hata

Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.

View More On Wikipedia.org
  1. Nigrastratatract nerve

    CHADEMA wanajua kuwa ni waongo na hawamuogopi hata Mungu kwa kuongopa na wanautetea uongo kwa nguvu zote

    Chadema inajua kabisa kwamba uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 ilishindwa kihalali kabisa lakini kwa tabia hizi hizi za uongo uongo siasa za utapeli utapeli wanataka kulazimisha na kuwaaminisha watu kuwa uchaguzi uliporwa hawa watu ni waongo sana na hawatakiwi kuaminiwa tena. Nilidhani baada ya...
  2. Infantry Soldier

    Tanzania - India Relations: Hakuna msaada wowote tunaweza kuwapa rafiki zetu wa India? Hata kama ni salamu za pole pekee zinatosha sana

    Mambo vp jamiiforums. Mama yetu Liberata Mulamula, hakuna msaada wowote tunaweza kuwapa rafiki zetu wa India? Hata kama ni salamu za pole pekee (bila kutuma pesa) zinatosha sana. ========== ========== Juhudi za kimataifa zinaendelea katika kujaribu kuisaidia India wakati nchi hiyo inakabiliwa...
  3. JERUSALEM 2006

    Je, Rais Samia anayo haki na misingi ya kuongoza Tanzania Bara (Tanganyika) kwa mambo yasiyo ya Muungano?

    A. UTANGULIZI Napenda kuweka wazi kwamba nimeanzisha mjadala huu, ili kuondoa mkanganyiko na mkwamo ninao uona wazi wazi katika Katiba ya Jamhuri ya Muungano Wa Tanzania. Kwa mara nyingine katiba yetu imejaribiwa (imekuwa tested), hivyo ni busara kuwepo kwa mjadala wa kuondoa shaka na hoja...
  4. Idugunde

    Msijidanganye, hata tukipata Katiba Mpya CHADEMA haiwezi kukamata Dola

    Mnatakiwa wana Cdm kindakindaki mtambue hili kabisa kuwa hata kama Tanzania yetu ikipata katiba mpya hamuwezi kukamata dola. Hii yote ni kwa sababu mnashindwa kufanya siasa kitaalamu na kutambua wapi mmekosea. Siasa ni sayansi hivyo mnatakiwa mfanye tafiti za kisayansi. Iwe kwa mtutu wa...
  5. J

    Benki kuu: Nchi ina fedha za kigeni za kutosha hata kama shughuli za uzalishaji zitasimama kwa miezi sita!

    Naibu Gavana wa benki kuu Dr Kibese amesema wananchi wasiwe na wasiwasi wiwote kwani benki ina akiba ya fedha za kigeni za kutosha. Dr Kibese amesema hata kama uzalishaji utasimama kwa miezi 6 benki kuu ina akiba ya kutosha kuendesha nchi. Dr Kibese amesema hayo katika mahafali ya shule ya...
  6. sky soldier

    Harmonize, hii 'chenchi' ya views laki 4 iwe fundisho kwako kwa mkubwa wako Diamond

    Ndani ya masaa 24 tu waah ilipata views 4.2 Milioni Video hii mpya ya attitude ilitoka juzi mda 20:15, leo muda huu inakamilisha masaa 48 kwa views milioni 3.8 DENI LA VIEWS MILIONI 4.2 YA VIEWS ZA DIAMOND ALIZOFIKISHA NDANI YA MASAA 24 HATIMAE LIMEKAMILIKA BAADA YA HARMONIZE KUFIJISHA...
  7. musa yasini

    Aiyenacho hata kidogo hunyang'anywa

    Inasikitisha sana kuona wanasiasa wetu wanaojiita wazalendo, kuwa na malimbikizo na misururu ya marupurupu na posho starehe, kusinzia, kupiga meza na kupongezana kuchaguliwa tena, tena wakiwa hawakatwi kodi na baada tu ya muhula wao kwisha ,bila kuchelewa, wameshachukua chao. TENA...
  8. MPUNGA MMOJA

    Zitto kabwe: Mradi wa NSSF wa kiwanda cha kuzalisha sukari Mkulanzi kilichogharimu Tsh bilioni 130 hakijazalisha hata tani moja mpaka sasa

    Mradi wa ujenzi wa kiwanda hiki unakadiriwa kutumia sh bilioni 130 mpaka sasa na mtaji wake sh bilioni 250. Uwezo wake wa kuzalisha sukari ni tani 250,000/= lakini hakijazalisha hata tani 1. Shamba la miwa lina miwa ya hekta 800 imechomwa moto, mradi umekufa.
  9. msovero

    Waziri Ummy acha kuwasakama wakurugenzi wako. Hata wewe unafanya kazi kwa mazoea

    Mheshimiwa Rais alisema mawaziri wakileta vitu ambavyo havieleweki tuwakosoe. Kwa misingi hiyo naomba nitumie jukwaa hili kumkosoa waziri ummy mwalimu. Jana kwenye press conference na waandishi wa habari waziri ummy alionyesha masikitiko makubwa juu ya watendaji kufanya kazi kwa mazoea. Ummy...
  10. Idugunde

    Hata mkiruhusiwa kufanya mikutano ya kisiasa mtatueleza nini cha maana tuwaelewe?

