hatua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J33

    JamiiForums Tanzania Ni hatua gani mstaafu anatakiwa kufuata kama amepunjwa au amelipwa mafao chini ya kiwango anachostahili?

    Mstaafu aliyelipwa chini ya kiwango halisi anatakiwa kuchukua hatua gani ili kudai kiasi kilichobaki? Nimeuliza maana kuna ndugu yangu alilipwa kiasi asichostahili 2018 na tangu mwezi wa nne amekuwa akipokea simu kutoka kwa watu wanaojitambulisha kama wafanyakazi wa hazina wakimuomba rushwa ili...
  2. Dr Luu

    JamiiForums Tanzania Ni hatua gani zakuchukua kabla yakufungua clinic ya tiba asili

    Amani ya Mungu iwenanyi wapendwa, Nimewiwa kuandika makala hii nikitaka kujua taratibu na hatua/taratibu za kufuata kiserikali. ili niweze kuwa na kliniki ya kutoa matibau ya mitishamba au store ya dawa za tiba asili. Asanteni wapendwa.
  3. Maxence Melo

    JamiiForums Tanzania App Mpya ya JamiiForums: Fuata hatua hizi

    Edited on Feb 14, 2024 Android users: Follow 👉🏾 DOWNLOAD JF APP iOS Users Users: Follow DOWNLOAD JF APP
  4. kookolikoo

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: TAKUKURU wamefuta kesi za kubambikizia 147, Polisi na nyie jitazameni

    Hii ni baada ya kutakiwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kuondoa kesi za kubambika. ==== Rais Samia Suluhu: Kwenye suala la wingi wa mahabusu, labda niseme kwamba jana nikiapisha majaji nililigusia hili, uharakishwaji wa kesi na nimezitaka taasisi zote ikiwemo jeshi la polisi ambalo...
  5. S

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI elezeni kwa uwazi hatua za kufuata ili kuwalalamikia Wakurugenzi

    Ninaomba kujua kwa uwazi hatua sahihi za kufuata pindi ninapotaka kufikisha malalamiko yangu dhidi ya Wakurugenzi na Wakuu wengine wa idara ambao wanafanya ofisi za umma kama kampuni zao. Waziri Ummy Mwalimu aliwasimamisha kazi Wakurugenzi baadhi kwa kauli kwamba wananchi walifikisha malalamiko...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kabla ya Rais, Je, hakuna mtu mwingine aliyepaswa kumchukulia Sabaya hatua?

    Ninaombatu kuuliza kwamba kutokana na kuripotiwa kuvunjwa haki za binadamu na Utawala Bora. Je, hakuna mamlaka ambayo ilitakiwa kumuwajibisha Sabaya hata kabla ya Rais? Maovu ya Sabaya yalijulikana kama rushwa, kupora, kuharibu mali na biashara za watu, uvamizi kwenye hoteli za watu nk. Kama...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Nashukuru nimefikia hatua ya juu kabisa

    Katika mambo yangu ya kimaisha na kiuchumi i have reached one of the highest stage of thinking. Unajua inapofikia hatua unaota ndoto unajadiliana na wawekezaji tena ndoto nzima unaota kwa kiingereza ni jambo la kujivunia sana. That means you have been competent and mastered the language to...
  8. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Moja ya hatua muhimu za kujikinga na Covid ni kunawa mikono, Kipanya anaonyesha hali halisi ya mwananchi wa kawaida

  9. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Nini hofu ya Spika Ndugai kuchukua hatua dhidi ya Wabunge kina mama 19 wanaodaiwa kuwa ni wa CHADEMA?

    Hebu kila GT yeyote aitazame na kuisikiliza video clip hii ya Spika Ndugai Job mwanzo mwisho. Umeelewa na kujifunza nini baada ya kusikiliza? Kwanini unadhani Spika wa Bunge la JMT ndg Job Ndugai anapata wakati mgumu kuchukua maamuzi sahihi kwa hawa kina mama na badala yake anapiga siasa...
  10. Elvis Legacy

    JamiiForums Tanzania Hatua za awali kabla ya kufikia malengo kisiasa ukiwa CCM

    Hatua za awali kabla ya kufikia malengo kisiasa ukiwa CCM. 1. Tafuta kadi ya CCM kwenye tawi lako. Kisha jenga mahusiano ya karibu na viongozi wa matawi na kata. (SIASA MAHUSIANO) 2. Soma katiba, kanuni na miongozo ya chama, vitabu kama kanuni za maadili na uongozi na kanuni za uchaguzi vikae...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Babati, Manyara: Watu wanaozidisha kiwango cha kelele usiku wanachukuliwa hatua gani?

    Kuna mazoea ya kupiga muziki mzito katikati ya makazi ya watu. Hapa kuna club moja karibu na Top in One Lodge, stand ya zamani Babati wanapiga muziki hadi usiku wa manane bila kujali ni siku za kazi au lah! Je, mamlaka zimewapa kibali kusumbua wananchi zaidi ya saa sita usiku? Muziki...
  12. Zitto

    JamiiForums Tanzania Tanzania imetimiza hatua zote 4 kuwa nchi ya kidikteta

    Dikteta huchukua hatua kadhaa kupandikiza utawala wa Imla - Zitto Kabwe (Andiko la July, 2016 na uhariri kidogo 2018. Uhariri tena mdogo Jan, 2019 ) Hupambana na Wafanyabiashara wakubwa ' matajiri ' ili kuweka matajiri wake wapya watakaokuwa msaada kwake. Rais Putin wa Russia alifanya hili...
Back
Top Bottom