HIGHSCHOOL ALBUM! album inayoenda kumtengenezea Harmonize fanbase nje ya Tanzania. Kwa bongo kamaliza .

ze jj

JF-Expert Member
Aug 20, 2012
485
571
Ukiangalia mikakati ya Harmonize baada ya kutoka WCB ...

Utagundua alipunguza Sana Kwanza safari na collaboration za nje. Sababu ilikuwa kutengeneza fanbase bongo Kwanza. Pia kuhakikisha kondegang inatambulika bongo vizuri. Kwakweli kwa hilo kafanikiwa. Kwa Sasa ukipita mitaani hakuna asiyetambua uwepo wa lable inaitwa kondegang. Inafact kwa Sasa ndiyo lable kubwa ikitoka WCB . Aliimba distrack hainshtuii, hjanikomoa, na jeshiiiii ili fanbase watambue kabisa yeye na WCB Sasa mbalimbali. Sasa ndo muda wa kuanza kufanya MUZIKI.

Highschool album ukiiskiliza utaelewa kwanini diamond alimpenda Harmonize. Utaelewa kwanini he was firstborn pale. Utaelewa kwanini kwangaru ya Harmonize ndo wimbo uliohusisha wazawa unaviews wengi zaidi. Kila mbinu aliyonayo diamond Harmonize anaijua na Hilo diamond anajua. Ukiona mpaka diamond anakimbia South Africa kutengeneza Kiki na watoto wake ujue anatambua mbele Kuna Vita ngumu. Mbinu zote alimpa Harmonize na Harmonize anazimodfy. Ukifatlia Instagram kwa Sasa habari zinazoshtua ni za Harmonize.

Vita ni Kali Sana... Maana WCB hawaamini wanachokiona.
 
Hamna kitu hapo ...... Aendelee tu kudemka. Mond atabaki kuwa mondi tu.
 
Ukiangalia mikakati ya Harmonize baada ya kutoka WCB ... Utagundua alipunguza Sana Kwanza safari na collaboration za nje. Sababu ilikuwa kutengeneza fanbase bongo Kwanza. Pia kuhakikisha kondegang inatambulika bongo vizuri. Kwakweli kwa hilo kafanikiwa. Kwa Sasa ukipita mitaani hakuna asiyetambua uwepo wa lable inaitwa kondegang. Inafact kwa Sasa ndiyo lable kubwa ikitoka WCB . Aliimba distrack hainshtuii, hjanikomoa, na jeshiiiii ili fanbase watambue kabisa yeye na WCB Sasa mbalimbali. Sasa ndo muda wa kuanza kufanya MUZIKI. Highschool album ukiiskiliza utaelewa kwanini diamond alimpenda Harmonize. Utaelewa kwanini he was firstborn pale. Utaelewa kwanini kwangaru ya Harmonize ndo wimbo uliohusisha wazawa unaviews wengi zaidi. Kila mbinu aliyonayo diamond Harmonize anaijua na Hilo diamond anajua. Ukiona mpaka diamond anakimbia South Africa kutengeneza Kiki na watoto wake ujue anatambua mbele Kuna Vita ngumu. Mbinu zote alimpa Harmonize na Harmonize anazimodfy. Ukifatlia Instagram kwa Sasa habari zinazoshtua ni za Harmonize. Vita ni Kali Sana... Maana WCB hawaamini wanachokiona.
👇👇👇👇
Screenshot_20210424-195109.png

Jifunze kuweka akiba ya maneno,hii JF kuna siku maneno yako mwenyewe yata kuumbua.
 
Mimi mtu ninayejiuliza kama move ya kujiunga na Konde gang ilikuwa sahihi au mbaya ni country boy.
Kuna kipindi nilikuwa namwona kama anaenda mbele ila kwasasa sijui kama anasonga, karudi nyuma ama kasimama.
 
Sio wewe unaejiuliza hata mm nilikuwa namuona country boy anaweza simama peke ake nionavyo mm kasimama
 
Diamond inabidi apewe tu heshima yake, harmonize far from kondegang, nadhan agekua na nafanikio makubwa sana km angebak WCB, kutoka kwa kk e WCB kumemchelewesha kidgo na hata km status iyo album czanbkm itafny vyema km ambavy ingefny vyema km ingetolewa akiwa WCB

Naomba kuwasilisha
 
Sijui kwa upande wake, ila hata mimi naona kama vile haikuwa move nzuri.

Unaipata ile aliyoimba na marioo daa ile ngoma naipenda maisha bandika bandua sema cjui kuweka video ningeiweka kidogo ninayo fup
 
Halaf ipo turn up country boy na mwanafa daah ile ngoma ina maajabu kwa upende wangu naipenda kinoma
 
Unaipata ile aliyoimba na marioo daa ile ngoma naipenda maisha bandika bandua sema cjui kuweka video ningeiweka kidogo ninayo fup
Ile ngoma kali sana sana.
Yani toka alipoanza fanya ngoma na S2kizzy nilikuwa namwelewa sana. Hata ile aliyoimba na Kaligraph Jones - wanona haya ni one of my favorite.
Sema kwasasa sioni kama anasonga.
 
Ukiangalia mikakati ya Harmonize baada ya kutoka WCB ... Utagundua alipunguza Sana Kwanza safari na collaboration za nje. Sababu ilikuwa kutengeneza fanbase bongo Kwanza. Pia kuhakikisha kondegang inatambulika bongo vizuri. Kwakweli kwa hilo kafanikiwa. Kwa Sasa ukipita mitaani hakuna asiyetambua uwepo wa lable inaitwa kondegang. Inafact kwa Sasa ndiyo lable kubwa ikitoka WCB . Aliimba distrack hainshtuii, hjanikomoa, na jeshiiiii ili fanbase watambue kabisa yeye na WCB Sasa mbalimbali. Sasa ndo muda wa kuanza kufanya MUZIKI. Highschool album ukiiskiliza utaelewa kwanini diamond alimpenda Harmonize. Utaelewa kwanini he was firstborn pale. Utaelewa kwanini kwangaru ya Harmonize ndo wimbo uliohusisha wazawa unaviews wengi zaidi. Kila mbinu aliyonayo diamond Harmonize anaijua na Hilo diamond anajua. Ukiona mpaka diamond anakimbia South Africa kutengeneza Kiki na watoto wake ujue anatambua mbele Kuna Vita ngumu. Mbinu zote alimpa Harmonize na Harmonize anazimodfy. Ukifatlia Instagram kwa Sasa habari zinazoshtua ni za Harmonize. Vita ni Kali Sana... Maana WCB hawaamini wanachokiona.
Kondegang wana juhudi ila wapunguze kula kaya, wanaumiza sauti. Pia wajaribu kutafuta mtu wa kupitia mashairi ya ngoma zao hasa matamshi.

WCB kwa upande wao waache chuki, unafiki, kutafuta kuabudiwa, dhulma na kufir**** mashoga. Mungu hapendi.
 
Hyo kijana wenu kwa sasa ana maisha magumu sna, show zake kiingilio ni kinywaji, ata kodi kule mbezi imemshinda karudisha mpira kwa kipa.
 
Back
Top Bottom