Uchambuzi wa point za Simba kwa miaka mitano iliyopita kimataifa na harakati za Yanga kumpita

Kilimbatz

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
4,334
5,838
Mimi huwa napenda sana namba na hesabu

Kwani hazidanganyi, haziongopi wala hazipendelei

Jinsi Simba alivyojizolea point 35 katika msimamo wa vilabu bora Afrika

1) Msimu wa 2018/2019 aliishia robo fainali Klabu Bingwa hivyo akajizolea point zake 3

2) Msimu wa 2019/2020 alipata point 0

Sijui alikuwa na shida gani

3) Msimu wa 2020/2021 aliishia robo fainali hivyo akajizolea point zake 3

4) Msimu wa 2021/2022 aliiangukia shirikisho akajipatia point zake 2 baada ya kubondwa na yeye kwa hasira akaamua kuchoma kiwanja moto kwa hasira

5) Msimu wa 2022/2023 aliingia robo fainali na akajizolea point zake 3

Ebu sasa tuzidishe hizi point tufunge hesabu ya kiwasibu

3×1,0×2,3×3,2×4, na 3×5 jumla yake 35

Sasa kwa misimu yooote mitano huko nyuma mnyama ana point zake 35 akiwa nafasi ya 9

Haya ni matumizi mabaya ya muda aisee

Miaka mitano point 35 du!

Sasa tumuuone Yanga anayekuja kwa kasi ya kimbunga

1) Msimu wa 2018/2019 alipata point 0

2) Msimu wa 2019/2020 alipata point 0

3) Msimu wa 2020/2021 alipata point 0

4) Msimu wa 2021/2022 alipata point 0

5) Msimu wa 2022/2023 alipata point 4 kwa kuingia fainali ya kombe la shirikisho

Yaani msimu mmoja point 20,duh!

Sasa haya ndo matumizi bora ya muda

Huyu sasa ndo aliitumia likizo yake vizuri (in Paul Makonda's voice)

Ebu sasa tuzidishe hizi point tupate hesabu ya kiwasibu
0x1,0x2,0x3,0×4 na 4x5 jumla yake 20

Wakuu ukiangalia hesabu hizo utaona kuwa yanga kapata karibu 2/3 ya point za Simba kwa msimu mmoja tu kwa kuingia fainali ya shirikisho

Pigia mstari neno msimu mmoja tu

Regardless ya kutokuonekana kwenye soka la kimatiifa Afika tangu miaka ya tisini huko,haya ni mafanikio makubwa

Simba anachotakiwa kuomba ni Yanga aishie makundi tu na yeye Simba atinge nusu fainali au fainali kabisa ili kujiongezea point na aweze hama toka top ten hadi top five na kama haitoshi apande toka pot 2 hadi pot 1

Kinyume na hapo atalia

Iwapo Yanga atavuka robo fainali na Simba akaishia robo kama kawaida yake basi kilio kitasikika Msimbazi

Simba waombe Yanga asifike nusu fainali au fainali kabisa

Kila mtu apambane na hali yake

Kama kuna masahihisho,nyongeza au ushauri karibu
Screenshot_20231027-213821_Chrome (1).jpg

#Mpira bila ya Mbereko Inawezekana
 
Mimi huwa napenda sana namba na hesabu

Kwani hazidanganyi,haziongopi wala hazipendelei
Unapoleta mada kama hizi waache watu watoe maoni yao kulingana na uhalisia kitendo cha ww kuleta uzi na kuchagua upande tayari umeshazingu ndio maana wamekuachia uzi wako maana hapo utataka kila mtu awe upande wako next time ukileta uzi kama try to be neutral ili upate uhalisia maana simba kapata points kupitia Caf champions league na yanga amepata kupitia Caf confederation cup ambapo yanga amechuku miaka 30 kuingia group stage you can see it's not easy in Caf champions if your team spent 30 years to reach Caf champions league group stage how long they will take to collect 35 point in Caf champions league I'm out .
 
Nimebalansi kote

Nimempa Simba sifa zake na kumkosoa

Hivyo kwa Yanga,nimempopoa kwa utoro wake katika soka la kimatifa

Na pia nika msifia kwa kuibuka ghafla na kupata point zake za mkupuo

Ni wewe na uelewa wako tu

Halafu nikuambie kitu,kuna post zipo kama reference huko mbeleni hasa kwa kufufulia makaburi

Hao uliosema wamaeususa huu uzi watakuja kuufufua siku moja
 
Unapoleta mada kama hizi waache watu watoe maoni yao kulingana na uhalisia kitendo cha ww kuleta uzi na kuchagua upande tayari umeshazingu ndio maana wamekuachia uzi wako maana hapo utataka kila mtu awe upande wako next time ukileta uzi kama try to be neutral ili upate uhalisia maana simba kapata points kupitia Caf champions league na yanga amepata kupitia Caf confederation cup ambapo yanga amechuku miaka 30 kuingia group stage you can see it's not easy in Caf champions if your team spent 30 years to reach Caf champions league group stage how long they will take to collect 35 point in Caf champions league I'm out .
Jibu unalo ila umeamua kukaza fuvu lako tu.

