Huyu Prophet Lovi ana nyota Kali sana halafu kwenye mambo ya upako msichukulie poa hata kidogo

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,120
27,126
Mitaani huwaga kuna kamsemo maarufu sana :

" Dada angu wewe:

1. Huna tako ( shape)
2. Huna sura
3. Huna kazi.
4. Hujasoma.
5.Huna biashara.
6.Huna danga.

7. Hupati psi psi mtaani.

Halafu tangazo la mganga linapita unajifanya hutaki kuchukua namba za simu..

Nimeiona hali hii kwenye comments za baadhi ya watanzania kuhusu Prophet Lovy.

Sasa ndugu yangu. Wewe 👇
1. Huna kazi.
2. Huna biashara.
3. Mauzo kwenye biashara yako yana matege.

4. Huna nyota.

5. Huna mali yoyote ya maana.

6. Huna network

7. Huna connection.

8. Alama pekee uliyo ileta duniani ni chale.

9. Utambulisho pekee unao weza kutambulishwa nao ni ule anaopewaga mtu mpaka afiwe " huyu ndio yule jamaa aliefiwa" .

10. Au utambulisho wa ugonjwa " yule jamaa mwenye pumu"

11. Au kipara " yule jamaa mwenye upara"

Kibaya zaidi huna " utakatifu" yani wewe ni mtenda dhambi kama watenda dhambi wengine.

Halafu anatokea mtu anatangazwa kwamba ana uwezo wa kukufungua kutoka kwenye vifungo ulivyo fungwa, badala ya kwenda usaidiwe, wewe unaanza tena kumponda. Alie waroga Tanzania ndo yule yule alie waroga wagalatia.

Ngoja nikufundishe kitu kimoja ndugu yangu. Ukitaka kufanikiwa kwenye mambo yako hasahasa mambo ya kiroho kumbuka kanuni hii hapa chini 👇

" FOLLOW THE LIGHT AND NOT WHO CARRY THE LIGHT".

FUATA MWANGA USIMFUATE ALIEBEBA MWANGA.

Nimekuwa Muumini wa kanuni hii kwa muda mrefu sana. Mpaka baadhi ya ndugu zangu wananishangaa kwa sababu Mimi pamoja na kutoka katika familia na ukoo wa kiislamu lakini sijajifunga kwenye kufuata tu mafunzo ya Prophet Muhammad Peace Be Upon Him. Ninasoma pia na kufuata mafundisho ya Yesu.

Pia ninajifunza habari za ,Budha, Talmud,mafundisho ya wahindu, mafundisho ya imani za kiafrika etc na kote huko ninafuata MWANGA.

Back to the Prophet Lovy.

Jamaa ana nyota Kali sana.

Kwa habari ya upako jamaa yupo vizuri sana pia wakuu.

Msiyachukulie powa Yale mafuta aliyo kuwa anayatoa jana kwenye kongamano.

Yapo very very powerful. Kwa wewe ambae una jijua una vifungo vya kichawi etc mafuta yake yangekufaa sana.

Halafu wachungaji wa kicongo msiwachukulie powa wapo vizuri sana kiroho.

Nenda South Africa pale fanya research kuhusu .makanisa yanayo hudumiwa na wachungaji wa kicongo waulize watu wanao sali kwenye makanisa hayo wakupe tathmini ya kinacho watokea kwenye maisha yao.

Ukiwa una sali kwenye kanisa la mchungaji wa kicongo wala uhitaji kwenda kwa mganga wa kienyeji. Upako wa mchungaji pekee unatosha. ( wengi wenu humu wakristu kwa waislamu huwaga mnaenda kwa waganga pia . Sasa ukienda kwenye kanisa la mchungaji mcongo huhitaji kwenda kwa mganga)

Prophet Lovy ana nyota Kali sana. Prophet Lovy ana upako mkali sana.

Ambao hamkwenda jana kwenye kongamano lake mmejipiga gani wenyewe. Mmekosa kitu kikubwa sana kwenye maisha yenu...

