hatua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mbinu za malezi ziendane na hatua za ukuaji wa Mtoto

    Mbinu za malezi zilizoleta matokeo mazuri kwa mtoto wa miaka 13 zinaweza zisilete matokeo yanayotarajiwa kwa Mtoto wa miaka 7 kwa sababu ya hatua ya ukuaji wa watoto hao. Kuna umri unafika katika namna ya saikolojia ya mtoto huwa na kawaida ya kuuliza kwanini, “kwanini nioshe vyombo mimi na sio...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Athari za mabadiliko ya tabianchi kamwe hazitaisha kama dunia haikuchukua hatua kwa pamoja

    Na Pili Mwinyi Ukame, mafuriko, moto wa msituni, ukosefu wa chakula, kutoka nchi zenye mapato madogo hadi zenye mapato makubwa duniani, athari za mabadiliko ya tabianchi zimekuwa zikishuhudiwa kila siku katika sayari hii. Kati ya mwaka 1998 na 2017, hasara iliyotokana na hali mbaya sana ya...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Kwa Katiba hii, Tanzania imefikia mwisho wa kupiga hatua za maendeleo, kama hatutatumia hiari tutakaribisha tunakaribisha mapinduzi

    Katiba ya sasa ina mapungufu makubwa sana ambayo yanazuia nchi yetu kupiga hatua za maendeleo na kufanya watanzania wengi kuishi katika ufukara wa kutisha. Takwimu zinaonyesha kuwa 96.6% ya watanzania wanaishi chini ya $2 (TSH.4600) na zaidi ya 86% wanaishi chini ya msitari wa umaskini yaani...
  4. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania TCRA mchukulieni hatua huyu Nabii Tito, channel yake ya YouTube inamdhihaki Yesu

    TCRA na vyombo husika mchukulieni hatua huyu nabii Tito channel yake youtube kaandika YESU ni shetani Hii ni hatari kwa jamii oneni wenyewe
  5. S

    JamiiForums Tanzania Siungi mkono Serikali kuwatafutia maeneo wamachinga. Hawa ni wahalifu walipaswa kuchukuliwa hatua

    Kwanni serikali imeamua kubeba mzigo wa kuwatafutia maeneo wamachinga? Hawa wanaojiita wamachinga ni wahalifu maana wamekiuka Sheria na taratibu mbalimbali za nchi kwa kuamua kujenga mabanda barabarani ama kupanga bidhaa mbele ya maduka ya wafanyabiashara. Nilitegemea watu hawa, mmoja mmoja...
  6. mwaki pesile

    JamiiForums Tanzania Muongo wa Hatua za Kuimarisha Usalama Barabarani 2021 - 2030

    Muongo (decade of action )wa hatua za kuimarisha usalama barabarani wa 2021-2030. Utangulizi Leo tunawaletea makala kuhusu Mpango wa Utekelezaji (Global Plan of Action) wa Mkakati wa miaka 10 wa Umoja wa Mataifa wa kupambana na vifo na majeruhi kutokana na ajali ambao unajulikana kama Muongo...
  7. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Hali tete Simba: Mo apaniki tena, aushinikiza uongozi uchukue hatua kwa mechi ya leo

    Bilionea Mo ametoka ku-tweet muda si mrefu, Wana Simba mnasemaje? Hali tete
  8. MGOGOHALISI

    JamiiForums Tanzania Baada ya Sabaya kuhukumiwa una lipi la kusema kuhusu serikali iliyomteua na kutochukua hatua kwa matendo yote hayo?

    Mimi nasema Tanzania haitakiwi kuwa na viongozi wa tabia za JPM. Wewe je?
  9. Fundi Madirisha

    JamiiForums Tanzania Kiufupi Polisi wako biased sana kwa CHADEMA. Hatua waliyofikia si nzuri

    Wanachopitia CHADEMA ndicho walichopitia CUFmiaka ya 2001, hakuna kilicho kipya zaidi naiona nyota njema kwa CHADEMA. Mbeleni kama si kuchukua nchi ni serikali ya Mseto, kama hutaki bakia kua kichwa ngumu muda unaenda kasi sana utajionea. Imefikia sasa polisi hata kuona mtu aliyevaa T-Shirt...
  10. jollyman91

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa UN: Nimeshtushwa na hatua ya Ethiopia kuwatimua maafisa wetu

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema ameshtushwa sana na kitendo cha serikali ya Ethiopia kuwafukuza maafisa wa umoja huo wanaohudumu nchini humo. Kupitia taarifa iliyotolewa leo na msemaji wake mjini New York, Guterres amesema, "nimeshtushwa na habari kwamba serikali ya...
  11. Slowly

    JamiiForums Tanzania Hii Corona ifikie hatua tusibebeshane mzigo

  12. Kwa Imani

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mambo yanayoikwamisha jamii yetu isipige hatua

    Kitu kikubwa kinachofanya jamii isiendelee ni kulazimishana fani. Ni vema Kila mtu aachwe afanye kazi anayoipenda.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Yanga yatolewa kwenye hatua ya mchangani na timu ya mchangani kabla hata ya vigogo hawajaingia mashindanoni!

