harakati

The National Revival Movement Party (Azerbaijani: Milli Dirçəliş Hərəkatı Partiyası) is a political party in Azerbaijan. The party's leader is Faraj Guliyev, who is well-known politician. At the 2010 parliamentary elections, it won 1 out of 125 seats. In the 2015 parliamentary elections, it won 1 out of 125 seats.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hivi ushindi wa Azam jana hauathiri harakati za Simba kugombea nafasi ya pili?

    Jana nimeshangaa Simba kufurahia ushindi wa Azam wakati ni wapinzani wao kwenye kugombania nafasi ya pili!! Hivi ni umbumbumbu au ni kitu gani!? Au wanadhani labda wanagombea ubingwa?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Harakati hazitaki mtu anayeongozwa kwa mihemko

    HARAKATI HAZITAKI MTU ANAYEONGOZWA KWA MIHEMKO. 1.Mtu ambaye akiambiwa biashara fulani inalipa anaikurupukia. 2.Ambaye akiambiwa alisemwa vibaya muda huo huo anawafuata wahusika. 3.Mtu ambaye akiambiwa kasalitiwa muda huo huo anawasha moto. 4.Mtu ambaye anataka kufanya kila kinachosifiwa sana...
  3. JamiiForums Tanzania Katika harakati za uhuru wa Palestine Wakristo wa kipalestina kazi yao nini? Mbona Waislam wa kipalestina wamechachamaa zaidi ?

    Katika harakati za uhuru wa Palestine ukisoma zaidi taarifa mbalimbali utaona mchango mkubwa wa waislam wa Kipalestina katika kupambana dhidi ya manyang'au wakoloni wa kiyahudi. Hata vikosi mbalimbali vinavyo ongoza mashambulizi dhidi ya wakoloni wa kiyahudi ni vikosi vya waislam wa Kipalestina...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Video: Paul Makonda na harakati za hila za kuulinda mfumo wa serikali tawala ya CCM ulioshindwa. Atafanikiwa au anasukuma anguko lake?

    This video is Courtesy of SK Media Online TV. ===================================================== KWA UFUPI; 1. Paul Makonda ni Katibu wa Idara ya Itikadi na Uenezi ndani ya CCM. Yupo barabarani anatembea nchi mzima hata sasa kwa kinachoitwa "ziara ya kuimarisha uhai wa chama..." 2...
  5. JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini wana nafasi ya muhimu kusaidia harakati za kuidai Tanganyika

    Kama ambavyo wapigania uhuru wa awali waliiwezesha Tanganyika kupata uhuru kwa njia ya amani, hata sasa njia za kidiplomasia zinaweza kusaidia Tanganyika kurejeshewa uhuru wake. Katika mapambano ya awali, viongozi wa dini walishiriki japo si kwa uwazi sana. Historia inaonesha kuwa viongozi wa...
  6. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Harakati ndiyo zinaleta demokrasia kwa tulipofikia Rais Samia

    Raisi Samia leo anasema kuna tofauti ya wana demokrasia na wana harakati. Hiyo tofauti kwa sasa ni wewe tu mnufaikaji na genge la watawala mnalo liona hilo. Ukweli ni kwamba kwa watu wa kawaidia ni kitu kimoja. Ukisema wanaharakati ni kama vile kuna watu wana andamana bila sababu lakini si...
  7. JamiiForums Tanzania Video ya Mahojiano : Nelson Mandela akiweka wazi msimamo wake kuhusu harakati za Palestine na Yaseer Arafat

    Moja kwa moja..
  8. JamiiForums Tanzania Njaa ilinidhalilisha sana kwenye harakati zangu za kutafuta ajira

    ndugu zangu ukiona giza nene jua kumekaribia kucha. katika safari yangu ya utafutaji wa kazi na ajira nipate ridhiki yangu aiseeeh siwezi sahau. njaa kali,kufubaa, kudharaulika na kukosaa nauli za daladala na basi wakati nasambaza bahasha na usahili ilikua jambo lakawaida. uso wangu ulipoteza...
  9. JamiiForums Tanzania Fatah wasema Israel haitaweza kuimaliza Hamas. Ni sehemu ya harakati zao kuikomboa Palestina

    Waziri mkuu wa Palestina katika serikali ya Mahmoud Abbas ameweka wazi kuwa Israel inajidanganya kusema inataka kuwamaliza Hamas. Hiyo haitatokea. Akizungumza na CNN, Mohammad Shtayyeh amesema Hamas ni sehemu ya harakati za wapalestina kwa hivyo haiwezekani na haikubaliki kuwamaliza. Kauli...
  10. JamiiForums Tanzania Muige panya katika harakati za utafutaji, utatoboa

    Nadhani wote tunamjua mnyama panya, sasa bwana panya anajua kabisa akisema amkimbie binadamu kwa kuogopa kifo na kuhamia porini, atakufa njaa. Tena kabla ya njaa huenda akauliwa na wanyama wakali zaidi. Anachofanya panya ni kusoma ratiba ya binadamu ndani ya nyumba, saa ngapi anaenda kazini...
  11. JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu amepitwa na wakati; Huu sio muda wa harakati za kisiasa