Usimnenee vibaya Mtumishi wa Mungu
 
Ni mganga kama waganga wengine
Ni tapeli kama matapeli wengine
Ni gambler kama gamblers wengine
Kwa ufupi ni mfanyabiashara
Anavuna ambacho hakupanda

Na serikali ipo kimya
Wajinga ndio waliwao

Kwa nini hawaendi kuwahubiria wagonjwa mahospitalini wapate kupona

Ujinga Umaskini na maradhi - shida inaanzia hapa.

Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa…,
… mtaambiwa Yesu yuko huku nanyi mtaamini….
 
Mafundisho potofu yasiyofaa kwa wanaofuata Nuru ya Yesu Kristo.

Hakuna mahala ambapo Mungu aliagiza uliamini NENO hata lukitoka kwa mwovu. Hata shetani alitumia Neno kumjaribu Eva na baadaye Yesu
 
Mitaani huwaga kuna kamsemo maarufu sana :

" Dada angu wewe:

1. Huna tako ( shape)
2. Huna sura
3. Huna kazi.
4. Hujasoma.
5.Huna biashara.
6.Huna danga.

7. Hupati psi psi mtaani.

Halafu tangazo la mganga linapita unajifanya hutaki kuchukua namba za simu..

Nimeiona hali hii kwenye comments za baadhi ya watanzania kuhusu Prophet Lovy.

Sasa ndugu yangu. Wewe 👇
1. Huna kazi.
2. Huna biashara.
3. Mauzo kwenye biashara yako yana matege.

4. Huna nyota.

5. Huna mali yoyote ya maana.

6. Huna network

7. Huna connection.

8. Alama pekee uliyo ileta duniani ni chale.

9. Utambulisho pekee unao weza kutambulishwa nao ni ule anaopewaga mtu mpaka afiwe " huyu ndio yule jamaa aliefiwa" .

10. Au utambulisho wa ugonjwa " yule jamaa mwenye pumu"

11. Au kipara " yule jamaa mwenye upara"

Kibaya zaidi huna " utakatifu" yani wewe ni mtenda dhambi kama watenda dhambi wengine.

Halafu anatokea mtu anatangazwa kwamba ana uwezo wa kukufungua kutoka kwenye vifungo ulivyo fungwa, badala ya kwenda usaidiwe, wewe unaanza tena kumponda. Alie waroga Tanzania ndo yule yule alie waroga wagalatia.

Ngoja nikufundishe kitu kimoja ndugu yangu. Ukitaka kufanikiwa kwenye mambo yako hasahasa mambo ya kiroho kumbuka kanuni hii hapa chini 👇

" FOLLOW THE LIGHT AND NOT WHO CARRY THE LIGHT".

FUATA MWANGA USIMFUATE ALIEBEBA MWANGA.

Nimekuwa Muumini wa kanuni hii kwa muda mrefu sana. Mpaka baadhi ya ndugu zangu wananishangaa kwa sababu Mimi pamoja na kutoka katika familia na ukoo wa kiislamu lakini sijajifunga kwenye kufuata tu mafunzo ya Prophet Muhammad Peace Be Upon Him. Ninasoma pia na kufuata mafundisho ya Yesu.

Pia ninajifunza habari za ,Budha, Talmud,mafundisho ya wahindu, mafundisho ya imani za kiafrika etc na kote huko ninafuata MWANGA.

Back to the Prophet Lovy.

Jamaa ana nyota Kali sana.

Kwa habari ya upako jamaa yupo vizuri sana pia wakuu.

Msiyachukulie powa Yale mafuta aliyo kuwa anayatoa jana kwenye kongamano.

Yapo very very powerful. Kwa wewe ambae una jijua una vifungo vya kichawi etc mafuta yake yangekufaa sana.

Halafu wachungaji wa kicongo msiwachukulie powa wapo vizuri sana kiroho.

Nenda South Africa pale fanya research kuhusu .makanisa yanayo hudumiwa na wachungaji wa kicongo waulize watu wanao sali kwenye makanisa hayo wakupe tathmini ya kinacho watokea kwenye maisha yao.

Ukiwa una sali kwenye kanisa la mchungaji wa kicongo wala uhitaji kwenda kwa mganga wa kienyeji. Upako wa mchungaji pekee unatosha. ( wengi wenu humu wakristu kwa waislamu huwaga mnaenda kwa waganga pia . Sasa ukienda kwenye kanisa la mchungaji mcongo huhitaji kwenda kwa mganga)

Prophet Lovy ana nyota Kali sana. Prophet Lovy ana upako mkali sana.

