hatari

Hatari (Icelandic pronunciation: [ˈhaːtarɪ]; lit. 'Hater') are an Icelandic techno, industrial and punk rock band and performance art group from Reykjavík. Their public image incorporates elements of anti-capitalism and BDSM-inspired attire. The band consists of Klemens Hannigan, Matthías Haraldsson and Einar Stefánsson, and has released one album and one extended play, encompassing several singles. Hatari represented Iceland in the Eurovision Song Contest 2019 with their song "Hatrið mun sigra", finishing 10th in the final.

View More On Wikipedia.org
  1. Hatari ya kuwa na vikosi binafsi katika nchi yaonekana Sudan na Urusi

    Yaliyoikumba nchi ya Sudan na kuingia kwenye vita vibaya vya wenyewe kwa wenyewe sasa yameingia nchini Urusi. Wakati nchini Sudan kulikuwa na jeshi la RSF linaloongozwa mpaka sasa na Hemedti ambapo jeshi lake linasemekana kuithibiti miji yote mitatu mikubwa ya nchi hiyo. Kule Urusi kuna jeshi...
  2. Iko hatari ya bandari kubaki bandari bila mizigo

    Ukiingia kwenye mtandao wa SPLASH 247.COM utaona makampuni ya usafirishaji wa mizigo duniani yanavyoshidana kumiliki pia bandari maeneo mbalimbali duniani. Hii inaashiria kuwa kila mwenye mizigo atapeleka kwenye bandari zake tu labda alazimike kufanya pale ambapo hatakuwa na namna...
  3. L

    “Kuondoa hatari” ni hila ya Marekani ya kutenganisha China katika mambo ya uchumi na biashara

    Hivi karibuni, “kuondoa hatari” kumechukua nafasi ya “kutenganisha” kama neno jipya linalotumiwa zaidi na wanasiasa wa Marekani kuhusu China. Mkutano wa kilele wa Kundi la Nchi 7 (G7) uliofanyika mwezi uliopita ulitoa taarifa ikisema kuwa, nchi hizo 7 zinazoongozwa na Marekani zitajitahidi...
  4. M

    Bandari ikiwa mikononi mwa wageni kwa asilimia 100, hatuwezi tena kudhibiti kinachoingia na kinachotoka kwa asilimia 100. Ni hatari kwa usalama wetu!

    Kwa jiografia ya nchi yetu ilivyo, bandari ndio mlango mkubwa wa nchi yetu wa kuingilia na kutoka. Mlango huu ukimkabidhi mgeni kwa miaka 100, hatuwezi tena kudhibiti kwa ukamilifu kitakachokuwa kinaingia na kitakachokuwa kinatoka. Hii ni hatari sana kwa usalama wa nchi yetu. Silaha zinaweza...
  5. Onyo Kali: Mwanaume usithubutu kuacha ghetto lako na kuhamia kwa Mwanamke. Ni hatari, utaumbuka mbeleni

    Hi, Ni onyo kali hata iweje usiache ghetto ukahamisha vitu vyako ukaenda kuishi na mwanamke kwake awe amejenga au amepanga, au kama mmepanga yeyw mwanamke ndiye awe anafahamika kwa mwenye nyumba ni kosa kubwa. Kwa asili wanawake hawatabiriki na hawana upendo wa kudumu, mwanamke anataka kitu...
  6. F

    Ikibidi Vyama vya upinzani tuungane hata na Genge S kupinga mkataba huu hatari kwa taifa letu

    Vipengele vilivyopo kwenye mkataba wa kuendesha bandari ya Dar es Salaam unaotarajiwa kufanywa na kampuni ya Dubai Ports (DP) ni vipengele visivyoonesha ukomo wa maslahi na mipaka ya kisheria kwa DP. Mkataba huu kama utasainiwa utaifunga Tanzania na miaka mingi na kutufanya kupoteza udhibiti wa...
  7. Mwanaume kama hauli vizuri ukashiba basi kuna hatari kubwa Mbele yako

    Sifa kuu ya mwanaume ni kuwa na nguvu. Unahitajika kuwa na nguvu kubwa Ili ukatatute ridhiki, siku hizi maarufu kama hela, ndio ridhiki yanyewe. Ukiwa na nguvu utafanya kazi Kwa umakini na kwa muda unaotakiwa. Ukiwa dhaifu hutamaliza majukumu yako sawasawa. Familia inakutegemea utumie nyuvu...
  8. SoC03 Uwekezaji Kwenye Nafsi Yako: Elimu Na Utawala Bora Kama Kinga Dhidi Ya Hatari

    UWEKEZAJI KWENYE NAFSI YAKO: ELIMU NA UTAWALA BORA KAMA KINGA DHIDI YA HATARI Imeandikwa na: Mwl.RCT UTANGULIZI Karibu katika makala hii kuhusu "Uwekezaji kwenye Nafsi Yako: Elimu na Utawala Bora kama Kinga Dhidi ya Hatari". Jambo la muhimu zaidi ni uwekezaji kwenye nafsi yako. Hii inamaanisha...
  9. Maziwa Yasiyo Salama ni Hatari kwa Mlaji

    NAIBU WAZIRI SILINDE - MAZIWA YASIYO SALAMA NI HATARI KWA MLAJI Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. David Silinde ameonya kuwa matumizi ya maziwa yasiyo salama huhatarisha maisha ya mlaji kutokana na kutumika kama njia ya kusafirisha magonjwa ya mifugo kwenda binadamu. Mhe. Silinde amesema...
  10. Ni mazingira gani ya hatari ambayo umewahi kufanya mapenzi?