    Miaka mitano ya hayati Magufuli imewafumbua Watanzania mambo mengi. Imewafumbua Watanzania kuwa kulikuwa na pesa nyingi hazikusanywi kwa manufaa ya umma bali zilikuwa zinaingia mikononi mwa watu. Lakini pia imefumbua watu juu ya mambo mengi tu. Kama hawa wanasiasa ambao hawana hoja za msingi...
  11. S

    Kimeumana!! Sio bungeni tu hata mtaani

    Kimeumana ndani na nje ya bunge. Baada ya siku moja Rais kuwaambia wabunge wawakosoe Mawaziri na serikali, jana mapema bungeni wabunge Gambo na Gwajima wameibuka na hoja nzito. Gambo amehoji kutopandishwa madaraja kwa watumishi pamoja na waliokua watumishi hewa kutopewa mafao yao. Tuendelee...
  12. Samia atosha tukutane2030

    JKT hata ukae miaka 5 hakuna ujuzi wa maana utakaoupata kiasi kwamba utaleta challenge mtaani

    Kama miaka 2 hivi imepita kwa I'd nyingine nilishauri kidato cha sita badala ya kwenda JKT kwa mujibu wa sheria waende VETA kwa mujibu wa sheria ikiwezekana wakae huko mwaka au miezi sita . VETA watarudi na ujuzi kamili ambao utaweza kuwachallenge mafundi wa mtaani. VETA cheaper ukilinganisha...
  13. J

    Yaliyojiri: Kongamano la viongozi wa dini kumshukuru Mungu kwa maisha ya Magufuli na kuwabariki Rais Samia na Mwinyi

    Ukumbi wa Chimwaga umesheheni viongozi mbalimbali kutoka dini na madhehebu yote. Kadhalika viongozi mbalimbali wa serikali na vyama vya siasa wamo ukumbini. Local channels zote zitakuwa mubashara kurusha tukio hili muhimu la kitaifa. Updates: Askofu Malasusa ndiye amidi ( MC) wa shughuli...
  14. Mr Q

    Kachero mbobezi yupo wapi? Ameshindwa hata kutoa pongezi kwa awamu ya 6?

    Katika pitapita mitandaoni sijafanikiwa kukutana na mahojiano au hata tweet ya Mr Benard Membe l. Akizungumzia chochote juu ya kifo cha Magufuli wala ingizo jipya la raisi Samia Suluhu. Huyu ndugu amesua? Yuko wapi? Au ameachana na siasa uchwara kama Rostam? Wengine walioko kimya. Mzee...
  15. C

    Shirika linaweza kutoa gawio (dividends) hata kama limepata hasara

    Kwema wanaJF, Kumekuwa na watu wanasema ATCL ilipata hasara kwa hiyo haikupaswa kutoa gawio dhana ambayo sio kweli kwa kuwa gawio hutoka kwenye cash flow iliyopo kwenye shirika na sio mpaka pawe na faida kwenye financial statement. Kama cash flow ipo gawio linatolewa vizuri tu. Tena hata kama...
  16. LIKUD

    Sababu za kiroho kwanini lazima ufunge Ramadhani hata kama sio muislamu

    Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani sio kwa ajili ya waislamu tu. Ni kwa ajili ya wanadamu wote. Na hizi hapa ndio sababu zangu. Kwanza awali ya yote kwa wewe usio fahamu leo nakuelekeza Jambo moja utakuja kunishukuru baadae. Moon Calendar "kalenda ya Mwezi" ndio kalenda iliyo sahihi... Hata...
  17. Komeo Lachuma

    Hapa sasa mnatukosea hata sisi ambao huwa tunapenda kuwatendea mema mnataka wote tuwe wahuni?

    Huyu dada nmeanza naye uhusiano baada ya kukutana naye Mlimani City. Tukale wote na kupata nafasi ya kufahamiana. Then nikamrudisha Chuo. Yupo hapo Chuo cha Ardhi. Last weekend akanambia yupo bored tu anatamani tupate muda wa kuwa pamoja.nikasema hewala baby unataka iweje akanambia niamue mimi...
  18. Analogia Malenga

    Hata nje kuna uhaba wa ajira, tukomae hapahapa

  19. Yoda

    Tusiukubali mradi wa Wachina wa Bandari ya Bagamoyo kwa sababu zozote zile. Utakuwa ni mtego utakaotunasa kama nchi

    Tuna sababu moja kubwa ya kuukata Mradi wa Wachina wa Bandari ya Bagamoyo nayo ni historia mbaya ya China kona mbalimbali za dunia walipotekeleza miradi ya aina hii au walipozikopesha nchi mikopo mikubwa ya miondombinu. Wamechukua bandari Sri Lanka, Pakistan, Australia na Djibouti kupitia...
  20. M

    Msemji wa Mtibwa Sugar Kifaru anawakilisha Wanamichezo halisi, ila Kaimu Kocha wao Barnabas anawakilisha Washamba wanaopatikana hata Yanga SC

    Kauli ya Msemaji Mtibwa Sugar.. " Sina Malalamiko au Lawama zozote kwa Kipigo hiki Kikubwa kutoka Simba SC kwani tusidanganyane kwa sasa Tanzania, Afrika Mashariki na hata Afrika hakuna Timu nzuri na ya Kiushandani na iliyoenea kila Idara kama Simba SC " Kauli ya Kaimu Kocha Barnabas.. "...
Back
Top Bottom