    Ukweli tuuseme Yanga ni timu changa sana!! Hawawezi kujilinganisha na Simba hata kidogo!! Waulize kwenye haya mashindano wamevuna shilingi ngapi na walinganishe na fedha alizovuna Simba mwaka jana kwa kufika hatua ya robo fainali! Yanga iache kabisa kujilinganisha na Simba, wala Azam wala...
  14. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Ukitaka kupiga hatua katika maisha lazima uwe sugu na mwenye msimamo

    Naomba nitambulike hivi hivi kama Mzee wa Old School. Story nitakayo waeleza hapo chini ni ya kweli hivyo ni vizuri ndugu unaesoma usiishie kusisimkwa, kuhuzunika ama kucheka, bali fanyia kazi ili kukabiliana na changamoto mbali mbali katika maisha kwa sababu siku zote 'maisha ni vita' kimwili...
  15. Napoleone

    JamiiForums Tanzania Binti akifikia hatua hii, omba Mungu

    Najua mapema sana ila niko katika wakati mgumu sana na shemej yenu. Huyu binti yuko katika the most highl peak of maximum desperation ya ndoa Hata sijui nifanyaje wakuu niko naye muda ila kiukweli siwezu mwoa huyu binti kiukweli ana vigezo vyoote amebadilika tabia n all that. Well niseme tu...
  16. Gelion Kayombo

    JamiiForums Tanzania SoC01 Afya: Unataka uanze kufanya mazoezi? Fuata hatua hizi...

    Ni matumaini yangu kuwa wote ni wazima wa afya. Leo napenda kuzungumzia juu ya afya, na katika afya nitajikita kwenye eneo la kufanya mazoezi ya mwili. Nimechagua eneo hili, kwani kuna vitu vingi binadamu anatakiwa kuvifanya karibia kila siku au mara moja moja ili kuimarisha afya yake. Kwa...
  17. E

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji kuwekeza kwenye engineering knowledge ili tupige hatua zaidi

    Ukikaa na kijana wa kiyahudi (Israeli) anachowaza ni kuvumbua, mtoto analelewa tangu mtoto kuwa yeye anaakili sana na anapaswa kuzitumia kuvumbua. Tuje kwetu kijana anahitimu degree hajaenda field na hajui atafanya kazi gani baada ya kuhitimu na hata ukimwajiri tofauti yake na form four ni...
  18. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Picha: Kwa hatua hii ya Dubai, kweli Tanzania tumelogwa

    Haya ndio maendeleo ya Dubai ndani ya miaka michache, waTanzania sisi tumelogwa miaka zaidi ya 50 hakuna jipya.
  19. Hell is real

    JamiiForums Tanzania mh Rais samia chukua hatua ajali zimezidi kipindi

    Habari wakuu!!!! Kipindi cha miezi ya hivyi karibuni kumekuepo na ajali nyingi sana, mpaka imefikia hatua sasa kila siku lazima ajali itokee mahali! Tunawapoteza ndugu zetu! Yamkini ni uzembe wa madereva, traffic kujisahau nk! Kipindi cha magufuli haya mambo aliyakomesha na kiukweli ajali...
  20. msovero

    JamiiForums Tanzania Walimu kuajiriwa na TSC badala ya Wizara kunaenda kutengeneza rushwa, undugu na kujuana kwenye ajira. Rais litazame hili linaenda kukuharibia

    Waziri wa nchi, ofisi ya Rais-Tamisemi ameiagiza tume ya utumishi wa walimu 'TSC' kuandaa utaratibu wa kuanza kuajiri walimu kupitia halmashauri kwa niaba ya wizara ya ofisi ya Rais-Tamisemi. Japo utaratibu wa kuomba hizo ajira bado haujafahamika lakini nadhani maombi yatakuwa yanatumwa moja...
Back
Top Bottom