hata

Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini matuta ya barabarani yanawekwa hata upande wa mwinuko?

    Naomba kupata elimu kwa wataalamu wa barabara TANROAD kwanini matuta yanayowekwa kudhibiti mwendo kwenye mteremko, yanawekwa hata upande wa pili wa kupanda mlima? Nina maana kuwa bumps kama hizo ziwekwe upande mmoja tu wa kuteremka, sasa kama unamuwekea mtu anayepanda mlima, unadhibiti mwendo...
  2. JamiiForums Tanzania Wana Simba SC Wenzangu naomba taratibu tulipitie lile Goli la Fred jana hivi Kweli hata Wewe ungekuwa Kipa usingeudaka au hata tu Kuupangua ule Mpira?

    Anyways nimeelewa kwani ili TFF na Serikali iongeze Mapato ni lazima Klabu Bingwa ziende Timu MbilI Kubwa ili Mapato yapatikane Makubwa lakini pia Kuchangamsha nchi kwani kama mwakani Timu ikiwa moja halafu tena ina DNA na CCM (Serikali) Mashabiki wa Timu nyingine watapata Hasira na Kuathiri...
  3. JamiiForums Tanzania Mungu wangu sio kiziwi bado naamini atasikia sala zangu na juhudi zangu hata nikiwa nimeondoka hapa duniani

    Naamini hapa duniani tunapitia mengi sana hasa Sisi watoto wa Kiume ila mimi imani yangu inaniambia tusikate tamaa ipo siku tu iwe duniani au mbinguni kwa imani zetu sisi watu wa Mungu tutafanikiwa tu. Tusikate tamaa tuzidi kupambana na kumuomba Mungu ipo siku yetu tu sisi wapambanaji ndugu...
  4. JamiiForums Tanzania Nafasi ya pili inatafutwa kwa kila namna hata kwa magoli ya offside

    Humu kulikuwa na wimbo wa waamuzi kuwabeba timu fulani ili kubeba ubingwa, lakini waimba wimbo huo hawaonekani pale timu yao ya Simba ikibebwa na waamuzi na kupata matokeo. Leo Simba imepata point 3 kwa goli la offside, wakati Freddy Michael funga funga anapokea mpira alikuwa katika eneo la...
  5. JamiiForums Tanzania Historia ya Tanganyika: Kubali Ukweli Hata Kama Ukweli Unapingwa na Dunia Nzima

    AMESEMA ALIYESEMA NITAWAFELISHA WANAFUNZI KWA HISTORIA ZANGU ZISIZO NA VYANZO VYA KUAMINIKA Lupweko said: Mzee utawafelisha watoto kwenye mitihani yao kwa historia zako ambazo hazina vyanzo vya kuaminika Lupweko, Mimi sina historia iliyo yangu. Historia ni kama ilivyotendwa na wahusika hao...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ni wazi kuwa wabunge wa CCM wapo kuitetea serikali na sio kuisimamia na kuikosoa. Mbunge Kigwagala kaweka wazi

    Soma alichoandika Mbunge wa Nzega, Hamis Kigwangala kwenye uzi aliokuwa kauandika akimshukuru Jenista Mhagama. Badala ya kuwalaumu TRA, Polisi, TPA na mamlaka zingine tungelaumu kwanza hawa wabunge waliopo bungeni kwa maslahi yao binafsi. Tunakushukuru sana Kigwangala kwa kuliweka wazi hili...
  7. JamiiForums Tanzania Kwani hii Nchi haina Lejendari hata mmoja wa soka apewe jina la uwanja?

    Viwanja vyote vya soka hapa kwetu vilivyopewa majina ya watu ni majina ya wanasiasa tu. Benjamini mkapa Ali Hassan Mwinyi Sokoine Amri Abeid Karume.....etc, nasasa uwanja unajengwa Arusha, hata mkandarasi hajaingia kazini tayari umeshaitwa Samia. Wanasiasa mbona mnakuwa wabinafsi hivo aisee...
  8. JamiiForums Tanzania KERO PreGE2025 Jimbo la Lupa-Chunya limetawaliwa na CCM tangu uhuru, halina barabara ya lami hata nusu kilometer

    Ukweli Tanganyika ni nchi ngumu. Jimbo la lupa lililopo chunya, halina hata nusu Kilomita ya Barbara ya Lami. Na Cha kufurahisha mbunge wake Yuko bungeni na anatarajia kurudi kuomba kura tena, ili aendelee kuwa mbunge wa Lupa. Ninashauri CCM itusaidie kumuondoa mbunge wa sasa, itupatie mtu...
  9. JamiiForums Tanzania Lissu haamini katika taasisi, hata CHADEMA haiamini, anataka kwenda peke yake aongoze taifa kama mifugo yake

    Lissu haamini katika taasisi, ndio maana hata sasa hataki kabisa kusikia maoni tofauti katika chama zaidi ya maoni yake. Chama hakijalipa mishahara muda mrefu, lakini Lissu kwa kufoka dhidi ya maoni ya wahasibu, amelazimisha apewe hela za mishahara za watumishi wa chama ili yeye na genge lake...
  10. JamiiForums Tanzania Ukitaka Amani Nyandua Pis Kali Kwa Ufumdi wa Kibaharia kiasi kwamba hata akileta nyodo kesho yake Usiwaze Jikatae Kiroho Safi

