Sasa ni rasmi ndoa haina thamani tena hata mama mchungaji?

Baba jayaron

JF-Expert Member
Jun 29, 2015
4,007
5,446
Aiseeh wanajamvi habari zenu

Jana niliachwa hoi na kitu kilichonitokea yaan Imani imekua kitu cha kuchezewa na watu waliopewa dhamana.

Jana nilishinda mitaa ya Leaders Club nikipoteza mawazo na washkaji mpaka mida ya saa sita usiku nikarudi zangu kwetu huku Country side Ilala vijijini.

Wakati napanda kwa bed nacheki simu nakutana na msg kutoka kwa mama mchungaji inasema "mambo baba jayaron" ofcoz alitumia jina langu la ujanani coz ananifahamu since i was young boy mwanzoni mwa miaka yangu ya 20's au kushuka chini kidogo.

Hiyo text iliingia saa sita kasoro tano nikaona mama mchungaji bado yupo online ngoja nireply tukaanza kuchat sasa.

Nikirudi nyuma kidogo ya wakati tulipokua at one church kalikua ni kabinti kana mpenda saana Mungu na mimi kipindi icho nilikua naanza kujuajua videmu nikawa namfukuzia akawa ananichomolea kwakua kalikua bado yaani ka bikra... so nikajichanganya na mademu wengine kakanichukia ila baadae niliskia kalishikwa na mapepo baada ya kujichanganya kwenye mgegedo kakaombewa kika settle mi ndo nkazidi kukaogopa"

Kuhusu mchungaji, mume wake ni kijana tuliyekua naye wote kanisa though he is older than me kwa miaka notless than 7 may be... we call each other brothers na tunaheshimiana saana.

Brother after being broken na piss moja yenye shep hatari ya kipare (piss ya kipare ilidai bro amepooza saana na anahitaji mwanaume aliyechangamka akajamp na playerboy mmoja hapo church).

Mchungaji ikabidi ahamie kwa mama mchungaji akiamini ni bint mdogo ametulia hana makundi na huvaa kwa heshima saana. Akamuoa maisha yakaendelea.....

So katika kuchat akataka kujua if nimerudiana na mke wangu nikamwambia not na haiwezekani akantania pengine wife kanikimbia sababu sina show kali yaani nina moto mdogo na kwamba na yeye angenikimbia ka angenikubali kipindi kile.

Nikaona dharau hizi nikamwambia nnamoto ambao hata yeye anaulilia mpaka sasa na hata yeye isingekua kumheshimu brother an am not dealing na wake za watu ningemuonesha namna wenzake wakotayri kushare na wenzao kwa moto nnaowapa... mwisho wasiku akadai anahitaji uo moto na namna anahamu nifanye mchakato nimtumie nauli aje auone huo moto.... aiseeh nilipagawa na kuhamaki saaana kimoyo moyo ikabidi niishie hapo nilale usingizi wa mang'amng'am...

Sasa kama wake za wachungaji nao si waaminifu, tena wenye kushauri na kuombea watu sasa tutafanyaje???

Wazee wa kataa ndoa tutawashauri nini?

Eti kina mama, dada na mabinti mnataka nini semeni tujue namna ya kuwatuliza?
 
Shetani uwatumia sana mama wa chungaji kupitia roho za uzinzi kulivuruga kanisa.

Katoliki hawakuwa wajinga kutoruhusu mapadre kuoa,na siku wakiruhusu tu kanisa lazma lisambaratike kama makanisa ya waliooa.

Huwezi zozana na mkeo usiku kucha then asubuhi uingie kuhubiri.
 
Back
Top Bottom