    Huyu jamaa anayeitwa Jenerali Ulimwengu (sijui hata huo ujenerali alivishwa na nani), nimeona anawafokea wanavyuo kuwa ati hawafanyi midahalo! Kwanza aelewe, hizi sio zama za TANU na ASP, zama za kugombana na mabeberu kama wendawazimu. Hizo zama zilishapita na tumevuka tuko kwenye nyakati za...
  12. JamiiForums Tanzania Walio karibu na Makonda wamwambie ni kosa kubwa kuwa maarufu kuliko Rais. Aache kabisa harakati

    Huenda anafanya kwa Lengo zuri. Huenda anataka kukisaidia chama lakini Lazma ajue kujizuia. Kuwa maarufu kuliko Rais ni kama uhaini kisiasa. Walio karibu na Makonda wamwambie hatakiwi kuwa Maarufu kuliko Rais. Kisiasa huo ni kama uhaini Ama ajizuie au atazuiwa soon. Au.... Alitaka awe hivyo...
  13. JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa point za Simba kwa miaka mitano iliyopita kimataifa na harakati za Yanga kumpita

    Mimi huwa napenda sana namba na hesabu Kwani hazidanganyi, haziongopi wala hazipendelei Jinsi Simba alivyojizolea point 35 katika msimamo wa vilabu bora Afrika 1) Msimu wa 2018/2019 aliishia robo fainali Klabu Bingwa hivyo akajizolea point zake 3 2) Msimu wa 2019/2020 alipata point 0 Sijui...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Lissu Marekani - Part B

    Hapa ni sehemu ya hotuba nzito ya TAL mwana halisi wa nchi hii: "Umoja wetu - nguvu yetu." 𝗕. 𝗞𝗨𝗛𝗨𝗦U 𝗛𝗔𝗥𝗔𝗞𝗔𝗧𝗜 𝗡𝗔 𝗞𝗨𝗞𝗢𝗦𝗢𝗟𝗘𝗪A CHADEMA Tunahitaji umoja makundi yote bila kubezana Lazima tujitofautisha na na kauli zinazofanana na CCM, ukikosolewa unasema umetukanwa, unakuwa na chawa wa...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA isifungulie harakati za ubunge wanaotegemea kugombea 2025 waanze kupiga jaramba?

    Ningepewa nafasi yakuwashauri CHADEMA ningewashauri wawape uhuru vijana na wazee wenye nia ya kugombea ubunge waanze kujinadi kuelekea 2025. Wenzao CCM wagombea ni walewale waliopo sasa, CHadema hakuna mgombea anayefahamika jimboni. Mnasuburi nini? Lini?
  16. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, Wanaharakati waalikeni waungwana mpatanishwe

    Huu ni ushauri wa bure kwa CHADEMA na Wanaharakati (wote ndani na nje), ikiwapendeza, waungwana kabisa. Kutoka kwa mwananchi, mdau. Kwenu waheshimiwa, niwasalimu kwa jina la solidarity: "Umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu." Tulikuwa tuko vizuri. Tulikuwa wamoja. Tulikuwa tukitembea vifua...
  17. JamiiForums Tanzania Nimeumia sana baada ya kupata umbea kuwa demu ninaempenda katika harakati za mahusiano ametoa mimba 15 na zaidi

    Wajameni Dunia hii Ina mengi sana, nimekutana na mfadhaiko mkubwa sana. Iko hivi katika pitapita zangu nimekutana na msela wangu akiwa na mademu watatu, sasa baada ya kuwajoin kuna story za maisha ya hao mademu besties wa msela kumbe wamesoma pamoja Olevel, na chuo cha Ualimu. Sasa bhana mie...
  18. JamiiForums Tanzania 2pac alifanya harakati za kudai haki na kuelimisha jamii, Notorious Big aliedanganya maisha yake na kuimba uhuni pekee, anamsogelea kwa kipi?

    Huyu alikulia hood mitaa iliyojaa msoto, uhalifu na umasikini, wazazi wake walikuwa kundi la black oanthers wanaharakati wa kupigania haki za wamarekani weusi, ni kundi lililokuwa likisakwa kila kukicha na serikali ,mama yake pekee alikuwa na kesi kama 50 zs uchochezi, kalelewa na ndugu tofauti...
  19. JamiiForums Tanzania Mwaka 2050 Bara la Afrika litaanza harakati za kudai Uhuru

    Kwa namna ambavyo viongozi wetu wanajitahidi kubinafsisha rasilimali zetu - Hadi 2050 Bara la Africa litaanza kuvunja mikataba na kuwafukuza wawekezaji maana hawana manufaa kama tunavyoaminishwa kwa sasa. Wawekezaji watafukuzwa kama walivyofukuzwa wakoloni. Wananchi watakuwa hawana pa...
  20. JamiiForums Tanzania Harakati za Ukombozi na utetezi wa mtu mweusi huko Marekani zilifanyika Kanisani. CCM acheni kupindisha Mjadala wa Bandari

    Kamwe huwezi kuwazuia Viongozi wa dini kukemea maovu hasa pale serikali inapokuwa na moyo mgumu na usio kuwa na huruma kwa wanchi wake. Kilichofanywa na kanisa Katoliki ni kutimiza wajibu wao wa kichungaji na hakuna tatizo lolote. Kanisa halijaanza leo kuwakalipia wanasiasa wa hovyo. Leo hii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…