Yanga ilikuwa inatembeza bakuli "Haikuwa na Wadhamini"

Mbona GSM kawekeza 2021 pekee ila 2022 na 2023 Yanga imepata mafanikio makubwa tu?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Bahati mbaya Yanga amekua bora kipindi ambacho Simba yupo bora pia. Na zote kwa level za Africa haitakua ajabu zote kufika nusu na fainal kila uchao. Hii ina maana kuwa kuna uwezekano mkubwa wote wakakusanya points sawa-sawa miaka nenda rudi ama kuzidiana points chache sana kwa mwaka. Ikiwa hivyo itamchukua Yanga muda mrefu sana kumkuta Simba alipo.

Anachoweza kufanya Yanga ni kumuombea tu Simba mabaya. Bahati mbaya mpira haupo hivyo
 
Simba akiwa bora ni jambo zuri

Ningependa wote tuwe pot 1 siku moja

Unachosema ni kweli Simba anaweza mpiga Yanga gepu kama Simba ataacha kasumba yake ya kuishia robo

Yanga naye kama ataendelea hivi basi tutegemee ushindani mkubwa huko mbeleni

All in all,all the best kwa wote wawili

Mwenye nguvu ashinde
 
Mimi huwa napenda sana namba na hesabu

Kwani hazidanganyi, haziongopi wala hazipendelei

Jinsi Simba alivyojizolea point 35 katika msimamo wa vilabu bora Afrika

1) Msimu wa 2018/2019 aliishia robo fainali Klabu Bingwa hivyo akajizolea point zake 3

2) Msimu wa 2019/2020 alipata point 0

Sijui alikuwa na shida gani

3) Msimu wa 2020/2021 aliishia robo fainali hivyo akajizolea point zake 3

4) Msimu wa 2021/2022 aliiangukia shirikisho akajipatia point zake 2 baada ya kubondwa na yeye kwa hasira akaamua kuchoma kiwanja moto kwa hasira

5) Msimu wa 2022/2023 aliingia robo fainali na akajizolea point zake 3

Ebu sasa tuzidishe hizi point tufunge hesabu ya kiwasibu

3×1,0×2,3×3,2×4, na 3×5 jumla yake 35

Sasa kwa misimu yooote mitano huko nyuma mnyama ana point zake 35 akiwa nafasi ya 9

Haya ni matumizi mabaya ya muda aisee

Miaka mitano point 35 du!

Sasa tumuuone Yanga anayekuja kwa kasi ya kimbunga

1) Msimu wa 2018/2019 alipata point 0

2) Msimu wa 2019/2020 alipata point 0

3) Msimu wa 2020/2021 alipata point 0

4) Msimu wa 2021/2022 alipata point 0

5) Msimu wa 2022/2023 alipata point 4 kwa kuingia fainali ya kombe la shirikisho

Yaani msimu mmoja point 20,duh!

Sasa haya ndo matumizi bora ya muda

Huyu sasa ndo aliitumia likizo yake vizuri (in Paul Makonda's voice)

Ebu sasa tuzidishe hizi point tupate hesabu ya kiwasibu
0x1,0x2,0x3,0×4 na 4x5 jumla yake 20

Wakuu ukiangalia hesabu hizo utaona kuwa yanga kapata karibu 2/3 ya point za Simba kwa msimu mmoja tu kwa kuingia fainali ya shirikisho

Pigia mstari neno msimu mmoja tu

Regardless ya kutokuonekana kwenye soka la kimatiifa Afika tangu miaka ya tisini huko,haya ni mafanikio makubwa

Simba anachotakiwa kuomba ni Yanga aishie makundi tu na yeye Simba atinge nusu fainali au fainali kabisa ili kujiongezea point na aweze hama toka top ten hadi top five na kama haitoshi apande toka pot 2 hadi pot 1

Kinyume na hapo atalia

Iwapo Yanga atavuka robo fainali na Simba akaishia robo kama kawaida yake basi kilio kitasikika Msimbazi

Simba waombe Yanga asifike nusu fainali au fainali kabisa

Kila mtu apambane na hali yake

Kama kuna masahihisho,nyongeza au ushauri karibu
View attachment 2795437
#Mpira bila ya Mbereko Inawezekana
Simba anamkimbiza Al Ahly, Yanga anamkimbiza Simba
 
Mada ilikuwa nzuri sana, na ningeweza kusema ni ingekuwa mada bora sana, ulipokosea ni kuingiza utopolo wako. Ungeiacha tu hewan ingependeza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom