Wakazi wa kata ya Ijuganyondo katika Manispaa ya Bukoba wana katika hatari ya kukumbwa na mafuriko

kahembe

Member
Mar 22, 2015
75
55
Kuna kipindi nilibahatika kwenda Moja inaitwa Ijuganyondo. Kuna sehemu Kuna shule ya Msingi inaitwa Mushemba Trinity Primary School pembeni Kuna shimo kubwa sana lilichimbwa kutoa changalawe ya kutengeneza barabara Cha ajabu lile shimo lipo karibu na Makazi ya watu, pia lipo karibu na shule ya watoto Wadogo. Ili ni Bomu linalosubilia kulipuka Kwani hata Mbunge Hana taarifa na jambo ilo Wala Mkurugenzi wa Manispaa ya Bukoba Hana taarifa na jambo ilo.. Ila diwani wa kata ya Ijuganyondo anasikia aliwambiaa wananchi waachebkupita ilo eneo, Na aliomba Ungozi wa Manispaa wa msaidie kuzungushia Fensi lakini utekelezaji hakuna.
 
Kama vile Kila mtu ana picha kichwani ya unacholalamikia, weka picha watu wajadili kwa uelewa mpana wa ulicholeta hapa,.. kyoma nka noishana atashomile!!??
 
Back
Top Bottom