Mwanamuziki wa kizazi kipya, Harmonize afunguka kuhusu mkataba alioingia na WCB amesema alikuwa akipewa 40% ya mapato yoyote anayoingiza na WCB kuchukua 60% ameamua kuelezea hayo yote kutokana na watu kuwa dhana ya kwamba yeye ni msaliti. Amesema alifanyiwa fitna nyingi zilizopelekea yeye...
Leo katika pita pita zangu nimekutana na hii post ya Harmonize akiongelea mtu kutumia madawa ya kulevya na mtu huyu direct ni Dimond. Je kuna ukweli wowote au ni hasira za Harmonize kuambiwa anatumia mihadarati.
Wadau je kuna ukweli wowote kukonda kwa Dimond ni kwa ajli ya ubwiaji?
Hivi majuzi mwanamuziki Rajab Abdul Kahali almaarufu kama Harmonize alizindua albamu yake ya pili 'High School'.
Staa huyo wa Bongo alitumia ukurasa wake wa Instagram kufafanulia mashabiki wake maana ya nyimbo ishirini zilizo kwenye albamu yake mpya.
Harmonize alisema wimbo nambari saba katika...
Nyota wa Bongo Rajab Abdul Kahali almaarufu kama Harmonize amefunguka kuhusu utata uliozingira kuzaliwa kwa binti yake Zulekha Nasra.
Alipokuwa anafafanulia mashabiki wake maana ya nyimbo zilizo kwenye albamu yake ya pili 'High School' hivi majuzi, mwanamuziki huyo alifichua kwamba kuzaliwa kwa...
Ebana mimi binafsi sio shabiki wa msanii yeyote isipokua mziki mzuri.
Naamini kuwa Harmonize ni msanii mwenye kipaji kikubwa sana cha uimbaji ila sasa baada ya kusikiliza hii album yake mpya nimesikitika sana.
Inaonesha wazi kuwa fikra na malengo yake kupitia album hii ni mazuri lakini...
JE ALICHOKIFANYA HARMONIZE NI SAHIHI?
Msanii Harmonize Kupitia Kionjo cha Wimbo wake Mpya Dunia Ameimba kuwa Anaamini Mungu yupo na Anajua hata akitaka kumchukua Sasa Hivi anamchukua Lakini Anataka Kujua Kwanini Mungu aliweka kila Vitu Vizuri Viwe Ni vya Kishetani .
Kondeboy Ametolea Mfano...
Kuna kipindi Nilipitia Instagram Niliona Kama Harmonize Anataka Kwenda Marekani Kufanya Tour Kule. Nilijiuliza Vitu vingi sana kuanzania Management aliyonayo, Promoters Anao Watumia na Aina ya Nyimbo alizo nazo na Watu alio washirikisha.
Kuimba Kiswahili na kwenda kuperform Taifa ambalo...
Mwimbaji wa Bongofleva toka WCB Wasafi, Rayvanny amemtambulisha msanii wa kwanza aliyesainiwa chini ya lebo yake ya Next Level Music (NLM), Mac Voice tangu kuanzishwa kwake Machi 2021.
Kabla ya kusaini NLM, Mac Voice tayari ameshasikika kwenye Bongofleva kwa kipindi cha nyuma ambapo alikuwa...
Nasema tena hii ni Aibu kubwa sana kwa Harmonize Waliobahatika Kuangalia ICU leo watanielewa
Harmonize kwa Kujimwambafai Instagram aha Anaongoza ila in Real life ni anasikitisha hivi kweli Msanii anashindwa kuclear rent anayodaiwa na mwenye nyumba yake yaani analeta Ustar hadi kwenye Kulipa Kodi...
Wakuu lem declare interest Kwamba mimi ni sehemu ya Eng. Usiri ambae Alikuwa ni Land Lord Wa Msanii Harmonize.
Msanii Hrmonize ni Kweli anadaiwa Kodi na Mjomba Yangu Wangu Eng. Usiri na Aliondoka Pale Mbezi Usiku Bila Kuaga na Mpaka Sasa Ajakabidhi Nyumba Ya Eng. Usiri.
Hata Wakili wake...
Harmonize kweli anakimbiza sanaaa hasa ukitembea kumbi nyingi za Starehe ngoma zake ndo zina bamba sanaaa.
Hata Kajalee naona kama anamuwaza dogo sana hasa na Post zake kule Inst.Na hisi kwa jinsi anavyo kubalika.
Anangoma zikigongaa hatarii na jamaa hana shobo japo watz wengi wanaaminishwa...
BURUDANI Mnanikosea heshima kunishindanisha na Harmonize.
Hapo jana Msanii Pasha Mtepa akifanya Mahojiano na kituo cha Runinga cha East Afrika TV alisema watu wanamkosea heshima kumshindanisha na Harmonize kwa sababu yeye ndio wa kwanza kuuwakilisha mkoa wa Mtwara na amekaa muda mrefu kwenye...
Zuchu na harmonize waliachia nyimbo zao siku moja huko youtube
Lakini katika hali ya kushangaza views za Harmonize zilionekana kupaa ghafla kwa speed ya light 😅😅😅 mpaka watu tukawa tunashangaa imekuwaje?
Sasa ni wiki nne kamili zimepita toka waachie nyimbo zao na kwa hali isiyo ya kawaida...
Mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya maarufu kama Bongo Flava Harmonize ametoa wimbo unaoitwa Mang'dakiwe Remix ambao amesema ni Darasa la Amapiano kwa wasanii wengine. Darasa hili la amapiano linakuja wakati Diamond Platnumz amekuwa akitamba na Wimbo wa Amapiano unaoitwa "IYO".
Jamaa amejazia kinoma utadhani umaga wa kwenye mieleka.. Hata sadala ataanza kumuogopa sasa. Anatisha mmakonde...
Nawasilisha
Nb. Hebu tuangalie upande wa pili wa samaki. Tumuone mwalimu wake na role model wake maana ndie aliyemfundisha.
Nay wa Mitego amesema yeye ni mtu ambaye hapindishipindishi maneno na kama ukikosea au ukimzingua atakuchana ukweli labda hiyo ndiyo sababu ya Harmonize kujishtukia na kumblock Instagram.
"Mimi sina tatizo na Harmonize, nipo straight sana hata kama ni mshkaji wangu ukinizingua au ukinikosea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.