Putin ni mtu hatari wa kuongea saana ila USA analiogopa sana hili dude!

Nsanzagee

JF-Expert Member
Jun 28, 2023
1,956
4,146
Ijulikane kuwa, vitisho vya Putin kwa nchi zote wakati akiivamia Ukraine, ilikuwa, na ole wa nchi yoyote itakayotia nia kutaka kuisaidia Ukraine iwe kwa fedha, silaha na ama kivyovyote, itachezea moto mkali na itajuta nchi hiyo

Kadri siku zilivyokuwa zikiendelea, kauli ya Putin ilikuwa ikizidi kukikwa kila uchwao na nchi mbalimbali hasa za Ulaya na Marekani

Ilifika wakati, nchi zikawa zinapeleka silaha pepupe pe bila uficho na hakuna alichofanya huyu mwamba wa kuongea

USA ikafikia hatua anatangaza kabisa na kiwango cha fedha zikazotumika kuifadhili Ukraine na bado hakufanya kitu

Tukafikili labda wanasubirishia kwenye kona ili kidhihirisha kauli yake

Marafiki wa Urus huko Mashariki ya kati wanataabishwa na hafanyi chochote kujaribu kuwatetea

Yemeni inatandikwa na hao asiowapenda, hapa ilipaswa sasa Putin aoneshe umwamba wake kwa kuwalinda na kuwatetea ili kweli dunia iseme, yeye ndiye super power!

Marekani anawaandika Houth na pia anawatandika Wapalestine kwa mgongo wa Israel na bado anagawa mabilioni ya dollar huko Ukraine ili mrusi achezee za uso, halafu yeye putini kabaki kuongea tu bila kufadhili hata taifa moja linalonyanyaswa

Hapa kila mwenye akili lazima aseme, USA ni dude kuuubwa sana bado na linaogopeka kwa kila vitaifa

Mbali na kuongea saana, bado Ukraine kataifa kadoogo bado kanaendelea kumpa taabu sana
 
Marafiki wa Urus huku Mashariki ya kati wanataabishwa na hafanyi chochote kujaribu kuwatetea

Yemeni inatandikwa na hao asiowapenda, hapa ilipaswa sasa Putin aoneshe umwamba wake kwa kuwalinda na kuwatetea ili kweli dunia iseme, yeye ndiye super power!

Marekani anawaandika Houth na pia anawatandika Wapalestine kwa mgongo wa Israel na bado anagawa mabilioni ya dollar huko Ukraine ili mrusi achezee za uso, halafu yeye putini kabaki kuongea tu bila kufadhili hata taifa moja linalonyanyaswa

Hapa kila mwenye akili lazima aseme, USA ni dude kuuubwa sana bado na linaogopeka kwa kila vitaifa

Mbali na kuongea saana, bado Ukraine kataifa kadoogo bado kanaendelea kumpa taabu sana
Doh!
Umezungumza kiushabiki sana mkuu.
USA ni mbwa koko siku hizi.
Huko Russia kaikokota mpaka NATO na bado Ukraine hajaweza kukomboa maeneo yake.
Huku middle east Houthi mpaka leo inampa tabu wamefunga red sea licha ya mashambulizi anayofanya lakini bado njia haijafunguka meli hazipiti.
Sijaona huo udude ukubwa wake .
ILA nampa salute RUSSIA licha ya NATO kuungana bado wameshindwa kumshinda Russia.
RUSSIA NDIO DUDE KUBWA VIVA RUSSIA
 
Akili yako bado changa. Kacheze betting, na computer games, hiyo ndio stahili yako. Haya mengine yamekuzidi uwezo.
Unatamani sana kuona USA akichapwa na Russia ila ndo hivo mkuu

Yaani umepitia yote hayo halafu ukaona hicho ndo ukosoe?
 
