je? ni muda gani muda ulianzishwa ●Nini kilianza muda au dunia? ●Dunia ina deni la nani ikiwa wanadamu walivumbua pesa? ●Tunajifunze vipi kwa kitu ambacho hakipo(non existence)?
  15. GENTAMYCINE

    Mwamposa, haya makundi ya Kuwaombea yakiisha utayaombea Makundi gani mengine ili upige pesa zao kiulaini?

    Tayari Umeshayaombea Makundi yafuatayo: 1. Wanawake na Uzao Wao 2. Wanaume Wapuuzi Wasiodindisha Mikuyenge / Mikurudungu yao 3. Wafanyakazi na Wafanyabiashara 4. Watoto 5. Wanafunzi 6. Wenye kuhitaji Mimba za Ndoa na Uzinifu 7. Wanandoa na wenye kuhitaji Waume na Mabwana Leo nasikia uko na...
  16. happyxxx

    Namshauri Lema arudi Canada kuungana na familia yake. Haya matusi kwa watanzania yametosha sisi wanaArusha tusije laumiwa baadae

    Tangu amerudi amekuwa akitoa kejeli dhiaka na matusi kwa vijana na kina mama maskini wa kitanzania. Hata kama yeye ana pesa nyingi na amepata nafasi ya kuishi Canada kwa mgongo wa ukimbizi wa kisiasa kwa siasa alizopewa nguvu na hawa anaotukana leo basi enough is enough. Tumemchoka! Kuna watu...
  17. Infinite_Kiumeni

    Usihangaike na mwanamke ambaye havutiwi nawe

    Wanaume wengi huumia kwa kutokuzingatia vitu vya msingi linapokuja suala la mahusiano. Sababu hawajui wanachokitaka, wanachokifanya, hawana uzoefu. Na kuishia kuumia, kuwachukia, na kuwalaumu wanawake kwa mambo mengi. Lakini ili kuepuka hayo, na wakati unatengeneza uzoefu kwenye suala la...
  18. M

    Ukiwa hujapata wateja kwenye biashara unatakiwa ufanye nini?

    Ndugu zangu naombeni mnipe mbinu za kufanya kwa mtua liyeanza biashara alafu WATEJA MWANZONI WALIKUA WANAKUJA TU ILA KWASASA NI WEEK INAENDA WATEJA NI WA KUSUA SUA HASA MWEZI HUU. Nifanyejeeee? Maana biashara ni mpya na sitaki kuifunga
  19. T

    Haya maridhiano kuna mmoja atakuja kushtuka imeshakuwa asubuhi!

    Vyenga vya leo vinatosha kabisa kuona kuna mmoja katika maridhiano haya yanampa faida kuubwa sana hasa huko tuendako, na kuna yule ambaye anafurahia vinono vya muda mfupi! Maridhiano kwa nchi kama hii yetu yenye watu waliozoea Amani kama maji ya mtungini ni mhimu sana kwa mstakabali wa nchi na...
Back
Top Bottom