Huu mchepuko siuachi hata mke wangu afanye nini

Teslarati

JF-Expert Member
Nov 21, 2019
1,728
6,792
Nimeona niweke bango kabisa na nikimaliza kuandika huu uzi namtumia link mke wangu kipenzi asome na ikiwezekana a-screenshot ili aache kunisumbua akikuta ninachat kwa furaha na huyu mchepuko (second lady).

Iko hivi, nampenda sana mke wangu na anajua hilo ila ana yeye ana chembechembe za ufeminist na hadi hapa nmeshamnyoosha sana na ilibaki kidogo tu nimlipie ada akakae na hawa waalimu wao, makungwi akafundwe upya. Kuna muda anakaa vizuri kuna muda dish linayumba.

Ndipo nikaja kupata huyu mtoto wa kidigo, mtoto anapika chai unatamani unywe chupa nzima. Mtoto sex hata kama hujamuomba anajua namna ya kukuchokoza usimamishe angalau upige kimoja sababu sex inaimarisha uanaume na kuongeza confidence (ukiona mwanaume anachekacheka ujue aidha ni mnyetukaji au hapati sex ya kutosha).

Mtoto sura ya kawaida black tu lkn kwenye giza anavyolegea ni kama uji.

Mtoto ukiwa unachat au unaongea nae unajihisi kweli wewe ni mwanaume mwamba dunia nzima sababu anakunyenyekea, hana maneno ya kipuuzi, anajua kuomba samahani, ukiwa bize anajua anatulia hakusumbui.

Hv mtoto kama huyo mie ningekua Bakhresa ningeshindwa vp kumpa kiwanda chote cha ukwaju akimiliki yeye?

Sasa mke wangu huu mchepuko siuachi, kama utaondoka ww ondoka tu. Mm hapa ndo nimefika.

Na hapa mtoto mzuri ananiona nina type yupo anamassage mabega ila nmwambia asisome ninachoandika so kajifunga kitambaa machoni anasubiria nimalize nipige cha nne usiku huu.
 
ndipo nikaja kupata huyu mtoto wa kidigo, mtoto anapika chai unatamani unywe chupa nzima. Mtoto sex hata kama hujamuomba anajua namna ya kukuchokoza usimamishe angalau upige kimoja sababu sex inaimarisha uanaume na kuongeza confidence (ukiona mwanaume anachekacheka ujue aidha ni mnyetukaji au hapati sex ya kutosha).
Kwa limbwata la Mdigo huchomoi labda atake yeye
 
Nimeona niweke bango kabisa na nikimaliza kuandika huu uzi namtumia link mke wangu kipenzi asome na ikiwezekana a-screenshot ili aache kunisumbua akikuta ninachat kwa furaha na huyu mchepuko (second lady)

Iko hivi, nampenda sana mke wangu na anajua hilo ila ana yeye ana chembechembe za ufeminist na hadi hapa nmeshamnyoosha sana na ilibaki kidogo tu nimlipie ada akakae na hawa waalimu wao, makungwi akafundwe upya. Kuna muda anakaa vzr kuna muda dish linayumba

Ndipo nikaja kupata huyu mtoto wa kidigo, mtoto anapika chai unatamani unywe chupa nzima. Mtoto sex hata kama hujamuomba anajua namna ya kukuchokoza usimamishe angalau upige kimoja sababu sex inaimarisha uanaume na kuongeza confidence (ukiona mwanaume anachekacheka ujue aidha ni mnyetukaji au hapati sex ya kutosha).

Mtoto sura ya kawaida black tu lkn kwenye giza anavyolegea ni kama uji.

Mtoto ukiwa unachat au unaongea nae unajihisi kweli wewe ni mwanaume mwamba dunia nzima sababu anakunyenyekea, hana maneno ya kipuuzi, anajua kuomba samahani, ukiwa bize anajua anatulia hakusumbui.

Hv mtoto kama huyo mie ningekua Bakhresa ningeshindwa vp kumpa kiwanda chote cha ukwaju akimiliki yeye?

Sasa mke wangu huu mchepuko siuachi, kama utaondoka ww ondoka tu. Mm hapa ndo nimefika.

Na hapa mtoto mzuri ananiona nina type yupo anamassage mabega ila nmwambia asisome ninachoandika so kajifunga kitambaa machoni anasubiria nimalize nipige cha nne usiku huu.
Huo ndo uanaume.
Unafia kidondani ije mvua lije jua.

Tuachie wosia. Tunazika hapa hapa ama tunasafirisha?
 
Nimeona niweke bango kabisa na nikimaliza kuandika huu uzi namtumia link mke wangu kipenzi asome na ikiwezekana a-screenshot ili aache kunisumbua akikuta ninachat kwa furaha na huyu mchepuko (second lady)

Iko hivi, nampenda sana mke wangu na anajua hilo ila ana yeye ana chembechembe za ufeminist na hadi hapa nmeshamnyoosha sana na ilibaki kidogo tu nimlipie ada akakae na hawa waalimu wao, makungwi akafundwe upya. Kuna muda anakaa vzr kuna muda dish linayumba.

Ndipo nikaja kupata huyu mtoto wa kidigo, mtoto anapika chai unatamani unywe chupa nzima. Mtoto sex hata kama hujamuomba anajua namna ya kukuchokoza usimamishe angalau upige kimoja sababu sex inaimarisha uanaume na kuongeza confidence (ukiona mwanaume anachekacheka ujue aidha ni mnyetukaji au hapati sex ya kutosha).

Mtoto sura ya kawaida black tu lkn kwenye giza anavyolegea ni kama uji.

Mtoto ukiwa unachat au unaongea nae unajihisi kweli wewe ni mwanaume mwamba dunia nzima sababu anakunyenyekea, hana maneno ya kipuuzi, anajua kuomba samahani, ukiwa bize anajua anatulia hakusumbui.

Hv mtoto kama huyo mie ningekua Bakhresa ningeshindwa vp kumpa kiwanda chote cha ukwaju akimiliki yeye?

Sasa mke wangu huu mchepuko siuachi, kama utaondoka ww ondoka tu. Mm hapa ndo nimefika.

Na hapa mtoto mzuri ananiona nina type yupo anamassage mabega ila nmwambia asisome ninachoandika so kajifunga kitambaa machoni anasubiria nimalize nipige cha nne usiku huu.
kamanda all the best
 
Back
Top Bottom