hata

Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Huu mchepuko siuachi hata mke wangu afanye nini

    Nimeona niweke bango kabisa na nikimaliza kuandika huu uzi namtumia link mke wangu kipenzi asome na ikiwezekana a-screenshot ili aache kunisumbua akikuta ninachat kwa furaha na huyu mchepuko (second lady). Iko hivi, nampenda sana mke wangu na anajua hilo ila ana yeye ana chembechembe za...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kujiunga jeshi isiwe sababu ya kufanya kazi za kutweza utu. Anachofanya mwanajeshi huyu ninaamini hata yeye hakipendi

    Nafahamu mwanajeshi ameapa kufa kwa ajili ya kulinda taifa lake. Lakn kamwe hakuapa kuwa hata kinyesi atakishika kwa mikono. Hakuapa kuwa hata mkojo atauzoa kwa mdomo. Hakuapa kuwa kwenye shughuli za uokoaji atatumia mikono yake kutafuta maiti kwenye tope. Serikali imenunua magari 270 ya...
  3. JamiiForums Tanzania BRELA ni kero kuanzia kufungua kampuni mpaka kwenye jina la biashara

    Kufungua kampuni ilikuwa kero miaka ya nyuma lakini naona kero imerudi licha ya kuwa kuna mfumo rahisi kabisa wa kusajili kampuni. Yaani business name inachukua hadi mwezi mmoja kama umejaza kila kitu sawa. Kuna Tabia ukikosea tu review inakuwa haraka kabisa na unaambiwa kurekebisha, lakini...
  4. JamiiForums Tanzania Katika historia hakujawahi kuwa na himaya, falme wala tawala ya Palestina, hata taifa la Palestina la sasa ni kwa huruma ya Israel

    1. Hapo kabla eneo lote lilikuwa koloni la Uingereza baada ya himaya ya Ottoman kushindwa vita ya dunia, ndipo uingereza akachora mipaka kuwe na Israel na Palestine, upande wa Israel hawakuona shida lakini hao wa kuitwa wapalestina walikataa mpango huu kwa kutaka ardhi yote iwe yao na ndio...
  5. JamiiForums Tanzania Kilichopo Manyara ni humanitarian crisis. Saidia familia hata moja na utazidishiwa zaidi

    Watu 50 labda zaidi wamefariki. Miundo mbinu haswa ile ya familia masikini imeharibika vibaya mno. Majeruhi wengi wapo hospitalini. Nyakati kama hizi Sadaka yako inaweza kubadilisha mustakabali wa maisha yako. Sadaka yako inaweza tumika kuwapa faraja masikini walioathirika na naamini Mungu...
  6. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa: Makamu wa Rais, Philip Mpango yuko nje kwa majukumu

    Kasim Majaliwa amewahakikishia Watanzania kuwa Makamu wa Rais Dkt Isdory Mpango ni mzima wa afya na yupo nje ya nchi kimajukumu. Waziri Mkuu amesema kuwa watanzaia waachane na ule mtandao unaosema maneno ya ajabuajabu na wasiwe wasiwasi wowote Kwa kuwa Makamu wa Rais Dk. Mpango ni mzima na...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya mechi zijazo za Yanga na wapi atakuwa anacheza

    Naomba anaeweza kuweka ratiba aiweke huku akizingitia kuonyesha ni wapi mechi husika zitachezwa kwa maana ya home and away. Kama ilivyo kwa timu nyingine, bila shaka zimebaki mechi ambapo mbili ni za nyumbani na mbili za ugenini. Nyumbani ni dhidi ya Medeame na CRB na ugenini ni dhidi ya Ahly...
  8. JamiiForums Tanzania Simu yangu nikipigiwa haioneshi jina la mpigaji hata option ya kupokea au kukata Simu siioni

    Wakuu, sielewi hii simu niliichezea vipi usiku wakati nimelala maana nililalia. Ila tatizo kubwa ni kuwa nikipigiwa huwa haioneshi jina/namba la mpigaji, pia haitokei option ya kupokea au kukata.. yaan zile alama za kijani na nyekundu. So wataalam wa setting niende sehemu gani nikaset vizuri...
  9. JamiiForums Tanzania Temeke: Mgawo mkali wa Umeme kuliko hata ule uliotangazwa, wanakata mchana na usiku hakuna ratiba

    Haieleweki sababu yake hasa ni nini , ukiuliza Wafanyakazi wa Tanesco hawana majibu ? bali wanasema kwamba wao wameelekezwa kukata tu. Tunafahamu kwamba Temeke mara zote inatajwa kuishi watu duni , lakini watu wake siyo duni kama Tanesco ilivyokaririshwa, wanazo akili na iko siku watalipa huu...
  10. JamiiForums Tanzania Naogopwa sana kazini, hata bosi wangu ananiogopa

    Hello! Kipindi naanza kazi kazini watu walisimama kupiga madili kwa kipindi cha mwaka mmoja hivi wakiusoma mchezo. Nilijua baadaye sana kuwa kulikuwa na madili yalikuwa yakifanyika lakini walisitisha wakihofia kuwa Mimi nimekuja kuwazoom. Kumbe Mimi nimeletwa na njaa zangu tu. Baadaye Mzee...
  11. JamiiForums Tanzania Viongozi washamba Yanga hawahitajiki. Tujikite kwenye mechi na Al Ahly

    Kwakweli dunia inakwenda kasi sana, Jana nimeona page ya Yanga ikihamasisha mashabiki kwenda kupokea Mgeni airport, basi nikajuwa ni mchezaji mpya kumbe eti ni msanii. Viongozi msilete masihara, mechi na Al Ahaly ni ngumu Kwahiyo tuache ujinga ujinga tujikite kwenye maandalizi ya mechi hii...
  12. JamiiForums Tanzania Netanyahu asema hamna chochote kitazuia mapigo, hata warejeshwe mateka wote

    Kwa kifupi, hili la kurejesha mateka ni namna tu ya kuwapa HAMAS fursa ya kupumua, ila mapumziko kamili ni akhera kule kwa mabikira, kipigo kiko pale pale. =================...
  13. JamiiForums Tanzania Umewahi kuwa na bidhaa zisizouzika ukabaki nazo kwa kushindwa kupata hata mteja wa bei ya hasara?

    Nakumbuka 2016 niliwahi kuwa na duka la vifaa vya computer, nikaona nijiongeze ongeze nikaweka mabegi ya laptop kwa mtaji wa milioni 1 nikiamini kwamba yatatoka fasta sana, yaani hayo mabegi yalikuwa hayauziki kabisa, nilitaka niyauze kwa bei ya hasara lakini wapi. Hadi nafungua duka lingine...
  14. JamiiForums Tanzania SIRI: Mwanamke ambae hajui Mapishi (Kupika) hafai, na hapaswi hata kuolewa

    UCHAMBUZI wa KUSTAWISHA JAMII. Baada ya kufanya tafiti, upembuzi na ulinganifu nikaja na jibu kwamba MWANAMKE ambae hajui Mapishi/Mapochopocho/ kukaangiza basi huyo Mwanamke hakufai kimbia. Ndio maana sisi Watanzania mtu akioa tunasema "Jamaa kavuta JIKO" eeh. Hiyo kauli ina maana kubwa sana...
  15. JamiiForums Tanzania VIDEO: Rais wa Sudan na Mwenyekiti mpya wa EAC alivyoshindwa hata kujua Marais wa Nchi nyingine

    Viongozi wa Mataifa ya Afrika wana shida gani jamani? Kwanini uendelee kung'ang'ania Madarakani wakati una hali mbaya kiafya? Kazi yenyewe ya stress sana bado ukomalie kubaki hapo badala ya kulea Wajukuu. Hapo anaonekana pamoja na kuwa na Karatasi ya Hotuba bado anashindwa kutaja majina ya...
  16. JamiiForums Tanzania Israel ina nini tusichokuwa nacho hata watuzidi katika kilimo?

    Angalia! ~ Nchi yetu ni kubwa mara kadhaa kuizidi. Tanzania ina kilomita za mraba 945,087 wakati Israel ina kilomita za mraba 22,145 tu. ~ Sehemu kubwa ya ardhi ya nchi yetu inafaa kwa kilimo wakati kwa Israeli, nusu ya ardhi ni jangwa. Ni asilimia ishirini tu ya ardhi yote ya Israel ndiyo...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Hizbullah: Utawala wa Israel haukuwa na budi kukubali usitishaji vita kwa kushindwa kukomboa hata mateka mmoja

    Nov 26, 2023 02:26 UTC Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema, utawala wa Kizayuni umelazimika kukubali usitishaji vita baada ya kushindwa kumkomboa hata mateka wake mmoja kupitia mashambulio ya ardhini dhidi ya Ukanda wa Gaza. Usitishaji vita wa siku nne kati ya utawala wa Kizayuni...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Taifa liache unafiki. Hivi uovu wa Gekul unafikia hata robo ya ule wa Makonda?

    Kama kweli tunajali maadili na haki za watu basi Makonda alipaswa kuwa anaozea Segerea kwa maovu makubwa aliyoyafanya. Lkn bado anapewa cheo huku mikono yake imejaa dhulma na damu nyingi za watu. Ushahidi uko wazi kabisa: Lissu kamtaja hadharani, mwandishi wa magazeti ya Mwanahalisi kafungua...
  19. JamiiForums Tanzania Hata kama unajua ni muhimu kujikumbushia nakuletea - basic driving test

    BASIC DRIVING TEST 1. Taja makundi ya alama za barabarani 2. Taja maeneo ambayo dereva haruhusiwi kuegesha gari 3. Chora mchoro wa alama ya onyo/Tahadhari ikionyesha watu wenye mtindio wa akili wapo eneo hili. 4. Taja matumizi ya taa za barabarani pia eleza kazi ya kila rangi ya...
  20. A

    JamiiForums Tanzania UDSM mnakosa hata Solar power karne hii?

    Mna vitivo vya Uhandisi, sayansi, ICT sheria ila mpaka zama hizi mnakosa Solar power project kusaidia wakati wa mgao? Mbona mnanunua V8/VX kila uchwao? Mnakwama wapi? **Kipi ninajivunia miaka 60 ya kuanzishwa kwenu?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…