hatari

Hatari (Icelandic pronunciation: [ˈhaːtarɪ]; lit. 'Hater') are an Icelandic techno, industrial and punk rock band and performance art group from Reykjavík. Their public image incorporates elements of anti-capitalism and BDSM-inspired attire. The band consists of Klemens Hannigan, Matthías Haraldsson and Einar Stefánsson, and has released one album and one extended play, encompassing several singles. Hatari represented Iceland in the Eurovision Song Contest 2019 with their song "Hatrið mun sigra", finishing 10th in the final.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    JamiiForums Tanzania Yaani CCM ni hatari kwa taifa hili

    Pamoja na kudai kuwa CCM ina wanachoma milioni tisa lakini kila teuzi zinazo fanyika majina ni yale yale. Kibaya zaidi wameteuwa mtuhumiwa wa uuwaji kuwa katibu mwenezi wao. Hivi kama hii si zarau kwa wanaCCM na watanzania ni nini. Mtu mwenye tuhuma za kugushi vyeti, mvamizi wa vituo vya tv...
  2. MK254

    JamiiForums Tanzania Wapalestina zaidi ya 5,000 wameuawa, hamna muda wa kuzikana, hatari sana

    Dah! ila kweli palikua na ulazima wa watu kufa hivi, HAMAS kweli hawana akili.... Every day in Gaza, the two biggest hopes are to stay alive and not receive word of another devastating loss. A Palestinian carries a child killed in Israeli bombardment in Deir el-Balah, the Gaza Strip, Monday...
  3. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Tukio la Mkataba wa Bandari kwenda sambamba na Uteuzi wa Makonda ni Dalili za CCM kujivika kitanzi cha hiari

    CCM ina watu wabovu sana kwenye kitengo cha propaganda, kufanya uteuzi wa Paul Makonda kuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM kama spinning ya kuzima mjadala na fikra tunduizi kwa tukio la aibu la Mkataba wa Bandari ni timing mbovu na imekuwa miscalculated. Falme za namna hii hizi ni nyakati...
  4. Ejolisi

    JamiiForums Tanzania KWELI Inawezekana kuwa kwenye siku za hatari ukiwa kwenye siku za hedhi

    Nina swali ndugu zangu hivi inawezekana siku za hatari zikaangukia katika mzunguko kuingiliana na siku za hedhi? Mfano, siku za hedhi ni tano ile siku ya 4 au 5 ikiwa siku ya hatari?🤔
  5. T

    JamiiForums Tanzania Vyoo vya stendi ya Kahama ni vichafu sana na hatari kwa Afya

    Ninaomba nikufikishie hii kero iliyoko Stand ya Mabasi - Kahama mjini. Pamoja na kuwepo choo bora cha manispaa, bado kuna vyoo hatarishi (kama hiki) kwa afya za Watanzania na wasafiri wanaotumia stand hii ya Kahama. Nimeambatanisha picha hapa chini kama ushahidi. Mamlaka husika tunaomba mchukue...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kijijini, Mbezi Beach eneo hatari Jijini Dar es Salaam

    Na Waandishi Wetu, TimesMajira Online, Dar es Salaam UKISTAAJABU ya Mussa Utayaona ya Firauni. Msemo huu unakamilisha picha halisi ya maisha ya wakazi wa eneo la Kijijini, lililopo katika Kata ya Kawe, Mtaa wa Mbezi Beach B, Wilaya ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam. Ukifika katika eneo hilo...
  7. Desierto

    JamiiForums Tanzania Kila nikiona kitu cha hatari natamani kujitupia nife

    Hii hali maranyingi hunitokea nikiwa navuka bara bara nikaona gari linakuja kwa kasi kuna sauti inanijia nijitupe humo linipitie. Kuna wakati inanibidi nirudi nyuma kabisa ili kuishinda hii sauti inayo niamuru kufanya hivo. Au shimo refu au nikiwa juu daraja au kitu chochote bacho ni hatari...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Lijue Gereza la Kijeshi Hatari zaidi duniani linalofunga hadi Raia la Sednaya lililoko Jijini Damascus nchini Syria

    Ni Gereza linalochukua Wafungwa Elfu Tatu tu ila lina Wafungwa zaidi ya Elfu Ishirini Ni Gereza la Kijeshi ila linalochukua Raia wa Makosa mbalimbali Ni Gereza ambalo Wafungwa wakiingia Siku ya Kwanza hufanyiwa Sherehe ya Mateso na Vipigo vikali ambavyo huwafanya Wafungwa hao washindwe Kuona...
  9. Webabu

    JamiiForums Tanzania Hivi Marekani haioni haya wala kujua hatari ya wanachokifanya Israel

    Kujiamini kwa kupitiliza kwa Marekani na Israel ndiko kunakokaribisha chuki kutoka kila upande duniani.Huwa wanafanya kile kisichopendeza kwa wenzao na wakifanyiwa wao inakuwa ni nongwa kubwa. Raisi Biden tangu siku ya mwanzo bila kupata picha kamili ya vita vilipoanza akasema Israel inastahiki...
  10. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe mambo hatari tunayopaswa kujiepusha nayo hasa ukiwa hapa nchini Tanzania