Ambao hamkwenda jana kwenye kongamano lake mmejipiga gani wenyewe. Mmekosa kitu kikubwa sana kwenye maisha yenu...

Usimnenee vibaya Mtumishi wa Mungu
CHAWA .

Nina imani wakikukulipa pesa ya kutosha utapeleka watoto wako shule za private utaachana na mawazo Yako ya kikuda .
 
Mafundisho potofu yasiyofaa kwa wanaofuata Nuru ya Yesu Kristo.

Hakuna mahala ambapo Mungu aliagiza uliamini NENO hata lukitoka kwa mwovu. Hata shetani alitumia Neno kumjaribu Eva na baadaye Yesu
Ni sahihi na hawa akina LIKUD Wote ni wa giza wanapigiana promo humu. Mzee hakuna kitu kisicho na maadili. Toka mwanzo, Makuhani na manabii walikuwa wana miiko. Miiko ilikuwepo toka namna ya uvaaji, unyoaji, ule na unywe nini n.k. Nipo kanisani nina miaka 17 sasa toka KKKT hadi sasa TAG. Nimeokoka toka 1990 nikiwa mzee wa Kanisa na waandamizi wa wachungaji katika makanisa hayo.

Nifahamuvyo, Watumishi Wa Mungu wana "dressing theology". Toka mwanzo wakati wa Ukuhani wa Haruni na wanawe, Mungu aliwaambia Musa awatengenezee watumishi Mavazi. Mungu anaweka katazo la kutokunywa Pombe hadi kuoa kwa watumishi wake. Katika Ezekiel Mungu anawaelekeza watumishi wake namna ya kunyoa nywele na hata Ndevu.

Kumbuka Mwanzoni Roho wa Mungu alikuwa anatembea na baadhi ya Watu wakiwemo Makuhani, Manabii na baadhi ya Wafalme. Hao wote aliwapa kanuni za namna ya kuishi na kuenenda. Eti sasa mnajiendea mtakavyo tu na kusingizia tuna uhuru katika Kristo na pia ndio utamaduni/Mila za Mtumishi kama nilivyoona jana na juzi mnaandika humu.

Katika Biblia hakuna sehemu Yesu alihubiri na kufundisha Mila. Ukristo sio Mila wa utamaduni wa Taifa lolote bali Ukristo ni mfumo wa Kimaisha ulio mbali na kujitenga na Mila na Tamaduni. Ukristo toka mwanzo ulijitenga na tamaduni za Uyahudi na ulijisimamia mwenyewe. Nifahamucho, hakuna Upako wa kimungu usio na utaratibu. Hizo ni blah blha na drama tu za Nabii wenu na hakuna mtu mwenye akili timamu ataenda kumuona au kumsikiliza huyo kijana.
 
Na Yesu alituambia tutaewtambua kwa matendo yao. Hakusema maneno maana kupitia maneno hata shetani anayo maneno ya sukari.

Kilicho kiovu hakiwezi kutoa mbegu njema.

Umenena sahihi mtumishi
 
Mitaani huwaga kuna kamsemo maarufu sana :

" Dada angu wewe:

1. Huna tako ( shape)
2. Huna sura
3. Huna kazi.
4. Hujasoma.
5.Huna biashara.
6.Huna danga.

7. Hupati psi psi mtaani.

Halafu tangazo la mganga linapita unajifanya hutaki kuchukua namba za simu..

Nimeiona hali hii kwenye comments za baadhi ya watanzania kuhusu Prophet Lovy.

Sasa ndugu yangu. Wewe 👇
1. Huna kazi.
2. Huna biashara.
3. Mauzo kwenye biashara yako yana matege.

4. Huna nyota.

5. Huna mali yoyote ya maana.

6. Huna network

7. Huna connection.

8. Alama pekee uliyo ileta duniani ni chale.

9. Utambulisho pekee unao weza kutambulishwa nao ni ule anaopewaga mtu mpaka afiwe " huyu ndio yule jamaa aliefiwa" .

10. Au utambulisho wa ugonjwa " yule jamaa mwenye pumu"

11. Au kipara " yule jamaa mwenye upara"

Kibaya zaidi huna " utakatifu" yani wewe ni mtenda dhambi kama watenda dhambi wengine.

