Binti akifikia hatua hii, omba Mungu

Napoleone

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
10,087
15,961
Najua mapema sana ila niko katika wakati mgumu sana na shemej yenu. Huyu binti yuko katika the most highl peak of maximum desperation ya ndoa

Hata sijui nifanyaje wakuu niko naye muda ila kiukweli siwezu mwoa huyu binti kiukweli ana vigezo vyoote amebadilika tabia n all that. Well niseme tu, she used to be a slay queen enzi hizo. So ana mavitu mwilini mwake ambayo mimi siyapendi kiufupi

Ila ni bint ambae ananipenda vibaya mno..na amenielewa nyanja zote na yuko tayar kwa lolote ..juz kanambia nisipokua muelewa na anachotaka ataniroga kiutani utan ila sura yake ilikua serious. sasa wakuu

Kwa sura ni mzur umbo zuri saaana ila sasa nampelekaje home kumtambulisha mtu maskio yana matobo kama 100 mwil tatoo kadhaa znazoonekana

Well nishapiga snaa kelele hum kuhusu huyu dem kumwacha namwonea huruma basi daaah. Nayeye ndo kaniganda .naweza sema huyu dem nipo peke yangu..hyo nna uhakika 100% ni dem flan hiv free soul mzungu flain hivi keshakaa sana ulaya etc. well akikasirika huwa anasmoke sometime..hahaha

Ila kaacha, anasema sabab zaman alikua anasmoke huko Uk.

Sasa wakuu huyu dem ameniganda sana nashindwa nifanyeje had muda mwingne analia kabisa, anatia huruma. Hapa had naandika hivi kanifata sehemu yangu ya kazi anataka nimsindikize hospital. Dahhh.

Huu msalaba mzito jamani, nipen ushauri
 
Ni bora kumuumiza mara moja kwa ukweli wa kuwa huna nia nae yoyote kuliko kumuumiza kila siku kwa uongo ambavyo unafanya sasa hivi.

Pale unapokuwa nae anajipa imani kuwa wewe ni mtu wake kumbe wewe unamuona hakufai. Kwa maana nyingine unamfungia njia yake ya kupata mtu atakeridhika na tattoo zake.

Ila kumbuka katika mahusiano siku zote ni bora kuwa na mtu anaekupenda zaidi kuliko wewe kumpenda yeye zaidi. Tattoo na matundu ya masikio haya define utu wa mtu. Walimwengu hawakosi la kukosoa. Utakuja kutana na mwenye matundu mawili tu ya masikio na bila tattoo ila mwili wake ushatobolewa kila sehemu na uume za watu na kuishi na hofu kila siku kama uko peke yako au laa.
 
Ni bora kumuumiza mara moja kwa ukweli wa kuwa huna nia nae yoyote kuliko kumuumiza kila siku kwa uongo ambavyo unafanya sasa hivi.
Pale unapokuwa nae anajipa imani kuwa wewe ni mtu wake kumbe wewe unamuona hakufai. Kwa maana nyingine unamfungia njia yake ya kupata mtu atakeridhika na tattoo zake.
Ila kumbuka katika mahusiano siku zote ni bora kuwa na mtu anaekupenda zaidi kuliko wewe kumpenda yeye zaidi. Tattoo na matundu ya masikio haya define utu wa mtu. Walimwengu hawakosi la kukosoa. Utakuja kutana na mwenye matundu mawili tu ya masikio na bila tattoo ila mwili wake ushatobolewa kila sehemu na uume za watu.
Eeeeeh hatari kaka....ishu ni mim ntaonekana kituko home kaka
 
Ushauri wangu kwako :

Acha zinaa! Ikimbieni zinaa! Muogope MUNGU maana kuna siku inakuja utatoa hesabu kamili ya yote uliyoyafanya.

Mwenye masikio na asikie.
Kwamba Mungu anipe adhab ya kunichoma moto milele mim mtoto wake kipenz ambae kaniumba mwenyew et kisa na.tombana....haiingii akili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sjui nisemeje mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
umeshasema kikwazo ni tattoo zake ziko wazi hautaeleweka nyumbani kwenu,
ongea nae afute tattoo zinazoonekana na asivae hereni nyingi wakati unaenda kumtambulisha.

Trust me kama unampenda kweli hizo tattoo na hereni ni jambo dogo maana umesema unaangalia watu wanaokuzunguka means wewe huna tatizo nazo.
 
Eeeeeh hatar kaka....ishu ni mim ntaonekana kituko home kaka

Sent using Jamii Forums mobile app
trust me hao wa home watakaokuona kituko wana yao mengi ambayo ukiyaona ama kuyajua wewe na mwanamke wako wa tattoo mtaonekana malaika.

