Mo Dewji usiponipa Majibu ya Kuridhisha juu ya haya Maswali yangu nakuwashia Moto na utaondoka Simba SC Mwenyewe

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,689
109,117
Mo Dewji naomba haraka sana kujua yafuatayo......

1. Zile Tsh Bilioni 20 za Uwekezaji umeweka Benki gani Tanzania?

2. Simba SC kama Klabu inapata Kiasi gani kutokana na Udhamini wa Brands zako?

3. Kila mwaka unatoa Shilingi ngapi kama Hela ya Usajili Simba SC?

4. Mpaka hivi sasa tokea uwe Mwekezaji Simba SC umepata Faida au Hasara? Na jibu likiwa ni Hasara je, kwanini bado Unangangania kuwepo na huondoki ili uwaachie Matajiri Wengine?

5. Safari ya kuipeleka Pre Season Simba SC nchini Marekani kama ulivyoahidi mwaka Jana iliishia wapi?

6. Kwanini unapenda kuifanya Simba SC kama Mali yako na Kampuni yako ya MeTL?

7. Kwa haya Matokeo mabovu na ya kutia Aibu ya Simba SC huku Yanga SC wakizidi Kufanikiwa wana Simba SC wenye Hasira Kali na tusiotaka Upumbavu Wanaoongoza na Mimi GENTAMYCINE tukiamua ama Kukupiga Bakora Mubashara utuachie Timu au Tukuroge vibaya Simba upaone ni sehemu HATARISHI Kwako au tukiamua Kuiteka Timu na iwe mikononi mwetu na tumkabidhi Mtu ninayemjua ndiyo Tajiri hasa na Namba moja hapa Tanzania Mzee Bakhressa aiendeshe tutakuwa tunakukosea?

Nasubiri majibu yako ila in short GENTAMYCINE niseme tu kuwa Sikukubali na nimegundua Wewe ndiyo kwa 99% unafaidika na Simba SC Kibiashara ila Simba SC inafaidika nawe kwa 1% tu.

Simba SC tunadhalilika kwa ajili yako na Ole wako Msimu huu utusajilie tena Wachezaji wako wa Ki Samjo Samjo ( Uwongo Uwongo ) na wa 10% kwa hao Wajumbe wako wa Body ambao Wote umewakeka Mfukoni mwako kwa Pesa unazowahonga ili Wakulinde.
 
a 10% kwa hao Wajumbe wako wa Body ambao Wote umewakeka Mfukoni mwako kwa Pesa unazowahonga ili Wakulinde.
Kawaulize uongozi wa Simba, hayatuhusu sisi.
 
Mo Dewji naomba haraka sana kujua yafuatayo......

1. Zile Tsh Bilioni 20 za Uwekezaji umeweka Benki gani Tanzania?

2. Simba SC kama Klabu inapata Kiasi gani kutokana na Udhamini wa Brands zako?

3. Kila mwaka unatoa Shilingi ngapi kama Hela ya Usajili Simba SC?

4. Mpaka hivi sasa tokea uwe Mwekezaji Simba SC umepata Faida au Hasara? Na jibu likiwa ni Hasara je, kwanini bado Unangangania kuwepo na huondoki ili uwaachie Matajiri Wengine?

5. Safari ya kuipeleka Pre Season Simba SC nchini Marekani kama ulivyoahidi mwaka Jana iliishia wapi?

6. Kwanini unapenda kuifanya Simba SC kama Mali yako na Kampuni yako ya MeTL?

7. Kwa haya Matokeo mabovu na ya kutia Aibu ya Simba SC huku Yanga SC wakizidi Kufanikiwa wana Simba SC wenye Hasira Kali na tusiotaka Upumbavu Wanaoongoza na Mimi GENTAMYCINE tukiamua ama Kukupiga Bakora Mubashara utuachie Timu au Tukuroge vibaya Simba upaone ni sehemu HATARISHI Kwako au tukiamua Kuiteka Timu na iwe mikononi mwetu na tumkabidhi Mtu ninayemjua ndiyo Tajiri hasa na Namba moja hapa Tanzania Mzee Bakhressa aiendeshe tutakuwa tunakukosea?

