Yamenikuta najuta kuwa na kibanda, wiki iliyopita mvua ilinyesha usiku na kubomoa choo cha nyumba yangu cha mtindo wa pasipoti sasa hivi, asubuhi kulipokucha nikaenda kununua simenti na matofali na kuamua kukijenga upya, hamadi serikali ya mtaa kumbe nao wanajua watatupata, wakanidaka.
Baada ya...
Wanabodi Salaam,
Kwa wale mafundi wa kupaua nyumba naomba msaada nahitaji kupaua nyumba yangu nimejaribu kuongea na mafundi wawili kila mmoja kanipa hesabu tofauti tena kwa utofauti mkubwa saba, Nyumba ina urefu wa mita 11 na upana wa m 9. Baraza ya mbele na nyuma zina upana wa mita 2.2 na urefu...
Wakuu,
Wale watu Classic karibuni.
Coffee table ya Milioni 3, ipate kwa milioni 1 tu. Piga simu haraka. Sasa hivi.. Hii ni offer.
Mbezi beach Africana
Mawasiliano: Piga simu au tuma Meseji kwenda: 0713208669. Mungu akupe nini?
Habari wanajamvi naandika Bango Hili nikiwa sijui nini nifanye na nikiwa nimechanganyikiwa Kwa Yaliyotokea na sielewi hili.wala lile.
IKo hivi Mimi ni Kijana mwenye Umri wa Miaka 46, Nilikuwa nina Mke wangu ana Umri wa Miaka 34 Tulikuwa Tunaishi naye lakini kutokana na mambo Ya kimajukumu...
Kauli aliyoitoa Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera Faris Buruhan ni ya HATARI kwa Usalama wa Nchi na hata Ustawi wa watu wake hivyo kitendo cha CCM Taifa hadi hivi sasa kuinyamazia ni Uthibitisho kuwa kwanza wao (CCM) ndiyo wamemtuma huyu mpumbavu kusema vile.
Lakini pia ni Uthibitisho usio na...
Wakuu,
Dunia ya leo ni migogoro na vita sehemu mbalimbali, hivo wakati huu wa mavuno mazao kama mchele, mahindi, maharagwe na nafaka nyingine haraka sana yazuiwe maana sio muda tutaanza kulia njaa.
Nchi nyingi kwa sasa wamefunga mipaka yao hakuna chakula kutoka kwani usalama na utulivu wa...
Huyu jamaa anadharau na kiburi bila sababu halafu hayuko flexible.
Mfano mechi ya marudiano na Al Ahly ilikuwa na haja gani kuanza na false namba 9? Mechi za ndani ugenini Kama ya Ihefu na mashujaa hakujua plan ilitakiwaje? Anarudi na plani zake zilizofeli kwenye mechi iliopita?
Sub zake ni za...
Hali ni tete sana Huko Ukraine baada ya urusi leo asubuhi kufanya mashambulizi makubwa katika mitambo ya kuzalisha umeme Huko Kiev na miji mingine mikubwa nchini Ukraine.
Inakadiriwa watu takribani laki 2 katika jiji la Kiev hawatakua na huduma , miundombinu yote inayotumia umeme haifanyi kazi...
Poleni na mihangaiko ya mchana kutwa
Ndugu Madaktari wa JF na wadau wote wa afya naomba msaada wenu.
Mimi ni mama mjamzito mimba yangu ina wiki 35.
Katika umri huu nimepima utra sound mtoto ana uzito wa kilo 2. 71kg
Swali langu kitu gani naweza kufanya kwa muda huu mchache uliobaki kuongeza...
Sijajua wanajeshi wetu wanafia nini kule DR congo wakati sasa imejulikana bila shaka kwamba wanapigana na wanajeshi wa Rwanda ambayo ni nchi mwanachama wa EAC.
SOLUHISHO ya vita ile ni kuiwekea vikwazo RWANDA na kuifukuza EAC haraka iwezekanavyo.
Mama yetu mpendwa nakuomba uwaondoe haraka...
Aliyewahi kuwa Makamu wa Rais wa Bunge la Afrika (PAP) na Mbunge wa Shinyanga Mjini, Stephen Masele amesema Yanga inaweza kukata rufaa CAF kupitia kifungu cha sheria za mpira za CAF namba XVI kifungu namba 3 kupinga kitendo cha kukataliwa goli alilofunga Aziz Ki.
Masele ameshauri Viongozi wa...
UPDATE / MREJESHO:
Tatizo lipo kwenye case ni usb 2.0, nimetesti kuiunganisha moja kwa moja kwenye desktop speed ni nzuri MB 50 kwa sekunde, chief mkwawa kanishauri ninunue case ya usb 3.0
model ni HTS545032A7E380
Nilienda kununua hard disk ya GB 320 kwa elf 25 maalum kwajili ya kuifanya...
Bila kupoteza muda, habarini wana JF.
Siku za hivi karibuni niliamua kuanza kufuga nywele, sasa kila mtu ananiambia ukitaka nywele zikue naambiwa niache kuziosha kabisa kwa maji. Nimefatilia kwa watu hasa jinsia KE naona nao wananiambia hivo hivo.
Je, kuacha kuosha nywele ili kufanya zikue sio...
Kufuatia uongozi wa Simba kumuondoa baleke na yule mchezaji wa zambaia na kuleta watu wa ajabu ajabu basi wawaombr radhi mashabiki na pili waleze kilitokea nini kusajili watu wa ajabu na kumuacha baleke na Generally wa Zambia.
Baada ya hapo wajiuzuru kwa kushindwa kuio goza team kupata ushindi
Mimi na miaka 14 kwenye soko la forex ila sio mafanikio ya haraka watu wanavofikilia.nimeona malalamiko mengi hapa JF bora kueleza ukweli.
Asilimia kubwa forex ni High risk na inaweza kukuweka maskini kwa sekunde tu. Sababu kubwa kinacho changia ni watu kutokuelewa na kuwa na haraka ya...
Hii ndio mifumo bora ya kuendesha mradi wa mabasi yaendayo haraka kwa ufanisi mkubwa na faida kubwa
Watanzania na serikali wanatamani sana kuona mradi wa mabasi yaendayo haraka unafanya kazi kwa ufanisi mkubwa na kwa faida.
Kuna mifumo mingi bora ambayo serikali inaweza kuitumia ili...
1. Je, ukiwa na Akaunti ya Benki fulani ila hukuitumia kwa miaka kati ya 5 hadi 10 ukitaka Kuendelea nayo inawezekana (japo najua itakuwa Imeshafungwa) Kuihuisha au Kuiamsha (Activate) au uachane na haya yote na Ufungue tu Akaunti mpya?
Tafadhali Wataalamu / Wabobezi wa Benki GENTAMYCINE naomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.