Mkuu wa Mkoa, tunaomba Walimu waliohusika kumwalika Amber Rutty Shuleni wachukuliwe hatua

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Sep 11, 2017
1,694
3,982
Ni aibu. Mwalimu huyu naye bila hata akili anaonekana kushadadia uwepo wa Msanii huyu mwenye Sifa mbaya ya kusambaza Video yake ya Ngono Kinyume na Maumbile.

Inasikitisha sana. Na hata ukimwona vazi alilovaa msanii huyu ni la aibu. Anasimamishwa mbele ya wanafunzi wamwangalie alivyo kama ni model wao.

Kwa tukio hili tu ni haki walimu kumwagiwa mchanga,kurushiwa mayai viza n.k ni shule ya kipuuzi sana. Wazazi wanapaswa wakutane na mkuu wa shule hii. Ni jambo la aibu mtu huyu kuwa ni model wa wanafunzi hawa.

Mkuu wa Mkoa angalia matatizo mawili ya shule hii.

1. Tatizo la kukosa fensi
2. Tatizo la kumwalika ambaruti
 
Hakuna tatizo lolote hapo, acheni ujinga na ushamba, dunia imebadilika na sisi tubadilike kulingana na matakwa ya kidunia.
 
Back
Top Bottom