Halafu anatokea mtu anatangazwa kwamba ana uwezo wa kukufungua kutoka kwenye vifungo ulivyo fungwa, badala ya kwenda usaidiwe, wewe unaanza tena kumponda. Alie waroga Tanzania ndo yule yule alie waroga wagalatia.

Ngoja nikufundishe kitu kimoja ndugu yangu. Ukitaka kufanikiwa kwenye mambo yako hasahasa mambo ya kiroho kumbuka kanuni hii hapa chini 👇

" FOLLOW THE LIGHT AND NOT WHO CARRY THE LIGHT".

FUATA MWANGA USIMFUATE ALIEBEBA MWANGA.

Nimekuwa Muumini wa kanuni hii kwa muda mrefu sana. Mpaka baadhi ya ndugu zangu wananishangaa kwa sababu Mimi pamoja na kutoka katika familia na ukoo wa kiislamu lakini sijajifunga kwenye kufuata tu mafunzo ya Prophet Muhammad Peace Be Upon Him. Ninasoma pia na kufuata mafundisho ya Yesu.

Pia ninajifunza habari za ,Budha, Talmud,mafundisho ya wahindu, mafundisho ya imani za kiafrika etc na kote huko ninafuata MWANGA.

Back to the Prophet Lovy.

Jamaa ana nyota Kali sana.

Kwa habari ya upako jamaa yupo vizuri sana pia wakuu.

Msiyachukulie powa Yale mafuta aliyo kuwa anayatoa jana kwenye kongamano.

Yapo very very powerful. Kwa wewe ambae una jijua una vifungo vya kichawi etc mafuta yake yangekufaa sana.

Halafu wachungaji wa kicongo msiwachukulie powa wapo vizuri sana kiroho.

Nenda South Africa pale fanya research kuhusu .makanisa yanayo hudumiwa na wachungaji wa kicongo waulize watu wanao sali kwenye makanisa hayo wakupe tathmini ya kinacho watokea kwenye maisha yao.

Ukiwa una sali kwenye kanisa la mchungaji wa kicongo wala uhitaji kwenda kwa mganga wa kienyeji. Upako wa mchungaji pekee unatosha. ( wengi wenu humu wakristu kwa waislamu huwaga mnaenda kwa waganga pia . Sasa ukienda kwenye kanisa la mchungaji mcongo huhitaji kwenda kwa mganga)

Prophet Lovy ana nyota Kali sana. Prophet Lovy ana upako mkali sana.

Ambao hamkwenda jana kwenye kongamano lake mmejipiga gani wenyewe. Mmekosa kitu kikubwa sana kwenye maisha yenu...

Usimnenee vibaya Mtumishi wa Mungu
Nyota Kali ni Ile iliyoonekana na mamajusi wa Mashariki.

Nyota ya Yesu Kristo, Mungu aliyekuja katika mwili wa mwanadamu.

Amen
 
FUATA MWANGA USIMFUATE ALIEBEBA MWANGA 🤣 🤣🤣
Ukiwa una sali kwenye kanisa la mchungaji wa kicongo wala uhitaji kwenda kwa mganga wa kienyeji. Upako wa mchungaji pekee unatosha. ( wengi wenu humu wakristu kwa waislamu huwaga mnaenda kwa waganga pia . Sasa ukienda kwenye kanisa la mchungaji mcongo huhitaji kwenda kwa mganga)
👆👆 Ila kama hausali kwenye kanisa la Mchungaji wa kikongo unahitaji kwanda kwa waganga wa kienyeji 😂🤣😂
 
Kumbe na mafuta aligawa🙄🙄🙄, alafu uko hapa unampigia debe... Sie tunaishi na neno bwana... Mafuta ya kina Liv sijui mwamposa bin suguye yenu msiejua neno la Kristo!
 
