Kwani namba za Harmonize zimekaaje kwa upande huu?

herman joshua

JF-Expert Member
Dec 30, 2018
1,608
2,000
Tuachane na mambo ya tuzo, tumpe muda kwanza ila vp katka hz namba

Instagram(4).jpg
Instagram(9).jpg
Instagram(8).jpg
Instagram(6).jpg
Instagram(7).jpg

Au WASAFI nako huku wanahusika kwa namna flan kumshusha Mmakonde?
Tusishau wimbo wa mwisho wa Diamond ni waah ila bado list zinakimbizwa na vijana wake.
Swala la kumfananisha Harmo na Mond lipigwe marufuku
 
joseph1989

JF-Expert Member
May 4, 2014
7,569
2,000
Tuachane na mambo ya tuzo, tumpe muda kwanza ila vp katka hz namba
View attachment 1771063 View attachment 1771066 View attachment 1771069 View attachment 1771070 View attachment 1771071
Au WASAFI nako huku wanahusika kwa namna flan kumshusha Mmakonde....?
Tusishau wimbo wa mwisho wa Diamond ni waah ila bado list zinakimbizwa na vijana wake.
Swala la kumfananisha Harmo na Mond lipigwe marufuku
For you-Mario,hii nyimbo kali sana inahitaji rmx ft Diamond au Harmo au Maua Sama au Vanny nk.
 
Mkaruka

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
17,974
2,000
Tuachane na mambo ya tuzo, tumpe muda kwanza ila vp katka hz namba
View attachment 1771063 View attachment 1771066 View attachment 1771069 View attachment 1771070 View attachment 1771071
Au WASAFI nako huku wanahusika kwa namna flan kumshusha Mmakonde....?
Tusishau wimbo wa mwisho wa Diamond ni waah ila bado list zinakimbizwa na vijana wake.
Swala la kumfananisha Harmo na Mond lipigwe marufuku
Vijana tafuteni kazi za kufanya jamani. Diamond kaanza Muziki 2009 ameshajenga himaya kubwa na media propaganda Wasafi Media inayogonga propaganda saa 24/7.

Harmonize ndio kwanza yuko busy anajenga legacy yake kupitia Kondegang. Leo hayupo ila kesho anaweza kuwepo wakati wewe ni msukule wa domo. Siku akija kusimama wakati huo sijui wewe unaweza kuja kuwa msukule wa mtu mwingine.

Punguzeni utoto.
 
Perfectz

JF-Expert Member
May 17, 2017
7,247

PUNGUZA JAZBA NA ROHO YA KWANINI KWANZA
 
Hziyech22

JF-Expert Member
Jun 8, 2019
7,417
2,000
Vijana tafuteni kazi za kufanya jamani. Diamond kaanza Muziki 2009 ameshajenga himaya kubwa na media propaganda Wasafi Media inayogonga propaganda saa 24/7.

Harmonize ndio kwanza yuko busy anajenga legacy yake kupitia Kondegang. Leo hayupo ila kesho anaweza kuwepo wakati wewe ni msukule wa domo. Siku akija kusimama wakati huo sijui wewe unaweza kuja kuwa msukule wa mtu mwingine.

Punguzeni utoto.
Hbaba kwenye ubora wako
 
Puncler

JF-Expert Member
Jul 17, 2017
555
1,000
Vijana tafuteni kazi za kufanya jamani. Diamond kaanza Muziki 2009 ameshajenga himaya kubwa na media propaganda Wasafi Media inayogonga propaganda saa 24/7.

Harmonize ndio kwanza yuko busy anajenga legacy yake kupitia Kondegang. Leo hayupo ila kesho anaweza kuwepo wakati wewe ni msukule wa domo. Siku akija kusimama wakati huo sijui wewe unaweza kuja kuwa msukule wa mtu mwingine.

Punguzeni utoto.
Misukule ya Domo na misukule ya Panya wote wawekwe panapostahili, wote ni misukule tu.
 
herman joshua

JF-Expert Member
Dec 30, 2018
1,608
2,000
Vijana tafuteni kazi za kufanya jamani. Diamond kaanza Muziki 2009 ameshajenga himaya kubwa na media propaganda Wasafi Media inayogonga propaganda saa 24/7.

Harmonize ndio kwanza yuko busy anajenga legacy yake kupitia Kondegang. Leo hayupo ila kesho anaweza kuwepo wakati wewe ni msukule wa domo. Siku akija kusimama wakati huo sijui wewe unaweza kuja kuwa msukule wa mtu mwingine.

Punguzeni utoto.
Tupo pamoja, ila nashukulu umefika na umechangia
 
herman joshua

JF-Expert Member
Dec 30, 2018
1,608
2,000
Wote misukule tu.

Mtu halali anakomalia mtu mwingine ambaye hampi hata 100.
Unauhakika gani kwamba hawalali, all in all n sehemu ya maisha hatuwezi kufanana
We unafuatilia muvie mpya mwengine mambo yake ns kama hayo.
Unaloona we n lakupoteza muda mwingine linamaana kwake, vlevle kwa lile unaloona la maana kwako n tofauti kwa mwingine
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom