Katika historia hakujawahi kuwa na himaya, falme wala tawala ya Palestina, hata taifa la Palestina la sasa ni kwa huruma ya Israel

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,034
1. Hapo kabla eneo lote lilikuwa koloni la Uingereza baada ya himaya ya Ottoman kushindwa vita ya dunia, ndipo uingereza akachora mipaka kuwe na Israel na Palestine, upande wa Israel hawakuona shida lakini hao wa kuitwa wapalestina walikataa mpango huu kwa kutaka ardhi yote iwe yao na ndio kinachofanya kuwe na vita mpaka leo hii, wapalestina wana kauli mbiu ya "from the river to the sea" ikimaanisha wanaotaka ardhi yote kutoka mto Yordan mpaka kwenye bahari iwe yao na kuwaua wa israel wote asibaki hata moja.

2. Kabla ya the Uingereza, kulikuwepo Himaya ya Ottoman, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

3. Kabla ya the Himaya ya Ottoman, kulikuwepo Tawala ya kiisalmu ya Mamluk wa Misri, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

4. Kabla ya the Tawala ya kiislam ya Mamluk wa Misri, kulikuwepo himaya ya Ayubid Arab-Kurdish, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

5. Kabla ya himaya ya Ayubid Arab-Kurdish, kulikuwepo falme ya kikristo ya Jerusalem, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

6. Kabla ya the falme ya kikristo ya Jerusalem, kulikuwepo himaya za Umayyad na Fatimid, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

7. Kabla ya the himaya za Umayyad na Fatimid, kulikuwepo himaya ya Byzantine, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

8. Kabla ya himaya ya Byzantine, kulikuwepo himaya ya Sassanid, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

9. Kabla ya the himaya ya Sassanid, kulikuwepo himaya ya Byzantine, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

10. Kabla ya the himaya ya Byzantine, kulikuwepo himaya ya waroma, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

11. Kabla ya the himaya ya waroma, kulikuwepo tawala ya Hasmonean, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

12. Kabla ya the tawala ya Hasmonean, kulikuwepo himaya ya Seleucid, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

13. Kabla himaya ya Seleucid, kulikuwepo himaya ya Alexander wa Mcedonia, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

14. Kabla ya the himaya ya Alexander wa Mcedonia, kulikuwepo himaya ya Persia, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

15. Kabla ya the himaya ya Persia, kulikuwepo himaya ya Babiloni, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

16. Kabla ya the himaya ya Babiloni, kulikuwepo falme za Israel na Judah, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

17. Kabla ya falme za Israel na Judah, kulikuwepo ufalme wa Israel, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

18. Kabla ya the ufalme wa Israel, ulikuwepo Muungano wa watoto 12 ya Yakobo ambao kila moja alikuwa na eneo lake na kuanzisha kabila lake, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

19. Kabla ya hapo kulikuwa na himaya ya Caanan iliyoanzishwa na Hamu aliekuwa mtoto wa Noah, Yakobo aliishi moja ya eneo ambalo likarithiwa na watoto wake 12 na baadae wakaungana kuwa nchi moja ya Israel,

NI HURUMA TU YA ISRAEL! Ndilo neno fupi linaloweza kuhitimisha uwepo wa Palestine hii ya sasa, hata pale nchi 5 za Kiarabu pamoja na Wapalestina walipoungana kumpiga Israel ili ardhi yote iwe ya Palestina. Israel aliwapiga wote ndani ya siku 6 na alikuwa na uwezo wa kuwatimua wapalestina ila ni huruma tu.
 
Wayahud ni waungwana sana,tena sana.imejen kuna wakati walikubali kugawana hiyo nchi na the so called wapalestina ila wapalestina wakakataa,wanataka nchi nzima.
I used to ask myself chuki ya Hitler kuua Wayahud aliitoa wapi!!! ndiyo nimekuja jua alishawishiwa na waislam kwa ghofu kuwa Wayahud watarudi mashariki ya kati.
 
Kwa hiyo wapalestina waende wapi? Wafe tu?
Ndio maana nimesema wa Israel wana huruma, hata pale nchi 5 za kiarabu pamoja na wapalestina walipoungana kumpiga israel ili ardhi yote iwe ya Palestina, Israel aliwapiga wote ndani ya siku 6 na alikuwa na uwezo wa kuwatimua wapalestina ila ni kwa huruma hakufanya hivyo.

NI HURUMA TU !!
 
1. Hapo kabla eneo lote lilikuwa koloni la Uingereza baada ya himaya ya Ottoman kushindwa vita ya dunia, ndipo uingereza akachora mipaka kuwe na Israel na Palestine, upande wa Israel hawakuona shida lakini hao wa kuitwa wapalestina walikataa mpango huu kwa kutaka ardhi yote iwe yao na ndio kinachofanya kuwe na vita mpaka leo hii, wapalestina wana kauli mbiu ya "from the river to the sea" ikimaanisha wanaotaka ardhi yote kutoka mto Yordan mpaka kwenye bahari iwe yao na kuwaua wa israel wote asibaki hata moja.

2. Kabla ya the Uingereza, kulikuwepo Himaya ya Ottoman, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

3. Kabla ya the Himaya ya Ottoman, kulikuwepo Tawala ya kiisalmu ya Mamluk wa Misri, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

4. Kabla ya the Tawala ya kiislam ya Mamluk wa Misri, kulikuwepo himaya ya Ayubid Arab-Kurdish, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

5. Kabla ya himaya ya Ayubid Arab-Kurdish, kulikuwepo falme ya kikristo ya Jerusalem, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

6. Kabla ya the falme ya kikristo ya Jerusalem, kulikuwepo himaya za Umayyad na Fatimid, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

7. Kabla ya the himaya za Umayyad na Fatimid, kulikuwepo himaya ya Byzantine, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

8. Kabla ya himaya ya Byzantine, there were the himaya ya Sassanid, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

9. Kabla ya the himaya ya Sassanid Sassanid, kulikuwepo himaya ya Byzantine, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

10. Kabla ya the himaya ya Byzantine, kulikuwepo himaya ya waroma, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

11. Kabla ya the himaya ya waroma, kulikuwepo tawala ya Hasmonean, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

12. Kabla ya the tawala ya Hasmonean, kulikuwepo Seleucid, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

13. Kabla ya the Seleucid empire, kulikuwepo himaya ya Alexander wa Mcedonia, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

14. Kabla ya the himaya ya Alexander wa Mcedonia, kulikuwepo himaya ya Persia, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

15. Kabla ya the himaya ya Persia, kulikuwepo himaya ya Babylon, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

16. Kabla ya the himaya ya Babylon, kulikuwepo falme za Israel na Judah, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

17. Kabla ya falme za Israel na Judah, kulikuwepo ufalme wa Israel, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

18. Kabla ya the ufalme wa Israel, kulikuwepo Muungano wa makabila 12 ya wayahudi, Hakukuwahi kuwa na Palestina.
Ni sawa na kusema hakukua na Tanganyika kabla ya mjerumani,utawala wa ottoman..walitawala nini!?..utakua mkoloni pahala pasipo nchi!?..kwa kiarabu Palestine ni falastin, wapalestine ni wafalastini,kiswahili kikatohoa na kuita wafilisti,Jordan ya Leo huko nyuma ilikua nchi gani!?
 
Ndio maana nimesema wa Israel wana huruma, hata pale nchi 5 za kiarabu pamoja na wapalestina walipoungana kumpiga israel ili ardhi yote iwe ya Palestina, Israel aliwapiga wote ndani ya siku 6 na alikuwa na uwezo wa kuwatimua wapalestina ila ni kwa huruma hakufanya hivyo.

NI HURUMA TU !!
Sawa(mi si mbobevu wa hayo mambo ya siasa),ni wazi kuna watu wawili,wapo tu eneo moja wanalogombania.
Swali la kizushi: kabla wapalestina walikuwa wapi?
 
Hata wakitaka kulipua majengo yanayorusha roketi zinazoenda kuwaua waisrael, wao huwa wanatoa notice ya mapema wanawapa watu muda hata lisaa watoke kabla ya kulipua, ni uungwana uliovuka mipaka.
Umevimbiwa propaganda za myahudi,wakati hata si wa Vita Israel iliwapa chini ya dk 5 watu watoke kwenye jengo la ghorofa 20,lililokua linatumika na vyombo vya habari na makazi
 
Ni sawa na kusema hakukua na Tanganyika kabla ya mjerumani,utawala wa ottoman..walitawala nini!?..utakua mkoloni pahala pasipo nchi!?..kwa kiarabu Palestine ni falastin, wapalestine ni wafalastini,kiswahili kikatohoa na kuita wafilisti,Jordan ya Leo huko nyuma ilikua nchi gani!?
Kabla ya ukoloni tulikuwa tunajitawala wenyewe, na leo hii tumeungana kwa pamoja kuwa na taifa moja kubwa.