Nasubiri majibu yako ila in short GENTAMYCINE niseme tu kuwa Sikukubali na nimegundua Wewe ndiyo kwa 99% unafaidika na Simba SC Kibiashara ila Simba SC inafaidika nawe kwa 1% tu.

Simba SC tunadhalilika kwa ajili yako na Ole wako Msimu huu utusajilie tena Wachezaji wako wa Ki Samjo Samjo ( Uwongo Uwongo ) na wa 10% kwa hao Wajumbe wako wa Body ambao Wote umewakeka Mfukoni mwako kwa Pesa unazowahonga ili Wakulinde.
Watanzania watu wa ajabu sana. Hivi mnampangia afanye nini kwenye mali yake? Wakati tenda ya kubinafsisha timu inatolewa wewe ulikuwa wapi? Mwenzako kanunua timu, ana mkataba halafu bado mnapiga kelele timu yangu ...Timu yetu ,,, yenu na nani? wewe unamiliki hisa ngapi? Umelipa ada ya usajili ya wachezaji wangapi? Umechangia kiasi gani kusafirisha timu, kulipa posho na mishahara ya wachezaji na benchi la ufundi?
 
Ole wako Msimu huu utusajilie tena Wachezaji wako wa Ki Samjo Samjo ( Uwongo Uwongo ) na wa 10% kwa hao Wajumbe wako wa Body ambao Wote umewakeka Mfukoni mwako kwa Pesa unazowahonga ili Wakulinde.

👆🏻
Kwa maneno hayo kilio chako kinakufa kifo cha kawaida na hiyo ni dalili ya submission to him.🤣🤣
 
Huu unaitwa mhaho.
 
Attachments

  • IMG-20230510-WA0017.jpg
    IMG-20230510-WA0017.jpg
    103.5 KB · Views: 2
Kwa mfanyabiashara yoyote ata mo ashindwe kutake opportunity ya kununua brand kama simba kwa billion 20.

Sio swala la mo kutoa pesa ya usajili. Simba kama taasisi inatakiwa ijendeshe yenyewe, ikuze mapato, ikope, ijue namna gani inasajili wachezaji. Yeye amekwisha nunua klabu anasubiri mwisho wa mwaka faida au hasara.

Mengine watasaidia kujibu Mo wadogo
 
Mkuu wakati mwingine huyu kanji tunamuonea bure

Yeye ana 49%! Walau kidogo chake tunakiona kwenye usajili na mengineyo!!

Na nyinyi wanachama wenye 51% mmewahi kutoa sh ngapi za usajili!!?

Waulize wanaomiliki hisa 51% kama wanaisaidia simba. Simba inanufaika na wawekezaji wa kibiashara na matangazo.

Wanahisa 51% hawataki ata kulipia subscription ya mwaka ya klabu, hawataki kununua vitu kutoka vyanzo halisi vya klabu, hawataki kwenda uwanjani, Hasa game za dar zinazowaongeza mapato. Hawataki kulipia matumizi ya mitandao ya klabu.

Ila kahawa na kashata wananunua ili wapige maneno
 
Hivi mnadhani hela anazotoa MO hutoa bure?
Yule anawakopesha Simba.

Zile bilioni 20 zilizotolewa zisharudi kwa MO maana alikuwa anawakopesha pesa Simba.

Bajeti ya Msimu uliopita MO alichangia bilioni 2.3

Bajeti ya Msimu huu MO kachangia Bilioni 3.5

Hizo zitarudishwa na Simba kupitia mapato yao.
 
Mo Dewji naomba haraka sana kujua yafuatayo......

1. Zile Tsh Bilioni 20 za Uwekezaji umeweka Benki gani Tanzania?

2. Simba SC kama Klabu inapata Kiasi gani kutokana na Udhamini wa Brands zako?

3. Kila mwaka unatoa Shilingi ngapi kama Hela ya Usajili Simba SC?

4. Mpaka hivi sasa tokea uwe Mwekezaji Simba SC umepata Faida au Hasara? Na jibu likiwa ni Hasara je, kwanini bado Unangangania kuwepo na huondoki ili uwaachie Matajiri Wengine?

