Hata mchungaji wangu simuamini

Nesi mkunga

JF-Expert Member
Nov 28, 2022
701
1,840
Kwenye safari ya kwenda mbinguni, hata mchungaji wangu simuamini.

Simuamini kila mtu anayesema BWANA BWANA BWANA. Ishu ya kwenda mbinguni ipo ndefu sana.

Nawakumbusheni, hao wachungaji, mashehe ni binadamu kama wewe, wanakwenda chooni, wanakula, wanakasirika, wanafanya dhambi na kadhalika.

Usimchukulie mtumishi wa Mungu ni malaika. Watu wakishikwa kwa skendo za uzinzi, wizi, fitina ama uchawi, kwangu kawaida tu.

Muimba kwaya naye mwizi, mzee wa kanisa naye mchawi. Niliyaona haya yote so sishangai sana.

Halafu mnashindwaga kujua kitu kimoja.

Kuna nguvu za Mungu na nguvu za giza.

Mungu anakuponya, naye shetani anakuponya, ila kukuponya kwake kwa muda tu.

Mchungaji anakuombea, pepo linatoka, naye mganga anakuagua jini linatoka.

Braza.

Muamini Mungu wako.

Usifikiri mchungaji wako ni Mungu ama malaika.

Kuna siku utaamini ukisikia mtumishi wako anakula kondoo safi kabisa.

Safari ya mbinguni yako peke yako.

Mimi kumwamini mchungaji yeyote niliacha tangu nilipoanza kufuatilia haya mambo kiundani.

Aya mkaangalie series ya 30 COINS mjifunze kwa undani kuhusu kanisa, shetani anavyolitumia kufanikisha mambo yake na kuua watu.
 
Wanawake watakuja kukutafuna shauri yako. Mimi karibia wanimeze kuhusu kashfa ya MPOPO aliyetangulia mbele za haki
 
Huu ni ukweli mtupu kabisa.

Ni mwaka jana mwezi wa 11, nimetoka kugundua mtu niliyemwamini akiwa ni Mchungaji, alikuwa akipiga cm ataniomba Hela, Ile Hela sijui anaipeleka Kwa wachawi ama Yeye ni mchawi, lakini kuna uharibifu ulikuwa unatokea kwenye shughuli zangu mara tu baada ya kumtumia Hela.

Na nikikaa muda mrefu bila kumpigia simu ilikuwa najiskia vibaya, kuna Hali ilikuwa inanitokea.

Nilimweleza ukweli, na hakujibu, na pia nilijua kuwa Huwa huyo Mchungaji Huwa anavuta Sigara, na nilimwambia, na ni wa Kanisa la kilokole, na nimeshawajua wawili zaidi ukimuacha Yeye...

Kwa hivyo ni muhimu kufuata BIBLIA TAKATIFU na kuacha kabisa kufuata akili za Viongozi japo wachaMungu wapo ila ni wavhache...
 
Ni vizuri Ukawa Muombaji Mwenyewe watu wengi wanadhani Mungu anawasikiliza wachungaji tu na vinywa VYAO unasikia mtu anampigia mchungaji simu " baba mchungaji niombee"

Sasa Mungu angekuwa anasikiliza sauti za wachungaji tu BASI MIDOMO WANGEKUWA NAYO WACHUNGAJI TU

KUMBUKA NDIO MAANA KILA MTU KAPEWA MDOMO WAKE ILI UOMBE USIKILIZWE.

(LIBARIKIWE JINA LA YESU KRISTO MILELE)
 
Kwenye safari ya kwenda mbinguni, hata mchungaji wangu simuamini.

Simuamini kila mtu anayesema BWANA BWANA BWANA. Ishu ya kwenda mbinguni ipo ndefu sana.

Nawakumbusheni, hao wachungaji, mashehe ni binadamu kama wewe, wanakwenda chooni, wanakula, wanakasirika, wanafanya dhambi na kadhalika.

Usimchukulie mtumishi wa Mungu ni malaika. Watu wakishikwa kwa skendo za uzinzi, wizi, fitina ama uchawi, kwangu kawaida tu.

Muimba kwaya naye mwizi, mzee wa kanisa naye mchawi. Niliyaona haya yote so sishangai sana.

Halafu mnashindwaga kujua kitu kimoja.

Kuna nguvu za Mungu na nguvu za giza.

Mungu anakuponya, naye shetani anakuponya, ila kukuponya kwake kwa muda tu.

Mchungaji anakuombea, pepo linatoka, naye mganga anakuagua jini linatoka.

Braza.

Muamini Mungu wako.

Usifikiri mchungaji wako ni Mungu ama malaika.

Kuna siku utaamini ukisikia mtumishi wako anakula kondoo safi kabisa.

Safari ya mbinguni yako peke yako.

Mimi kumwamini mchungaji yeyote niliacha tangu nilipoanza kufuatilia haya mambo kiundani.

Aya mkaangalie series ya 30 COINS mjifunze kwa undani kuhusu kanisa, shetani anavyolitumia kufanikisha mambo yake na kuua watu.
Mwenyewe pia hupaswi kujiamini 100% maana overconfidence na low confidence ni janga kwa Binadamu yeyote.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Kwenye safari ya kwenda mbinguni, hata mchungaji wangu simuamini.

Simuamini kila mtu anayesema BWANA BWANA BWANA. Ishu ya kwenda mbinguni ipo ndefu sana.

Nawakumbusheni, hao wachungaji, mashehe ni binadamu kama wewe, wanakwenda chooni, wanakula, wanakasirika, wanafanya dhambi na kadhalika.

Usimchukulie mtumishi wa Mungu ni malaika. Watu wakishikwa kwa skendo za uzinzi, wizi, fitina ama uchawi, kwangu kawaida tu.

Muimba kwaya naye mwizi, mzee wa kanisa naye mchawi. Niliyaona haya yote so sishangai sana.

Halafu mnashindwaga kujua kitu kimoja.

Kuna nguvu za Mungu na nguvu za giza.

Mungu anakuponya, naye shetani anakuponya, ila kukuponya kwake kwa muda tu.

Mchungaji anakuombea, pepo linatoka, naye mganga anakuagua jini linatoka.

Braza.

Muamini Mungu wako.

Usifikiri mchungaji wako ni Mungu ama malaika.

Kuna siku utaamini ukisikia mtumishi wako anakula kondoo safi kabisa.

Safari ya mbinguni yako peke yako.

Mimi kumwamini mchungaji yeyote niliacha tangu nilipoanza kufuatilia haya mambo kiundani.

Aya mkaangalie series ya 30 COINS mjifunze kwa undani kuhusu kanisa, shetani anavyolitumia kufanikisha mambo yake na kuua watu.
Ati mtu anakwenda kuungama mbele ya bnadamu mwenie?? Seriously
 
Back
Top Bottom