    Wasalaam.. Nimekaa zangu gheto sielewi, mikeka inachanika nikakumbuka siku moja nlikula mbususu kwenye mazingira ya hatari sana. Ilikua nimetoka club mida ya SAA nane hivi kuna manzi akaniomba lift nimpeleke kwao kidume nikachangamkia fursa. Basi kwnye gari mtoto namuimbisha haelewi..kuja...
  11. Ni kitu gani kimebadilika katika elimu Tanzania? Tukiendelea kuwaacha wajinga watuongoze watu wenye akili ni hatari

    Labda niulize sisi tuliosoma miaka ya nyuma na sasa kuna kitu gani kimebadirika? Tulisoma bila kuwa na vitabu, hatukujuwa sylubus yoyote, Primary tuliwahi namba SAA 12 asubuhi na SAA 8 mchana ni mwisho wa masomo na kurudi nyumbani na wengi hatukusoma masomo ya ziada tuition lakini kulikuwa na...
  12. Moja ya maeneo hatari nchi hii ni uwanja wa Benjamin Mkapa

    Huu uwanja ni moja ya sehemu hatari sana kwa maisha ya watanzania. Wakati wa mazishi ya JPM inasemekana watu arobaini walifariki kwa kukanyagana. Hatujui majeruhi walikuwa wangapi. Jana wakati wa mechi ya yanga inadaiwa kafa mmoja na majeruhi thelathini. Bado hapo ambao hupigwa na askari karibu...
  13. Ulifanya mambo gani zamani ambayo ukikumbuka unajiona mjinga?

    Niaje niaje, Wadau tukumbushane enzi hizo na matukio yetu ambayo ukiwaza sasa hivi unajiona mshamba fulani hivi. ~ Nakumbuka nilitoa hela ndefu ili niungwe Facebook, nikiwaza nataman niende Internet Cafe nikamchape yule dada vibao. ~ Shati yangu ya shule bila kutia blue nilihisi...
  14. Chama kipo Imara Kuliko Jana. Wataisoma namba. Hatari sana

    Kama unadhani chama kitakufa unajidanganya. Mawaziri wanapiga kazi na hii inasaidia kuzalisha wanachama wapya na mawaziri, wabunge wa kesho. Bado chama kipo sana. Na mikutano inaendelea kama kawa kama dawa.
  15. Bajaji za pale Uhasibu Kurasini ni hatari kwa maisha ya wavuka barabara, Polisi ilitazameni hili

    Habari za uzima wana JF, Kuna kero huwa naiona na nimewahi kunusurika kugongwa na zile bajaji pale Uhasibu Kurasini, madereva wake wana tabia wanakuja chuo cha Uhasibu kwa kutumia upande wa magari yanayoenda Mbagala, sasa mtu akiwa anavuka anaangalia upande wa magari yaendayo Mbagala then...
  16. M

    Unbreak my heart. Huyu mwanamke ni hatari

    Don't leave me in all this pain Don't leave me out in the rain Come back and bring back my smile Come and take these tears away I need your arms to hold me now The nights are so unkind Bring back those nights when I held you beside me. TONI BRAXTON UNBREAK MY HEART
  17. Nimeamini Mwanaume ukiwa Handsome kuna hatari 5 zinaweza kukukuta na ukapoteza mwelekeo wa maisha

    1. Kuanguka kwenye uzinzi na uashareti na wanawake wa ovyo na kupelekea kupata mikosi ya kila namna. 2. Kupata kesi za mimba na watoto usiowatarajia kutoka kwa wanawake unaolala nao. 3. Kwenda jela kutokana na vurugu za wanawake. 4. Kufa mapema au kutendewa vitendo vya aibu kwa kutembea na...
  18. Kuishi Geita na Mara ni hatari kwa usalama wako na mali zako

    Hiii mikoa ni kama imelaaniwa kila kukicha utasikia Mauaji Geita Mauaji Mara imekua kama wimbo sasa. Kuna muda nafikiria kwanini tusiifute hii mikoa tuifanye misitu watu waneuliwa, watu wamevamiwa biashara zao. Polisi wapo ila wapo busy kula rushwa na kuchora ramani na majambazi. Kuishi Mara na...
  19. Madereva wa magari ya shule ni hatari kwa maisha ya watoto wetu

    Siku Hizi kumekuwa na trend ya matukio kadhaa ya madereva wa gari za shule 'School Bus' kuwa rough njiani, na hawako makini kabisa, hawajali kabisa kama wamebeba watoto ndani ya gari hizo. Hii video ni moja ya matukio ambayo yamekamatwa kwenye camera Gari ya shule yenye jina la MARTHA...
  20. M

    Wamejitahidi kuficha mwisho wamekubali kuwa Patriot Air Defense System imeshachakazwa na makombora hatari ya Urusi

    Wiki iliyopita Ukraine walidai kuwa wamefanikiwa kuangamiza kombora la urusi (hypersonic missile), lakini baadaye ikaonekana kuwa siyo. Na leo mji mkuu wa ukraine ulishambuliwa vibaya na ukraine ikadai imetungua makombora 6 (hypersonic missile) ya urusi kwa kutumia Patriot air defense ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…