Attitude ya Harmonize yafikisha views Million 3 ndani ya masaa 27

ze jj

JF-Expert Member
Aug 20, 2012
485
571
Wimbo wa attitude wa Harmonize yafikisha views million 3 ndani ya masaa 27 you tube. Hii ni record ya aina yake inawekwa na Harmonize. Kama anatania vile lakini ndio anachukua kijiti Cha king of bongofleva kwasasa. Tumsuport jeshi ili tupate kuongeza international artist from Tanzania.
 
Duh! Naona kichapo wanachotembeza Konde Gang kwa Wasafi sio cha nchi hii

Hizi ndo ngoma zinazo trend Youtube kwa Tz. WCB wanatafutwa kwa tochi
20210425_073149.jpg
 
Duh! Naona kichapo wanachotembeza Konde Gang kwa Wasafi sio cha nchi hii

Hizi ndo ngoma zinazo trend Youtube kwa Tz. WCB wanatafutwa kwa tochiView attachment 1763180
Mnachekesha sana sana. Mimi sio mpenzi wa nyimbo za kigogo. Lakini leo nimetazama mwenendo wa YouTube. Nimekuta winbo unao seems umeshuka baada ya watendaji wa YouTube kupunguza watazamaji waliohurudia mara nyingi. Na kuwabakisha kwa wale walio tazama maramoja tu.
 
Back
Top Bottom