Master Jay: Rayvanny na Harmonize wanatembea na bastola, wasuluhishwe kabla halijatokea jambo baya

sonofobia

JF-Expert Member
Jun 21, 2015
369
2,515
20210428_190949.jpg
 
Hawana ubavu wa kutwangana shaba hata ngumi tu hawawezi
Sasa hivi Rayvanny na yeye anapambana kutengeneza net work ya watawala.

Kila mmoja akishakuwa na net work, kifuatacho ni vita.

Nyimbo za pambio na kujipendekeza zimeanza.

Binafsi naamini Rayvanny huwa hapendi huu upuuzi, ila ndio hivyo unalazimika kutumika kwa shinikizo la kina Sallam na Diamond ili maisha yaende.
 
Atakuwa anashurutishwa.
Nahisi sallam anapenda ugomvi sana hawez puuzia jambo lolote.
Ray anataka naye awe na backup ya ikulu. Mziki sasa ni zaidi ya burudan
 
Atakuwa anashurutishwa.
Nahisi sallam anapenda ugomvi sana hawez puuzia jambo lolote.
Ray anataka naye awe na backup ya ikulu. Mziki sasa ni zaidi ya burudan
Sallam ni mgomvi mnoo na bahati nzuri hajui kuficha hilo.

Harmonize ni kama huwa ana kismati sana. Akipata bond na mtu yeyote huwa inakuwa ya muda mrefu sana. Eddy Kenzo, burna boy, Skales, Dully sykes, Yemi Alade, Kikwete,

Yaani karibia net work yote ya Diamond, jamaa anayo.
 
Back
Top Bottom