Harmonize usitumie tena hili neno

lulu za uru

JF-Expert Member
Aug 7, 2015
1,638
2,000
Nawasalimu kwa jina La JMT, Harmonize kiswahili ni lugha tajiri sana hususani kwa watu wenye mahusiano ya kunanihii, mmeshaelewa kila wimbo Harmonize lazima kumuita mpenzi wake baby, kila nyimbo baby baby baby.. Inabore sana.

Hii inaua ubunifu wako mbona mpenzi lina majina mengi kama mahabuba,barafu wa moyo, kichuna changu, laaziz, mpenzi, nyonga mkalia ini, uwa langu, mengine kwa kimasai Darling, honey, sweetheart, my love, kuna kina armor kina sherii nk nk sasa wewe ni baby baby baby aisee end it!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom