Kushika hatamu kwa chama kimoja kwa muda mrefu huleta mazoea na uzembe wa kutowajibika ndio huleta kudumaa kwa maendeleo ya nchi na kukosa fikra mbadala za kisukuma gurudumu la maendeleo nchini.
Vitendo kama ufisadi hutamalaki na ubwanyenye wa kubweteka hii inatokana na wenye chama kupata muda...
Habari za muda huu wapendwa...bila shaka sote tuwazima wa AFYA.
Maisha ya kimapenzi yamejawa changamoto na vitimbi vya kila aina. Mara nyingi wale tuliowapenda na kuwathamini ndio wanaotuletea vunjiko la moyo na maumivu yasiyoisha. Wahenga wanasema kuwa lisemwalo lipo kama halipo laja...
Utangulizi.
Cheti cha umiliki wa ardhi.
Ni nakala itolewayo kwa mtu ikionyesha haki yake ya kukodishiwa ardhi husika ndani ya miaka fulani.
Anayepewa hati hii anakuwa amekodishiwa ardhi na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ardhi hiyo husimamiwa na raisi wa Jamhuri kwa niaba ya watanzania wote...
Ndugu zangu wa JF
Nitoe maoni yangu kama Mtanzania Mzalendo kufuatia kauli ya Ndugai kubeza kitendo cha Rais Samia kuendelea na Sera ya kukopa Fedha nje ya Nchi kugharamia miradi ya Maendeleo
Kauli ya Mheshimiwa Ndugai sio tu inabeza na kudharau mamlaka ya Rais bali inalenga kuhujumu...
Rais Samia Suluhu Hassan kusema kiongozi mhimili wa Bunge kuusema mhimili wa serikali kuu yaani taasisi ya Urais ni dalili za kutengeneza mazingira ya kushindana naye katika uchaguzi wa 2025 inaashiria hali ya sintofahamu ndani ya chama tawala.
Huku bunge la Tanzania kuwa la chama kimoja baada...
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Anthony Blinken amesema Washington inapania kuchukua hatua mpya ili kushinikiza utawala wa jeshi nchini Myanmar kurudisha serikali ya kiraia, katika wakati ambapo wasiwasi unazidi kuongezeka kutokana na kukandamizwa wapinzani.
Akizungumza wakati wa ziara...
Nalaani kitendo kilichofanywa na askari wa Jeshi la Polisi kumwita mtuhumiwa ofisini kwao nakumkalisha chini Kisha kumpiga picha nakuzisambaza. Hii siyo sahihi kabisa, sidhani kama watoto wao wanapotuhumiwa au watoto wa viongozi wanapokengeuka tunawafanyia hivi.
Lakini jambo la pili huyu mtoto...
Kumezuka tabia ya watumishi wa umma kufukuzwa kazi kihuni na waajiri wao na kutokana na kutofuraishwa na kufukuzwa kwao , watumishi hao huwa wanaenda kufungua malalamiko huko CMA Commission for Mediation and Arbitration na mwishowe huwa maamuzi hufikiwa idara hiyo ya serikali hutakiwa kumlipa...
Kwa uhalisia naiona Simba ikifanya vizur sana kweny hatuna ya makundi kwa sababu timu zote alizopangiw ni za kawaida sana. Kama atashinda mechi zote za nyumban na kupata hata sare moja ugenini bas atasonga mbele
Mojawapo ni Star Tv pia YouTube channels zote na magazeti. Vyombo vingine vipelekewe taarifa ya tahadhari, hasa vinavyorusha matangazo ya wachungaji wahuni wahuni
Watu wanne (Wanawake 2 na Wanaume 2) wameripotiwa kufariki dunia huku wengine 17 wakijeruhiwa baada ya jengo lililokuwa linajengwa eneo la Goba kwa Awadhi Jijini Dar es Salaam kuangukia nyumba za jirani
Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Kheri James amesema wanaendelea kuangalia iwapo kuna wengine...
Mnalalamika hovyo kila kona eti Rais wa JMT, mama Samia hajatekeleza ahadi ya kuleta umoja wa kitaifa. Hii yote ni kwa sababu Mbowe na wenzake wanatuhuma za kupanga njama za kutekelwleza ugaidi na walikamatwa na kufikishwa mahakamani
Je, mlitaka kama kweli wanahusika na njama hizo...
Kupanda kwa bei ya mafuta kuna athiri kwa ujumla maisha ya wananchi, kwa sababu kunapelekea kupanda kwa gharama za vitu vingine. Lakini licha ya kuwa inaonekana bei ya amefuta imepanda, kwa namna nyingine unaweza kusema bei imeshuka.
Imeshuka kwa sababu serikali imeondoa ada ya mafuta ya TZS...
Wataalamu wa Afya kutoka Chuo Kikuu cha John Hopkins wanasema utengenezwaji wa haraka wa chanjo za COVID-19 haumaanishi kuwa hatua za usalama zilirukwa
Teknolojia zinazotumiwa kutengeneza chanjo hizo zimekuwa zikitengenezwa kwa miaka mingi ili kujiandaa na milipuko ya virusi vya kuambukiza...
Austria imekuwa nchi ya kwanza katika Ulaya Magharibi kutangaza tena hatua za kusitishwa shughuli za nchi kupambana na ongezeko la maambukizi ya virusi vya corona.
Kansela wa Austria Alexander Schallenberg amesema hatua hiyo ya kufungwa shughuli za nchi itaanza kutekelezwa Jumatatu na agizo la...
Mbinu za malezi zilizoleta matokeo mazuri kwa mtoto wa miaka 13 zinaweza zisilete matokeo yanayotarajiwa kwa Mtoto wa miaka 7 kwa sababu ya hatua ya ukuaji wa watoto hao. Kuna umri unafika katika namna ya saikolojia ya mtoto huwa na kawaida ya kuuliza kwanini, “kwanini nioshe vyombo mimi na sio...
Na Pili Mwinyi
Ukame, mafuriko, moto wa msituni, ukosefu wa chakula, kutoka nchi zenye mapato madogo hadi zenye mapato makubwa duniani, athari za mabadiliko ya tabianchi zimekuwa zikishuhudiwa kila siku katika sayari hii. Kati ya mwaka 1998 na 2017, hasara iliyotokana na hali mbaya sana ya...
Katiba ya sasa ina mapungufu makubwa sana ambayo yanazuia nchi yetu kupiga hatua za maendeleo na kufanya watanzania wengi kuishi katika ufukara wa kutisha. Takwimu zinaonyesha kuwa 96.6% ya watanzania wanaishi chini ya $2 (TSH.4600) na zaidi ya 86% wanaishi chini ya msitari wa umaskini yaani...
Kwanni serikali imeamua kubeba mzigo wa kuwatafutia maeneo wamachinga? Hawa wanaojiita wamachinga ni wahalifu maana wamekiuka Sheria na taratibu mbalimbali za nchi kwa kuamua kujenga mabanda barabarani ama kupanga bidhaa mbele ya maduka ya wafanyabiashara.
Nilitegemea watu hawa, mmoja mmoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.