mh Rais samia chukua hatua ajali zimezidi kipindi

mh Rais samia chukua hatua ajali zimezidi kipindi

Hell is real

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2021
Posts
204
Reaction score
365
Habari wakuu!!!! Kipindi cha miezi ya hivyi karibuni kumekuepo na ajali nyingi sana, mpaka imefikia hatua sasa kila siku lazima ajali itokee mahali! Tunawapoteza ndugu zetu! Yamkini ni uzembe wa madereva, traffic kujisahau nk! Kipindi cha magufuli haya mambo aliyakomesha na kiukweli ajali zilipungua kwa kiasi kikubwa! Lakini baada ya mwendazake saivi kila kitu kinaenda kimazoea, mama Yetu Rais samia chukua hatua, punguza upole!! Upole umezidi mno! Watendaji wako saiv kila kitu kinafanyika kwa mazoea!!!
Je! Tutafika kweli?????
 
Siyo ajali tu...ujambazi umerudi....vibaka wapi kazini...watu wanakunywa bia kwenye baa saa nne asubuhi...maofisini watu wanaingia wapendavyo kwenye baadhi ya ofisi..upigaji umerejea...unanijua Mimi ni Nani imeanza polepole..
 
Ni kweli ajali zimeongezeka siku za hivi karibuni.
Ninafikiri hali hii imechangiwa pakubwa na mabadiliko ya kila mara ya maisha ya mwananchi.

Dereva Unapokuwa barabarani unahitaji utulivu wa akili ili kukimiliki chombo ipaswavyo.
Haya mambo ya tozo, na mabadiliko ya kodi, ukosefu wa masoko ya mazao, bidhaa kupanda bei nk nk.
Ajali ni LAZIMA zitokee.
Pamoja na hayo niwapongeze sana dereva wetu, wanajitahidi..kwa hali tunayopitia hali ingekuwa mbaya zaidi.
 
Magu ctaki kumuongelea vibaya, japo ana mapungufu yake kama binadamu wengine.

Mama samia ana hekima, busara na mpole,,inapendeza mno Rais awe hivyo na co kuwa mkali na katili wengine.

Binafc mama ni best president kuliko Rais aliepita.

Mwenyezi Mungu amjaarie afya na umri mlefu mamaetu kipenzi.
 
Madereva wa serikalini wengi wana rafu na ndiyo wavunjaji sheria za barabarani,,,,hususani Magari ya DFPA na JWTZ, kuna mjeshi alijifanya kupita kwenyi taa nyekundu mbona walimfyeka na kufa hapo hapo!
 
Back
Top Bottom