Ijulikane kuwa, vitisho vya Putin kwa nchi zote wakati akiivamia Ukraine, ilikuwa, na ole wa nchi yoyote itakayotia nia kutaka kuisaidia Ukraine iwe kwa fedha, silaha na ama kivyovyote, itachezea moto mkali na itajuta nchi hiyo

Kadri siku zilivyokuwa zikiendelea, kauli ya Putin ilikuwa ikizidi kukikwa kila uchwao na nchi mbalimbali hasa za Ulaya na Marekani

Ilifika wakati, nchi zikawa zinapeleka silaha pepupe pe bila uficho na hakuna alichofanya huyu mwamba wa kuongea

USA ikafikia hatua anatangaza kabisa na kiwango cha fedha zikazotumika kuifadhili Ukraine na bado hakufanya kitu

Tukafikili labda wanasubirishia kwenye kona ili kidhihirisha kauli yake

Marafiki wa Urus huko Mashariki ya kati wanataabishwa na hafanyi chochote kujaribu kuwatetea

Yemeni inatandikwa na hao asiowapenda, hapa ilipaswa sasa Putin aoneshe umwamba wake kwa kuwalinda na kuwatetea ili kweli dunia iseme, yeye ndiye super power!

Marekani anawaandika Houth na pia anawatandika Wapalestine kwa mgongo wa Israel na bado anagawa mabilioni ya dollar huko Ukraine ili mrusi achezee za uso, halafu yeye putini kabaki kuongea tu bila kufadhili hata taifa moja linalonyanyaswa

Hapa kila mwenye akili lazima aseme, USA ni dude kuuubwa sana bado na linaogopeka kwa kila vitaifa

Mbali na kuongea saana, bado Ukraine kataifa kadoogo bado kanaendelea kumpa taabu sana
Marekani inajimaliza yenyewe, unataka Putin aisaidieje?
 
Watu wanajiandaa kumywa supu,shauri yako
Screenshot_20240119-142148.jpg
 
Mna jitekenya na kucheka wenyewe, US mwisho ilkua kwa bush saivi ame baki kwenye sithole country uko kwa wakubwa ni boya mmoja tu ana tapa tapa kuprove kila sehemu ana ishia ku faiil tu..
 
Ijulikane kuwa, vitisho vya Putin kwa nchi zote wakati akiivamia Ukraine, ilikuwa, na ole wa nchi yoyote itakayotia nia kutaka kuisaidia Ukraine iwe kwa fedha, silaha na ama kivyovyote, itachezea moto mkali na itajuta nchi hiyo

Kadri siku zilivyokuwa zikiendelea, kauli ya Putin ilikuwa ikizidi kukikwa kila uchwao na nchi mbalimbali hasa za Ulaya na Marekani

Ilifika wakati, nchi zikawa zinapeleka silaha pepupe pe bila uficho na hakuna alichofanya huyu mwamba wa kuongea

USA ikafikia hatua anatangaza kabisa na kiwango cha fedha zikazotumika kuifadhili Ukraine na bado hakufanya kitu

Tukafikili labda wanasubirishia kwenye kona ili kidhihirisha kauli yake

Marafiki wa Urus huko Mashariki ya kati wanataabishwa na hafanyi chochote kujaribu kuwatetea

Yemeni inatandikwa na hao asiowapenda, hapa ilipaswa sasa Putin aoneshe umwamba wake kwa kuwalinda na kuwatetea ili kweli dunia iseme, yeye ndiye super power!

Marekani anawaandika Houth na pia anawatandika Wapalestine kwa mgongo wa Israel na bado anagawa mabilioni ya dollar huko Ukraine ili mrusi achezee za uso, halafu yeye putini kabaki kuongea tu bila kufadhili hata taifa moja linalonyanyaswa

Hapa kila mwenye akili lazima aseme, USA ni dude kuuubwa sana bado na linaogopeka kwa kila vitaifa

Mbali na kuongea saana, bado Ukraine kataifa kadoogo bado kanaendelea kumpa taabu sana
Hakuna uzito wowote kifikra, Jana tu Mesenaries 60 wa kitaransa wamekufa kwa shambulio moja . Je hiyo sio mojawapo ya onyo la awali kuwa yeyote asiingilie?
 
Back
Top Bottom