Kama umefikia umri wa kujitegemea basi mawazo ya watu wa home ni jambo la mwisho kabisa unalopaswa kufikiria. Mwisho wa siku wewe ndie utakaeishi na yeyote utakayemchagua sio wao. Na binadamu wameumbiwa kusahau, watasema siku 2 tatu watapata jipya na wewe utasahaulika,

Kama unampenda huyo binti na unaamini anakupenda basi fuata nafsi yako ila kama unahisi huna mapenzi nae muache aendelee na maisha yake. Kuna laana nyingine huwa tunajitakia wenyewe kwa kuliza watu.
 
umeshasema kikwazo ni tattoo zake ziko wazi hautaeleweka nyumbani kwenu,
ongea nae afute tattoo zinazoonekana na asivae hereni nyingi wakati unaenda kumtambulisha.

Trust me kama unampenda kweli hizo tattoo na hereni ni jambo dogo maana umesema unaangalia watu wanaokuzunguka means wewe huna tatizo nazo.
Sawaa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
trust me hao wa home watakaokuona kituko wana yao mengi ambayo ukiyaona ama kuyajua wewe na mwanamke wako wa tattoo mtaonekana malaika.
Kama umefikia umri wa kujitegemea basi mawazo ya watu wa home ni jambo la mwisho kabisa unalopaswa kufikiria. Mwisho wa siku wewe ndie utakaeishi na yeyote utakayemchagua sio wao. Na binadamu wameumbiwa kusahau, watasema siku 2 tatu watapata jipya na wewe utasahaulika,
Kama unampenda huyo binti na unaamini anakupenda basi fuata nafsi yako ila kama unahisi huna mapenzi nae muache aendelee na maisha yake. Kuna laana nyingine huwa tunajitakia wenyewe kwa kuliza watu.
Nmekuelewa kaka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba Mungu anipe adhab ya kunichoma moto milele mim mtoto wake kipenz ambae kaniumba mwenyew et kisa na.tombana....haiingii akili

Sent using Jamii Forums mobile app
MUNGU hajakukataza kutomb*****na. Yeye ndiye aliyekuumba na kukuwekea mfumo mzima wa uzazi. Yeye ndiye aliyeumba mapenzi.

Ingawa Yeye ndiye aliyeumba mapenzi, lakini ameweka utaratibu maalumu unao kuruhusu wewe kushiriki mapenzi na kuyafurahia. Utaratibu huo ni ndoa.

Unaruhusiwa kushiriki mapenzi na kufurahia raha na utamu wote wa mapenzi ukiwa tu ndani ya ndoa. Yaani tendo la ndoa liwe kati ya Mume na Mke tu basi.

Sasa ikiwa wewe unashiriki mapenzi nje ya utaratibu uliowekwa na MUUMBA wako unatenda makosa na Yeye MUNGU atakuhukumu kwa kosa la kuvunja utaratibu aliokuwekea.

Kwenda kinyume na maagizo au taratibu alizoziweka MUNGU, ni kitendo cha dharau na ukaidi.

Jiulize swali :
Ikiwa watoto wako watakudharau na kukaidi maagizo yako wewe ukiwa baba utafurahi?

Au ukiwa wewe ni Bossi hapo ofisini kwako halafu mfanyakazi wa chini yako akakudharau na kukaidi maagizo yako, Je, utafurahi????
 
Ngoja nikupe lililonikuta mimi unaweza pata somo hapa.
Nilikua na Dem wangu tumetoka mbali toka enzi na skuli ila nilivyoanza maisha nakutaka kuoa sikutaka kumuoa yeye kwa kigezo kwamba mtaani alishakua na mahusiano na washkaji km wawili kabla yangu kwahyo nikaona walimwengu watanishangaa nikamkacha na kuamua kutafuta mwanamke mwingine ambaye mm niliona katulia nikamuoa yule mwanamke aliumia sana. Baada ya kukaa km miaka miwili kwa Uvumilivu mkubwa wa vituko vya yule mwanamke niliyemuoa mwisho wa siku Uvumilivu ulinishinda ikabidi nirudi kwa yule Dem wangu wa mwanzo na sasa nataka nimuoe awe mke wa pili.

Somo liko hv usimjudge huyo Dem kwa matendo yake ya zamani huyo yeye mwenyewe anajijutia ishi na tu na uwaeleze wazazi wako situation ya mwenzio aliyopitia unaweza ukamuacha na kutafuta mwanamke mwingine halafu akawa na tabia mbovu kuliko huyo uliyenae
 
Back
Top Bottom