Mitaani huwaga kuna kamsemo maarufu sana :

" Dada angu wewe:

1. Huna tako ( shape)
2. Huna sura
3. Huna kazi.
4. Hujasoma.
5.Huna biashara.
6.Huna danga.

7. Hupati psi psi mtaani.

Halafu tangazo la mganga linapita unajifanya hutaki kuchukua namba za simu..

Nimeiona hali hii kwenye comments za baadhi ya watanzania kuhusu Prophet Lovy.

Sasa ndugu yangu. Wewe 👇
1. Huna kazi.
2. Huna biashara.
3. Mauzo kwenye biashara yako yana matege.

4. Huna nyota.

5. Huna mali yoyote ya maana.

6. Huna network

7. Huna connection.

8. Alama pekee uliyo ileta duniani ni chale.

9. Utambulisho pekee unao weza kutambulishwa nao ni ule anaopewaga mtu mpaka afiwe " huyu ndio yule jamaa aliefiwa" .

10. Au utambulisho wa ugonjwa " yule jamaa mwenye pumu"

11. Au kipara " yule jamaa mwenye upara"

Kibaya zaidi huna " utakatifu" yani wewe ni mtenda dhambi kama watenda dhambi wengine.

Halafu anatokea mtu anatangazwa kwamba ana uwezo wa kukufungua kutoka kwenye vifungo ulivyo fungwa, badala ya kwenda usaidiwe, wewe unaanza tena kumponda. Alie waroga Tanzania ndo yule yule alie waroga wagalatia.

Ngoja nikufundishe kitu kimoja ndugu yangu. Ukitaka kufanikiwa kwenye mambo yako hasahasa mambo ya kiroho kumbuka kanuni hii hapa chini 👇

" FOLLOW THE LIGHT AND NOT WHO CARRY THE LIGHT".

FUATA MWANGA USIMFUATE ALIEBEBA MWANGA.

Nimekuwa Muumini wa kanuni hii kwa muda mrefu sana. Mpaka baadhi ya ndugu zangu wananishangaa kwa sababu Mimi pamoja na kutoka katika familia na ukoo wa kiislamu lakini sijajifunga kwenye kufuata tu mafunzo ya Prophet Muhammad Peace Be Upon Him. Ninasoma pia na kufuata mafundisho ya Yesu.

Pia ninajifunza habari za ,Budha, Talmud,mafundisho ya wahindu, mafundisho ya imani za kiafrika etc na kote huko ninafuata MWANGA.

Back to the Prophet Lovy.

Jamaa ana nyota Kali sana.

Kwa habari ya upako jamaa yupo vizuri sana pia wakuu.

Msiyachukulie powa Yale mafuta aliyo kuwa anayatoa jana kwenye kongamano.

Yapo very very powerful. Kwa wewe ambae una jijua una vifungo vya kichawi etc mafuta yake yangekufaa sana.

Halafu wachungaji wa kicongo msiwachukulie powa wapo vizuri sana kiroho.

Nenda South Africa pale fanya research kuhusu .makanisa yanayo hudumiwa na wachungaji wa kicongo waulize watu wanao sali kwenye makanisa hayo wakupe tathmini ya kinacho watokea kwenye maisha yao.

Ukiwa una sali kwenye kanisa la mchungaji wa kicongo wala uhitaji kwenda kwa mganga wa kienyeji. Upako wa mchungaji pekee unatosha. ( wengi wenu humu wakristu kwa waislamu huwaga mnaenda kwa waganga pia . Sasa ukienda kwenye kanisa la mchungaji mcongo huhitaji kwenda kwa mganga)

Prophet Lovy ana nyota Kali sana. Prophet Lovy ana upako mkali sana.

Ambao hamkwenda jana kwenye kongamano lake mmejipiga gani wenyewe. Mmekosa kitu kikubwa sana kwenye maisha yenu...

Usimnenee vibaya Mtumishi wa Mungu
Siku za mwisho zimekaribia, idadi ya manabii wa uongo inaongezeka kwa kasi Sana. Badala ya kuhubiri ufalme wa Mungu, unahubiri utajiri, matako, madanga sijui na manini. Bure kabisa
 
Ufalme wa Mungu upo ndani yako. So kwenye biblia yako hakuna hilo andiko?
 
Back
Top Bottom