haraka

Dupuya haraka is a species of legume in the family Fabaceae. It is found only in Madagascar.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wasomi hawa wafuatao, wafikishwe mahakamani haraka sana!

    Heko Hayati JPM kwa uamzi huu ambao hukusikiliza kelele za wachumia tumbo na wanasiasa wajaza tumbo, kwao nchi badaye ila tumbo ndio kipaombele chao. Miongoni mwao mwa wanaohitajika kufika kwa pilato ni, Waziri Nape na Waziri January Makamba, hawa ndio walikuwa msitari wa mbele kama wanasiasa...
  2. JamiiForums Tanzania Shipping Agent wa Haraka na Kuaminika

    Habari zenu wana JF, Katika kufuatilia nyuzi kadhaa kuhusu shipping agents kwa meli kutoka China kuja Tanzania, Nimekutana na Silent Ocean, Shamwaa na Mapembelo Cargo. Which one should i go for? - Wapo wanaosema silent ocean wako vizuri na wako fasta, wapo wanaosema Silent ocean ni...
  3. JamiiForums Tanzania Taifa stars rudini haraka AFCON tuendelee na ligi yetu

    Kocha mzungu hakuwa mjinga kumuacha nje Kibu Denis kwenye mchezo wa ufunguzi. Baada ya mgunda na Morocco kuachiwa jahazi Kibu Denis akapangwa kikosi Cha kwanza kabisa dhidi ya Zambia. Ona alikosa clear chances nyingi sana akiwa yeye na golikipa. Kazi kwisha huko, rudini haraka tuendelee na...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA yaanza kuongoza Nchi kabla ya kuongoza, yaelekezwa wapewe taarifa haraka

    Hatimaye Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimetambuliwa rasmi kama chama kiongozi na kuagizwa kipewe maelezo kuhusu kila hatua ya maendeleo inayofanyika Nchini Tanzania. Tuliwahi kuandika humu na kwingineko kwamba Chadema ndio inayotoa Dira na mwongozo wa nchi, nadhani sasa mnaanza kuthibitisha.
  5. JamiiForums Tanzania Bashungwa aagiza Daraja la Nzali-Chamwino kujengwa haraka

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Balozi Mhandisi, Aisha Amour, kutafuta haraka mkandarasi wa kujenga daraja la Nzali, lililopo wilayani Chamwino, mkoani Dodoma mara tu baada ya hatua za usanifu wa daraja hilo kukamilika. Akizungumza na wananchi wa...
  6. JamiiForums Tanzania Video: Hizi pombe za kwenye vichupa vya plastiki zipigwe marufuku haraka, vijana wataisha

    Hali hii
  7. JamiiForums Tanzania TANESCO: Watu kukaa nyumbani kipindi cha likizo chanzo cha umeme kuisha haraka

    Shirika la Umeme nchini (TANESCO), limesema kuwa limebaini mapumziko ya miezi ya Disemba na Januari ambayo watu wengi wanakuwa nyumbani katika mapumziko ya mwisho wa mwaka ndio sababu ya umeme kuisha haraka kwa watumiaji wa mita za LUKU. Kwenye mitandao mbalimbali wananchi wanalalamika kuhusu...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Nimekonda sana, naomba ushauri nifanyaje nirudishe kilo zangu haraka

    Happy new year beautiful people. Dear nutritionists mlioko JF naomba mnishauri diet itakayonisaidia kurudisha kilo zangu zilizopotea. Nimekonda hadi nahisi watu wanahisi nina umeme(God forbid). NB: Siumwi chochote na kila miezi 6/mwaka huwa nafanya general health check up ikijumlisha ini...
  9. JamiiForums Tanzania Wafanyakazi WATATU waliopo DAR (vijana smart) Wanahitajika HARAKA iwezekanavyo..

    Ofisi ipo Dar es Salaam, Kimara inahitaji wafanyakazi watatu vijana "Very Smart Upstairs" SIFA ZA WAHITAJIKA -Elimu Form Four Na Kuendelea -Ujue Kutumia Computer 100% -Ujue Kingereza Kusoma Na Kuandika (Kuongea achia Wazungu) -Usiwe Bonge -Uwe Mwaminifu -Ujue Customer Care OFISI INAJIHUSISHA...
  10. JamiiForums Tanzania Tatizo la unit za Luku kuisha kwa haraka

    Hili jambo limekaaje? Kuna wengine wanapata shida hii?
  11. JamiiForums Tanzania Tanzania bhana yaani ukiwa tu na Uwezo wa kukusanya 'tustori tustori twa tujasusi' basi haraka sana unaitwa Jasusi

    Kuna Mtu Mmoja alinipa maana halisi ya Jasusi na Shughuli zake kisha kwa Kujiamini kabisa akaniambia kama wapo nchini Tanzania basi hawazidi 50 na akaniambia kuwa wengi walioko ni Makachero pekee. Tutafuteni maana halisi ya neno Jasusi ili hata tukiwa tunalitumia tuwe tunalitumia pale tu...
  12. JamiiForums Tanzania Mpiga bass guitar anahitajika haraka Zanzibar

    Habari wakuu, tunahitaji mpiga bass guitar wa kila Jumapili kwenye ibada kanisani, muda kuanzia saa tatu mpaka saa tano na nusu. Masaa mawili na nusu kila Jumapili, kwa bei ya 15000/= kila Jumapili. Tupo Zanzibar, guitar lipo nyuzi tano ni jipya halijatumika hata kidogo. Atakaeridhia kwa hiyo...
  13. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kung'oa demu wa mkoani kwa haraka : kwa wewe mgeni kutoka mjini daslamu

    Jamaa mmoja akasema " aah wewe tafuta bodaboda halafu mwambie akupeleke kwenye machaka wanako patikana. Bodaboda ndio wanajua chocho zote." Hell No! Mimi sizungumzii malaya mkuu. Njia hiyo ya kuwatumia bodaboda inafanya kazi kwa 👇 1. Watu wanao tafuta milupo au malaya wanao jiuza. 2. Ina...
  14. JamiiForums Tanzania Je, inawezekana mzazi akawasaliana na afisa wa utumishi kazini kwa mtoto wake ili kusaidia ombi la uhamisho

    Habarini za asubuhi wapendwa Naomba kuuliza kwa mwenye uelewa na haya mambo anijuze, hivi inawezekana mzazi kusaidia kuongea na afisa wa utumishi kazini kwa mtoto wake ili mtoto apate uhamisho baada ya mtoto kupitia changamoto kubwa kazini kuhusu mwanamke aliyezaa na ye yani ndugu wa mke wakawa...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini Watangazaji wengi wa Kiume wa Redio nchini Ukiwasikiliza haraka sana utawagundua ni Nusu Wanaume na Nusu Wao?

    Kuna Kipindi fulani cha Redio nakisikiliza sasa nz na nikimsikiliza Kiumakini Mtangazaji na Mmoja wa Mchambuzi haraka sana nagundua ni Nusu Wanaume na Nusu Wao watupu. Wazazi tukomae mno na Watoto wetu wa Kiume na tukiwagundua tokea Udogoni wana Dalili za Nusu Wanaume na Nusu Wao basi haraka...
  16. JamiiForums Tanzania Saa zingine ukiona unagombana na mpenzi wako ni sauti ya Mungu, tii na uondoke haraka

    Hapo vipi? Kuna miaka fulani hivi, limwanaume mmoja tahira bora angekuwa mti wa mapera..yaani yeye kuna demu sijui anampenda sijui ndio kulogwa. Ipo hivi, kuna kuna siku huyo demu anampiga anamuambia toka kwangu sikutaki huyo jamaa kin'gang'anizi hatari, halafu jamaa anakopa mpaka pesa kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Bila kujali kelele na yaliyosemwa juu ya Hayati Magufuli, kuna ulazima wa haraka sana kumpata mwingine wa aina yake

    Hata kama staandika matarajio yenu, kifupi ni kwamba, Tanzania inahitaji tena na kwa haraka mno mtu mwenye mfanano na hayati JPM, Tuambizane ukweli, ni nani miongoni mwenu ambaye anaweza kuwa Rais wa nchi, wananchi wake wakalemewa na ukali wa maisha namna hii akaendelea kuwaonea huruma...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Wananchi kutokuelewa mambo kwa haraka kunachelesha maendeleo Afrika

    Naweza kusema licha ya changamoto nyingi za kiuongozi zilizopo nchi zetu za kiafrika lakini pia wananchi kutokuelewa mambo Kwa uharaka na kutekeleza kunafanya nchi zetu kuchelewa kupiga hatua za kimaendeleo. Nitatoa mifano kadhaa. 1. ujenzi wa vyoo Bora, hapa ni matrilioni...
  19. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Mlele (Katavi) amewataka wavamizi katika Milima ya Lyamba Lyamfipa kuondoka haraka

    Mkuu wa Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi amewataka Wananchi wanaofanya shughuli za Kibinadamu katika Milima ya Lyamba Lyamfipa kuondoka haraka kwani milima hiyo ndio yenye uoto wa asili na kutunza vyanzo vya maji. Kauli hiyo ya Mkuu wa Wilaya ya Mlele, Majid Mwanga imetolewa katika Kata ya...
  20. O

    JamiiForums Tanzania Kama unataka kuoa au kuolewa haraka soma ujumbe huu

    HABARI NJEMA KWA WANAUME NA WANAWAKE WANAIHITAJI MKE AU MME Kama wewe ni manadada unatamani kuolewa lakini hakuna WANAUME walio serious kukutongoza ili wakuoe Sasa tatizo Hilo linatatuliwa Kwa HARAKA sana Kwa kutumia dawa unakuwa umepata mchumba WA uhakika WA kukuoa na SIO kuchezewa Kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…