Mpalestina hana historia ya utawala hapo anapopaita pake, yupo kwa huruma tu,
 
Ndio maana nimesema wa Israel wana huruma, hata pale nchi 5 za kiarabu pamoja na wapalestina walipoungana kumpiga israel ili ardhi yote iwe ya Palestina, Israel aliwapiga wote ndani ya siku 6 na alikuwa na uwezo wa kuwatimua wapalestina ila ni kwa huruma hakufanya hivyo.

NI HURUMA TU !!
Wewe punguani kweli watu miloni 1 unawapa dakika 5 kuhama kisha unapiga mabomu majengo yao na shule pamaja na hospital wameuwa watoto zaidi ya 6000 hapa ndiyo wanahuruma daaah mna mapenzi mabaya sana mnameza propaganda tu.
 
Hamas wameweka silaha za kurusha makombora kwenye jengo la makazi ya watu, silaha inaanza kurusha makombora yanayoua wa israel.

wa israel wakishambuliwa na makombora yanaoua raia wao huwa kuna mbadala upi zaidi ya kulipua jengo lenye silaha inayorusha roketi ?

Tena wanatoa notice kabisa kwamba watu watoke kabla ya kulipua, Hamas huwa wanatoa tahadhari wakianza kurusha roketi ?
 
Hamas wameweka silaha za kurusha makombora kwenye jengo la makazi ya watu, silaha inaanza kurusha makombora yanayoua watu.

Hapo kuna mbadala upi zaidi ya kulipua jengo lenye silaha inayorusha roketi zinazoua watu ?

Tena wanatoa notice kabisa kwamba watu watoke kabla ya kulipua, Hamas huwa wanatoa tahadhari wakianza kurusha roketi ?
Acha porojo na propaganda za kishoga weka ushahidi hizo nyumba ambazo Hamas wanaweka makombora.
Nakuuliza hao watoto 6000 wamekufa vipi?
 
Ndio maana nimesema wa Israel wana huruma, hata pale nchi 5 za kiarabu pamoja na wapalestina walipoungana kumpiga israel ili ardhi yote iwe ya Palestina, Israel aliwapiga wote ndani ya siku 6 na alikuwa na uwezo wa kuwatimua wapalestina ila ni kwa huruma hakufanya hivyo.

NI HURUMA TU !!
40,650 wounded
7,500 under rubble
15,207 murdered
  • 6,387 children
  • 75 journalists
  • 280 medical staff
  • 0 Hamas

Punguani kweli wee eti wana huruma waeleze wajinga wenzako huo upuuzi wako.
 
18. Kabla ya the ufalme wa Israel, kulikuwepo Muungano wa makabila 12 ya wayahudi, Hakukuwahi kuwa na Palestina.
Mbona umeishia hapo? Kabla ya makabila 12 kulikuwepo himaya za Canaan..... Israel naye mgeni tu hapo.

Ujinga mwingine ni kudhani palestina hawawezi kuitwa wapalestina kisa tu ilitawaliwa na British? Ni sawa useme Hakuna taifa liliitwa Tanganyika kabla ya 1960 maana kabla ya hapo kulikua na machifu tu ila hakukua na taifa? Does it justify nchi tuwape Wazungu?

Yes walitawaliwa na Ottoman et al ila katikati ya utawala huo palestinians waliishi hapo!! Au unataka kusema kipindi Ottoman empire ipo kulikua hakuna mkazi wowote?

Poor reasoning
 
ikimaanisha wanaotaka ardhi yote kutoka mto Yordan mpaka kwenye bahari iwe yao na kuwaua wa israel wote asibaki hata moja.
Wapi walisema wawaue waisrael wote? Walichopinga ni wazungu wanaletwa kwenye ardhi ya palestina alafu wapokonywe ardhi wazawa!! Ni sawa tu na sisi Tanzania tuletewe wagiriki eti wapewe nusu ya Tanzania? Mngekubali?
 
used to ask myself chuki ya Hitler kuua Wayahud aliitoa wapi!!! ndiyo nimekuja jua alishawishiwa na waislam kwa ghofu kuwa Wayahud watarudi mashariki ya kati.
Sio kweli, alishawishiwa na maandiko ya Martin Luther muanzilishi wa Lutheran church. Alichukia wayahudi kuliko hata waislam maana walikua wanatumia riba kuwanyonya wajerumani!! Walikua matapeli matapeli kama tunavyoona wahindi hapa kwetu.