5. Safari ya kuipeleka Pre Season Simba SC nchini Marekani kama ulivyoahidi mwaka Jana iliishia wapi?

6. Kwanini unapenda kuifanya Simba SC kama Mali yako na Kampuni yako ya MeTL?

7. Kwa haya Matokeo mabovu na ya kutia Aibu ya Simba SC huku Yanga SC wakizidi Kufanikiwa wana Simba SC wenye Hasira Kali na tusiotaka Upumbavu Wanaoongoza na Mimi GENTAMYCINE tukiamua ama Kukupiga Bakora Mubashara utuachie Timu au Tukuroge vibaya Simba upaone ni sehemu HATARISHI Kwako au tukiamua Kuiteka Timu na iwe mikononi mwetu na tumkabidhi Mtu ninayemjua ndiyo Tajiri hasa na Namba moja hapa Tanzania Mzee Bakhressa aiendeshe tutakuwa tunakukosea?

Nasubiri majibu yako ila in short GENTAMYCINE niseme tu kuwa Sikukubali na nimegundua Wewe ndiyo kwa 99% unafaidika na Simba SC Kibiashara ila Simba SC inafaidika nawe kwa 1% tu.

Simba SC tunadhalilika kwa ajili yako na Ole wako Msimu huu utusajilie tena Wachezaji wako wa Ki Samjo Samjo ( Uwongo Uwongo ) na wa 10% kwa hao Wajumbe wako wa Body ambao Wote umewakeka Mfukoni mwako kwa Pesa unazowahonga ili Wakulinde.
Boss MO hanadaiwa, yaani amekiri anadaiwa na inawezekana sisi Simba bado tunamdai hiyo 20bil.
 
Mo Dewji naomba haraka sana kujua yafuatayo...... 1. Zile Tsh Bilioni 20 za Uwekezaji umeweka Benki gani Tanzania? 2. Simba SC kama Klabu inapata Kiasi gani kutokana na Udhamini wa Brands zako? 3. Kila mwaka unatoa Shilingi ngapi kama Hela ya Usajili Simba SC? 4. Mpaka hivi sasa tokea uwe Mwekezaji Simba SC umepata Faida au Hasara? Na jibu likiwa ni Hasara je, kwanini bado Unangangania kuwepo na huondoki ili uwaachie Matajiri Wengine? 5. Safari ya kuipeleka Pre Season Simba SC nchini Marekani kama ulivyoahidi mwaka Jana iliishia wapi? 6. Kwanini unapenda kuifanya Simba SC kama Mali yako na Kampuni yako ya MeTL? 7. Kwa haya Matokeo mabovu na ya kutia Aibu ya Simba SC huku Yanga SC wakizidi Kufanikiwa wana Simba SC wenye Hasira Kali na tusiotaka Upumbavu Wanaoongoza na Mimi GENTAMYCINE tukiamua ama Kukupiga Bakora Mubashara utuachie Timu au Tukuroge vibaya Simba upaone ni sehemu HATARISHI Kwako au tukiamua Kuiteka Timu na iwe mikononi mwetu na tumkabidhi Mtu ninayemjua ndiyo Tajiri hasa na Namba moja hapa Tanzania Mzee Bakhressa aiendeshe tutakuwa tunakukosea? Nasubiri majibu yako ila in short GENTAMYCINE niseme tu kuwa Sikukubali na nimegundua Wewe ndiyo kwa 99% unafaidika na Simba SC Kibiashara ila Simba SC inafaidika nawe kwa 1% tu. Simba SC tunadhalilika kwa ajili yako na Ole wako Msimu huu utusajilie tena Wachezaji wako wa Ki Samjo Samjo ( Uwongo Uwongo ) na wa 10% kwa hao Wajumbe wako wa Body ambao Wote umewakeka Mfukoni mwako kwa Pesa unazowahonga ili Wakulinde.

Tafuta kazi za kufanya

We huko Simba umewekeza chogo lako?
 
Back
Top Bottom