    Wakuu nimeona leo tukumbushane mambo hatari ya kukwepa hasa unapokuwa ndani ya nchi tukufu Tanzania. 1. Kujihusisha kimapenzi na mke/mume wa mtu. 2. Kujihusisha kimapenzi na mwanafunzi (shule ya msingi na sekondari). 3. Kumpa mimba mwanafunzi (shule ya msingi na sekondari) 4. Kujihusisha na...
  11. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Wanasayansi wafufua virusi hatari vya "ZOMBIE"

    Wanasayansi wamefanikiwa kufufua virusi vya 'Zombie' ambavyo vilikuwa vimelala kwa zaidi ya miaka 48,500 katika barafu. Kuyeyuka kwa theluji katika eneo la Siberia nchini Urusi, kutokana na mabadiliko ya hali ya hewa, kunaweza kuwa tishio jipya kwa afya ya binadamu na wanyama, kulingana na...
  12. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Agenda ya Mohamed Said ina ukakasi

    Huyu mzee wangu wa gerezani aangaliwe vizuri. Nakubali ni msomi mzuri hapa nchini, nakubali ana busara ila anatumia akili zake kucheza na akili za watu. Sijawahi kusikia popote duniani mtu anajiita mwana historia kwa kubobea kwenye kata moja tu. Mohamed Said anajiita mwanahistoria lakini...
  13. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Watu hatari zaidi katika kuwa nao ni hawa

    Ni vizuri kuwa na marafiki wa aina mbalimbali kwa mtu lakini ni vizuri zaidi kuelewa aina ya marafiki ulionao. Kuwa na idadi kubwa ya marafiki siyo sababu ya mtu au Taifa kujiona linapendwa au lina msaada fulani kutokana na idadi ya marafiki. Urafiki ni muhimu ila kuelewa aina ya urafiki na...
  14. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Walinzi holela (jadi) Ni hatari kiusalama

    1. Ndugu zetu wafugaji wamejipambanua kwa kazi za ULINZI, USUSI na kuuza dawa asili Sasa kuwaajiri hawa rafiki zetu bila mkataba Wala.mafunzo Ni mtihani na hatari Kwa usalama wako. Anaweza kukutaka kichwa bila kuuliza yeyote. 2. Zaidi, wapo wanaojihusisha mapenzi ya Jinsia moja bila kinga wala...
  15. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Taasisi dhaifu ni kitisho kwa usalama wa nchi. Kwa hali ilivo, TANESCO ni hatari namba moja kwa usalama wa Tanzania, na serikali bado imelala fofofo!

    Umuofia kwenu....! Kati ya mwaka 2018 na 2020 Tanzania ilipitia changamoto za uhaba mkubwa wa Cement na bei kuanza kupanda kiholela. Lakini baada ya kulifuatilia suala lile, nikaja kugundua kwamba, kuadimika na kupanda kiholela kulisababishwa Zaidi na utekelezaji wa miradi mikubwa ya ujenzi...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Baleke Ndiye Mfungaji Hatari zaidi Kwa Sasa NBC League!

    Baada ya Mechi hizi za raundi ya tatu za Ligi ya NBC. Imejidhihirisha Jean Othos Baleke ndiye mchezaji Hatari Zaidi kwenye safu ya Ushambuliaji Kwa Sasa Nchini Tanzania. Sio kwamba wengine hawapo, Ila Yeye ndiye Kiumbe Katili zaidi ndani ya 18 akiwa na mpira ukilinganisha na Wengine kwenye...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Je, kitu gani ni hatari lakini watu wengi wanakichukulia poa?

    Kuna vitu vingi katika maisha yetu ambavyo vina hatari kubwa, lakini tunavichukulia poa tu na maisha yanasonga bila kufikiria athari zake. Ukija kushtuka huwezi kurudi kunyuma, na ukibahatika kunyanyuka basi unakuwa umepoteza pakubwa. Mfano kula vitu ovyo ovyo, tunajua tunajaza sumu kibao...
  18. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Vijana ni Nishati ya Taifa, ila isipotumiwa vizuri Nishati hii inaweza kugeuka Hatari kwa jamii

    Vijana ni Nishati ya Taifa, Wao ni chanzo cha Fahari na Matumaini kwa Nchi husika ila ikitokea Nishati hiyo isipotumiwa Vizuri na kuongozwa kwa Uadilifu, inaweza kuwa hatari kwa jamii. Vijana huathiriwa zaidi na Athari za Ufisadi na Rushwa katika Taifa ikiwemo kukatishwa tamaa kutokana na...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Kukosekana kwa machinjio rasmi ya mifugo Rufiji, Pwani ni kero na hatari kwa afya

    Kwa sisi wakazi wa Wilaya ya Rufiji iliyopo Mkoa wa Pwani tangu nchi ipate uhuru hapajawahi kujengwa machinjio rasmi ya kuchinjia nyama kama zilivyo wilaya nyingine. Pamoja na kuwa wafanyabiashara wanalipa ushuru wa ng’ombe minadani, vizuizi vya njiani (mageti ya ushuru) na kodi kwa Mamlaka ya...
  20. Siana Sia

    JamiiForums Tanzania To make a short story long: Hatari ya kuficha mahusiano

    Ni story fupi sana ila nimeirefusha makusudi. Inaweza kuwa ya ukweli au ya kutunga, we isome. Mwaka jana mwezi September nikiwa kwenye shuguri zangu za kikazi Arusha, nilikutana na Side (au Said). Mara ya kwanza tulikutana ATM. Ilikua jmosi mchana, nilipata changamoto ya kadi yangu kumezwa...
Back
Top Bottom