Israel wana huruma sana. Hiyo gaza ingepigwa na sumu kuuwa magaidi yote na kizazi chao.

Ila sssa waendelee kuwamaliza kidogo kidogo mpaka wamalizike. Wanazaliana kama panya.

Kieneo kidogo watu 2.4m. wawauwe tu maana huko mbele wataendelea kulisumbua taifa teule.
 
1. Hapo kabla eneo lote lilikuwa koloni la Uingereza baada ya himaya ya Ottoman kushindwa vita ya dunia, ndipo uingereza akachora mipaka kuwe na Israel na Palestine, upande wa Israel hawakuona shida lakini hao wa kuitwa wapalestina walikataa mpango huu kwa kutaka ardhi yote iwe yao na ndio kinachofanya kuwe na vita mpaka leo hii, wapalestina wana kauli mbiu ya "from the river to the sea" ikimaanisha wanaotaka ardhi yote kutoka mto Yordan mpaka kwenye bahari iwe yao na kuwaua wa israel wote asibaki hata moja.

2. Kabla ya the Uingereza, kulikuwepo Himaya ya Ottoman, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

3. Kabla ya the Himaya ya Ottoman, kulikuwepo Tawala ya kiisalmu ya Mamluk wa Misri, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

4. Kabla ya the Tawala ya kiislam ya Mamluk wa Misri, kulikuwepo himaya ya Ayubid Arab-Kurdish, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

5. Kabla ya himaya ya Ayubid Arab-Kurdish, kulikuwepo falme ya kikristo ya Jerusalem, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

6. Kabla ya the falme ya kikristo ya Jerusalem, kulikuwepo himaya za Umayyad na Fatimid, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

7. Kabla ya the himaya za Umayyad na Fatimid, kulikuwepo himaya ya Byzantine, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

8. Kabla ya himaya ya Byzantine, kulikuwepo himaya ya Sassanid, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

9. Kabla ya the himaya ya Sassanid, kulikuwepo himaya ya Byzantine, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

10. Kabla ya the himaya ya Byzantine, kulikuwepo himaya ya waroma, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

11. Kabla ya the himaya ya waroma, kulikuwepo tawala ya Hasmonean, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

12. Kabla ya the tawala ya Hasmonean, kulikuwepo himaya ya Seleucid, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

13. Kabla himaya ya Seleucid, kulikuwepo himaya ya Alexander wa Mcedonia, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

14. Kabla ya the himaya ya Alexander wa Mcedonia, kulikuwepo himaya ya Persia, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

15. Kabla ya the himaya ya Persia, kulikuwepo himaya ya Babiloni, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

16. Kabla ya the himaya ya Babiloni, kulikuwepo falme za Israel na Judah, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

17. Kabla ya falme za Israel na Judah, kulikuwepo ufalme wa Israel, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

18. Kabla ya the ufalme wa Israel, kulikuwepo Muungano wa makabila 12 ya wayahudi, Hakukuwahi kuwa na Palestina.

NI HURUMA TU YA ISRAEL! Ndilo neno fupi linaloweza kuhitimisha uwepo wa Palestine hii ya sasa, hata pale nchi 5 za Kiarabu pamoja na Wapalestina walipoungana kumpiga Israel ili ardhi yote iwe ya Palestina.

Israel aliwapiga wote ndani ya siku 6 na alikuwa na uwezo wa kuwatimua wapalestina ila ni huruma tu.
Formula ya kupambana na adui ni kumfuta kabisa asiwepo. Ukimuacha atakuja kusumbua watoto wako na watoto wa watoto wako. Bahati mbaya watoto wako hawatakuwa na nguvu ya kupambana naye
 
Kabla ya kuja kwa waingereza, Wabelgiji, Waingereza, Wafaransa hakukuwa na Tanganyika, Kenya, Msumbiji wala Zambia. Kwa hiyo mleta mada unataka kutwambia kuwa watu wa hizo nchi hawakupaswa kudai uhuru kwa sababu kabla ya wakoloni kuziunda hazikuweko!.

Propaganda za kipuuzi kwelikweli mnaleta!.
 
Back
Top Bottom