Mimi nimeona nisiwe mnafki huyu mmakonde akitulia huwa anafanya unyama Sana,
tangu asubuhi wimbo naurudia rudia tu.
Japo marioo naye hajapoa lakini nachelea kusema harmonize kamfunika marioo Sana mule.
Hii ni moja ya collabo bora Sana maana imejumuisha vichwa viwili na wala sio vilaza..
Kwa...
Koh koh koh, yooooo jeshiiiiiiii , views for everibadeee
Cha ajabu jamaa hajali kabisa na anajiona tembo, kapost kwenye page yake kujipongeza huku akila mafegi kho!! Kho!! Kho!!
Views milioni 1.3 hizo ndani ya sekunde 30😳😳 ..... Koh koh koh, Konde gang mziki umewashinda kihivyo mpaka mnunue...
Kama ilivyo kawaida, kwenye maisha, kila mtu ana nafasi au zamu yake ya kung’ara na kutaradadi. Ndivyo ilivyo katika maisha ya kila mtu haijalishi taaluma ama kitivo.
Katika ukanda wa Afrika mashariki, tasnia ya Sanaa ndio inaendelea kukua kila uchao, huku wasanii wapya wakikaribishwa katika...
Huyu konde boy alimkubali sana JPM kama watanzania wengi walivyomkubali hadi akaamua kuchora bonge la tatoo mguuni
Konde boy sio msaliti kama vijana wengi walianza kumnanga JPM alipofariki .
Hii picha alipiga juzi kwenye Tuzo za kilimanjaro, ambapo alichukia Tuzo tatu
USSR
Ahlan wa Sahlan
Katika kuperuzi mtandaoni nimekutana na habari zinazotrend zinazomuhusu mwanamuziki Harmonize aka Bakhresa kuwa anapigana juu chini ili aweze kurudiana na muigizaji Kajala.
Kwa haraka haraka mtu anaweza kusema kuwa Harmonize anatafuta kiki ili atrend mitandaoni ila kwa jicho la...
Usiku wa jana kijana Harmonize kuna video zilisambaa na picha akionyesha kumsujudia Madam Ritha angalia hiyo picha hapo
Chanzo cha kumuabudu mwanadamu mwenzake anasema eti Madam Ritha baada ya kumkataa bongo star search ndio amemfanya afike hapo alipo
Kwa sasa hata mziki wake amekuwa hana...
Msanii wa Bongo Flava, Harmonize ameandika kupitia mtandao wake wa instagram sifa za Bakhresa na kusema Bakhresa ni mchapa kazi na hachagui biashara yoyote na kumsifia zaidi kwa kusema hana hulka ya kutembea na wafanyakazi.
Msanii huyo aliandika ujumbe mrefu wa kuelezea maana ya wimbo wake...
Mzee wa kuahirisha matukio
Kaanza Konde Mgahawa sijui uliishia wapi, mwaka juzi baada ya kuzindua Afro East Mlimani City, akasema mwezi wa tano 2020 atafanya show taifa siku ikafika kimya, akaja tena na idea ya kufanya show siku tatu mfululizo mwezi wa 11, 2020 huku akipewa support na EFM siku...
Naam,hayawi hayawi yaweza kuwa.
Katika suala la mshikamano katika jambo Fulani basi tofauti huwekwa pembeni na kuungana pamoja kutekeleza Hilo jambo kilolo mbele yenu.
Tangu taarifa za kuumwa kwa legend P Jay zitoke nimeshuhudia maelfu ya watu wameguswa mno na taarifa hizo mpaka kufikia hatua...
Harmonize ameanza kuipigia promo show yake ambayo inafanyika mnamo wa tarehe 5 March, katika matangazo hayo amewa-list wasanii wengi wa nje na wa ndani, ila Jux na Darrasa wamem-maindi baada ya kuyaweka majina yao bila ya kuongea na management zao.
Mimi ni shabiki sugu sana wa muziki haswa Bongofleva.Nilianza kuelewa muziki toka Niko mtoto Sana.
Lakini toka nimeanza kufuatilia muziki kamwe sijawahi ona msanii mwenye sauti nzuri na iliyo tamu kupitiliza Kama ya Cheed wa Kondegang.Kiukweli huyu mwana kajaliwa na sauti ya kipekee ambayo Ni...
Bado anaendelea kutoa video akiwa-tag wababe wa muziki wa bongo WCB ili iwe rahisi kuwafikia watu wengi.
Kiukweli kufanya muziki bongo bila support ya WCB hauwezi kutoboa.
Nimetokea kuvutiwa/kunogewa sana na hii style mpya ya Harmonize ya kukohoa kohoa kwenye beat wakati akiwa anaimba, kweli huyu jamaa ni teacher kama anavojiita.
Kudos kwa hilo.
Zikiwa zimebaki siku chache kufanyika kwa tamasha la Afro Vasha nchini Kenya, huku wasanii kutoka Tanzania Alikiba na Harmonize wakiwa kwenye orodha ya wasanii watakotumbuiza siku ya tarehe 11 na 12, mchekeshaji Eric Omondi amewaomba mashabiki kutohudhuria kwakile anachodai kwamba wanamuziki wa...
Mimi binafsi ni binadamu ambaye nikifika mwisho au nikisema inatosha, jua ama zako au zangu. Hakuna suluhu. Tafuta chaka lako la kujificha.
Moja ya sifa za msanii King Kiba ni kuhimili mikikimikiki. Ni kuhimili nyakati ngumu na kukimbilia kusema kwa mama yake.
Lakini ukweli msanii Harmonize...
Ugomvi kati ya mastaa wa bongo kutoka Tanzania, Diamond Platnumz,Harmonize na Alikiba umezidi kuongeza baada ya Harmonize kufichua mambo kadha wa kadha hivi majuzi.
Ni ugomvi ambao umeshuudia na wengi pamoja na mashabiki wao, huku mashabiki wao wakiegemea upande waupendao na kuchukia baadhi ya...
Baba mzazi ya Diamond Platnumz, Mzee Abdul Juma ametoa wito kwa mwanawe kuelewana na mwenzake wa zamani Rajab Abdul Kahali almaarufu kama Harmonize.
Alipokuwa kwenye mahojiano na Mbengo TV hivi majuzi, mzee Abdul alimsihi Diamond ashiriki kikao na Harmonize wazungumzie tofauti zao na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.