harakati

The National Revival Movement Party (Azerbaijani: Milli Dirçəliş Hərəkatı Partiyası) is a political party in Azerbaijan. The party's leader is Faraj Guliyev, who is well-known politician. At the 2010 parliamentary elections, it won 1 out of 125 seats. In the 2015 parliamentary elections, it won 1 out of 125 seats.

View More On Wikipedia.org
  1. Nyerere Day 2023: Mwanzo wa harakati za kudai uhuru

  2. Diddy na weusi wengine wanakosea sana kwenye harakati zao kuhusu watu weusi. Kanye West yuko sahihi

    Hivi karibuni kuna tukio limetokea huko Marekani ambalo kwa upande wangu limenifanya nifikiri tofauti kabisa. Msanii Kanye West alishambuliwa sana kwa maneno toka kwa Black Americans kisa kikiwa yeye kusema WHITE LIVES MATTER. Ikumbukwe weusi wengi wana harakati zao za BLACK LIVES MATTER...
  3. T

    Nashauri tufute vyama vya upinzani vilivyopo tuanze upya harakati za kudai mageuzi ya kweli

    Harakati za kudai mageuzi ya demokrasia katika nchi yetu yalianza miaka miaka mingi iliyopita. Hatimae Kwa shinikizo la mataifa makubwa tukakubali kuruhusu mfumo wa vyama vingi ndani ya muundo wa chama kimoja. Kwa maoni yangu ikiwa tunahitaji upinzani utusaidie kweli kweli lazima tuanze upya...
  4. Video: Kifaru cha Urusi chadondosha wanajeshi na kugonga mti kwenye harakati za kuikimbia Ukraine

    Hadi aibu na huruma, wanajeshi walioparamia kwenye kifaru wadondoka kama gunia kisha kikaishia kugonga mti, jameni Putin aliingiza nchi yake kwenye aibu gani hii, Warusi nyumbani wanapotazama video kama hizi wanahisi vipi labda..... The video, which was posted on the Calibre Obscura Twitter...
  5. Harakati za kuikomboa Kherson, Urusi wapoteza vifaru vingine 25 na magari 37

    Himars kwa kwenda mbele, On Saturday, the Ukrainian armed forces said on its Facebook page that Russia had lost an additional 25 tanks, taking the total number of such vehicles reportedly destroyed since the start of the full-scale invasion on February 24 to 2,034. In its daily update, Ukraine...
  6. B

    Muda wa mapinduzi vyamani ni sasa

    Mwendelezo huu wa manung'uniko ya watu dhidi ya yanayojiri, ni dalili ya mkwamo kamili kwenye jitihada zetu za kudai haki. Alikuwepo mzee wa Kiraracha(RIP) akisema sera zake ni siri. Mikakati yetu ya ukombozi nayo ni siri? Viongozi wa vyama vyetu kazi zao au majukumu yao katika kutuvusha ni...
  7. Dome Okochi Budohi na harakati za kupigania uhuru wa Tanganyika

    Kulikuwepo na wazalendo kutoka nchi jirani ya Kenya kama vile Dome Okochi Budohi na Patrick Aoko ambao walikuwa wanajua vyema siasa za walowezi za kupora ardhi za wananchi. Kutoka kwa wazalendo kama hawa, Abdulwahid alipata usikivu wa mawazo yake ya kuigeuza TAA kuwa chama cha siasa chenye...
  8. Dome Okochi Budohi: Mkenya katika Harakati za TAA na TANU 1950s

    DOME OKOCHI BUDOHI MZALENDO KUTOKA KENYA ALIYEPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA Naamini umeona hiyo video ya ufunguzi wa kumbi 12 zinazohifadhi historia ya Wakenya katika kupigania uhuru wa nchi yao. Video hii imenitia hamu ya kumweleza Dome Okochi Budohi. Sijui kama katika kumbi hizo kuna historia...
  9. Mtoto mdogo aliepotea Mbeya tangu 2020 anaedhaniwa aliibwa imebainika yupo Songwe kupitia group la Facebook, wazazi wapo kwenye harakati kumrudisha

    Ilikuwa ni tarehe 21-11-2020 siku ya Jumamos ambapo mtoto Nassir Jumanne mande mwangopola alipotea Chunya mjini, moja ya wilaya ya Mbeya. Wazazi wa mtoto, baba yake Jumanne Mwangopola na mama yake Shamimu Shabani walifanya jitihada kubwa kumtafuta lakini jitihada hazikuzaa matunda. Leo hii...
  10. Urusi imeanza harakati za kulinyanyua Bara la Afrika

    Katika harakati za kuhakikisha Russia inarejesha nguvu za ushawishi Africa na kujenga mahusiano imara baina ya Taifa Hilo na nchi zilizopo Africa, Russia imeanza taratibu za kujenga vinu vya nyukilia nchini Misri. Hii ni habari njema sana Kwa mataifa ya Africa na litazidi kupanua wigo Moana wa...
  11. N