    Shalom, Dunia ni darasa lefu na linamaudhui yasiyo na mwisho. Pamoja na muonekano wangu wa kipedejee, na vipesa vya kawaida vya kujimudu . Sifa yangu kuu ni Ubahili wenye logic sana, sambamba na hilo pesa yangu inatoka kwa sababu maalumu naogopa sana kuishiwa au kuwa mufilisi. Sasa basi...
  11. JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe hawa Wadudu wa Arusha hata sio wenyewe

    Kuna mada nimeziona nyingi kuhusu wadudu. Ukweli ni kwamba wanaotrend sana kama wadudu kipindi hiki sio wadudu. Kwanza hao ni wakuja tu huyo kenyoyo sio wa Arusha ni wa Mto wa Mbu. Wadudu OG ni wanaitwa Wadudu wa Dampo na wengie waliitwa Watato wa Mbwa ni madogo ambao labda wengine kwa sasa...
  12. JamiiForums Tanzania Betting, michezo ya kubahatisha ni dhambi hata kama inaingizia nchi pesa nyingi

    Naliomba Bunge tunapofikia kujadili ustawi wa jamii michezo ya kubahatisha toeni sauti Taifa linaangamia, hata kama Mwigulu anaona ni sawa tu kwa kuwa pesa inaingia, faida ya pesa inayopatikana na madhara ya michezo hiyo kwa Taifa ni ni sawa na tone. Mwenyezi Mungu ameharamisha betting kwa...
  13. JamiiForums Tanzania Ni starehe ipi huwezi kuifanya hata ushawishiwe?

    Mm binafsi ni Kuvuta Ganja, kunyonya Mbususu au kula Gambe. Wewe Je?
  14. JamiiForums Tanzania Baada ya kuangalia hii movie sio siri Wajapan kwenye swala la Movie Production ni hatari sana, hata Hollywood wanafunikwa

    Muvi ya Godzilla minus one sio sound sio visual vyote ni ya viwango vya juu sana, Wajapan nimewavulia kofia. Rasmi ntaanza kufatilia na kuangali muvi zao Maana Hollywood siku hizi muvi zao zimejaa uchoko na content za ajabu ajabu tu. Naombeni mnitajie muvi Kali na nzuri zilizoandaliwa Japan...
  15. JamiiForums Tanzania Nikiambiwa huyu ndiyo Profesa hasa ambaye sina Shaka nae na hata Kichwani yuko vizuri nitakubali kwa 100%, kuliko Maprofesa wengi Uchwara tulionao

    Mtaalamu na mbobezi wa masuala ya sheria, Profesa Abdallah Safari amefichua siri ya kujiweka kando na shughuli za kisiasa badala yake ameamua kukitumia ipasavyo kipawa chake cha utunzi wa vitabu. Profesa Safari aliyewahi kuwa kada na mshauri wa masuala muhimu ya kisheria wa Chama cha Wananchi...
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hii Serikali inayosifiwa kwenye mabango nchi nzima nini hasa dhumuni lake?

    "Siku mkisikia wazungu wananisifu tambueni nimewasaliti" ni maneno ya Samora Machel kwa wananchi wake. Tuje hapa kwetu sasa. Hii serikali inayosifiwa kwenye mabango nchi nzima Nini hasa dhumuni lake?. Kwanini imekimbilia kwenye mabango kujitangaza na si kuacha kazi ijitangaze yenyewe? Ukweli ni...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Nimefika safari yangu, wife hajaniuliza hata kama nimefika salama

    Ofcoz tulikuwa na kamgogoro flani wakati naondoka. Lakini ni masaa 14 toka nifike in my destination ila wife hata hajanipia kunijulia hali ila whatsapp yuko mudo wote namuona online. Nifanyaje wakubwa?
  18. JamiiForums Tanzania Hata iweje tutalipenda taifa la Israel (taifa teule)

    Kuna Siri kubwa Sana Kati ya taifa la Israel na Ukristo. Ukweli ni kwamba wa Israel hawaupendi Ukristo na wanamkana Yesu Kristo. Wamekengeuka. Ni ukweli usiopingika kwamba Ushoga Israel umeshamiri Sana. Ni kweli wa Israel wanawanyanyasa Sana wa kristo. Wanafanya hayo kwa kutojuwa Pamoja na...
  19. JamiiForums Tanzania Watunza mazingira nao ni "watumishi" wa Mungu hata kama hawaamini katika Mungu

    Nilikuwa nikiwachukulia viongozi wa dini kama watu waliofilisika mawazo wanapoongelea masuala ya tabia nchi. Sikuona sababu ya wao kuongelea masuala hayo wakati kuna wataalam wanaohusika nayo. Ni mpaka nilipoelewa Andiko la Mwanzo 7: 1 - 5 kwa namna nyingine ndipo "nilipowaelewa" Duniani kote...
  20. JamiiForums Tanzania Hata kama huna vyote haujanyimwa vyote

    Nyoka hana miguu wala mikono, lakini halali njaa, na anatumia sumu yake kama silaha ya kujihami dhidi ya maadui zake! Kinyonga hana uwezo wa kupambana na viumbe wakubwa, lakini kwa uwezo aliojaliwa wa kujibadilisha rangi humfanya asionekane kirahisi na viumbe hatarishi kwake Tembo ana nguvu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…