    Harakati za kanjanja la clouds utopoloni

    Aiseee huyu kijana kama hawajampa kitengo wampe tu hapo utopoloni kwa kweli, kajivika mabomu haswa na kaingia vitani kwelikweli Hiyo harusi nitashangaa kama hawatachangia atleast millions 50 he deserves it...hapo ukimuuliza kwamba ilikuwaje senzo akaweka booking ya kambi uturuki last month...
  12. ACT Wazalendo hawana wanachama wengi Tanzania Bara, nani anawafadhili? Mbona harakati nyingi? Wanatoa wapi fund?

    Kiukweli huku Bara hawana vichwa kabisa na hata huko Tanzania Visiwani wanatembelea nyota ya maalim Seif (RIP). Nani anawapa nguvu ya kufurukuta hawa ACT Wazalendo?
  13. Vijana wa CHADEMA mbona hamsomeki? Kulamba asali mnataka na harakati mnataka, mtapasuka msamba

    Naona mnapenda sana huku na huku. Boss wenu ameshalamba asali na ninyi mmeshalamba kwa ujumla maana yeye ndo Alfa na Omega. Sasa hizi harakati mnazotaka kufanya za nini? Au ndio mmezoea maharakati? 👇Chadema: Tutasimama na watu wa Ngorongoro Chadema: Tutasimama na watu wa Ngorongoro
  14. Makachero wa Special Branch ndani ya harakati za uhuru wa Tanganyika

    Katika maziko ya Mzee Kitwana Kondo niliombwa nizungumze. Sikiliza video hii kuna historia muhimu sana kueleza kuundwa kwa TANU. Nilizungumza kuhusu kikao cha watu watatu nyumbani kwa Hamza Mwapachu, wengine wakiwa Abdul Sykes na Ali Mwinyi Tambwe agenda ikiwa namna ya kumuingiza Julius...
  15. Mdude Chadema amtembelea Mbatia. Ampatia kitabu chake Miaka mitano ya mateso katika harakati. Ampomgeza kupangua mapinduzi

    Huyu Mdude yupo kiharakati kila mara. Mbatia nae anasema Aluta continua. Hapa ni harakati tupu
  16. Tunaobeza harakati za Mbowe na wenzake

    Natumai hatujambo sote wanajamvi!! Kwa wale ambao Mola Mlezi amewakadiria mitihani ya maradhi, kuondokewa na vipenzi vyao au kupungukiwa na mali BASI tunamwomba Mola Mlezi awape faraja baada ya mitihani wanayopitia!! Aidha, tunamwomba Mola Mlezi awape subira na stahimili Kwani MITIHANI ina...
  17. Harakati za Ajira

    Ni kwa muda uliwai zunguka kutafuta b Ajira bila mafanikio?. Rafiki yangu alitembelea limu zaidi ya miaka 4 hadi akachoka. Taratibu akili imemkaa kakubali yaishe na kaoa hivi juzi. Nope:, picha si ya jamaa yangu.
  18. L

    Msemo wa jadi wa kichina: “Mtu hapaswi kubadili ahadi yake au kuacha harakati zake hata kama anakabiliwa na hatari”

    Mkutano wa mwaka wa Baraza la Asia la Boao ulifanyika kuanzia Jumatano hadi Ijumaa wiki hii huko Boao, mkoani Hainan, kusini mwa China. Kauli mbiu ya mkutano wa mwaka huu ni “COVID-19 na dunia: kuhimiza kwa pamoja maendeleo ya dunia na kujenga mustakbali wa pamoja”. Kuna msemo mmoja wa Kichina...
  19. Simulizi: Harakati za Jason Sizya

    (Kutoka kwa mwandishi wa stori za kusisimua zilizowahi kuchapishwa hapa JF za Taxi; Kizungumkuti!; Laiti Ningejua!; Hekaheka!; Hadi Lini! na nyinginezo) Na Bishop Hiluka 0685 666964 | bjhiluka@yahoo.com Kijasho Jepesi Saa 12:15 asubuhi… Wala sikujua kitu gani kilikuwa kimeukatisha ghafla...
  20. Harakati na kelele za mitandaoni haziwasaidii CHADEMA, zinawaingiza mkenge kila siku ila hawajifunzi

    Naona mnajidanganya kuwa kelele zenu mitandaoni zinawasidia kusikika na kuonekana mnazo hoja kiasi cha kuanza kujipiga kifua. Ninyi bado hamjapata sapoti kupitia mitandao mnajidanganya kama watoto wadogo. Uhalisia wa mnachodhania kuwa mnasapoti kubwa kutoka kwa wananchi kupitia mitandao ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…